Anayeamini huo ujinga wa kabendera ni kichaa na anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa milembe Dodoma.
Huna hoja zaidi ya kufanyakile kile unachoshauri wenzako wasifanye. Mwache Kabendera ajitetee mwenywe kw akuleta ushahidi. Vinginevyo unatupotezea muda au kutafuta kiki tu. kwa kuanzisha uzi huu
Nyie ndiyo vichaa msioweza kutumia vichwa na akili zenu kwa usahihi kuchakata kila taarifa inayokuja mbele yenu, badala yake kama mbwa waoga mnajiwahi na kuanzs kubweka hovyo kwa kujenga utetezi wa hoja zisizo na kichwa ili kulinda tabia za kikatili za viongozi wajinga na wapumbavu, wauaji kama alivyokuwa Mwendazake Magufuli...
Labda tusiwalaumu sana maana, possibly huo ndiyo mwisho wa mstari wa akili na tafakuri zenu zilipoishia..
Lakini fahamu kuwa, hiyo roho yake ya kutesa na kuua raia wake, kaiacha na kuwarithisha warithi wake kina Samia Suluhu Hassan na ndiyo inayosumbua sasa kwa mtindo uleule wa teka, tesa na ikilazimu ua...
Historia duniani kote ya viongozi (Marais au Wafalme wa nchi/mataifa) waliokuwa na chuki na wapinzani/wapingaji/wakosoaji wa tawala/serikali zao walizoziongoza kumbukumbu ya historia ya tawala zao/uongozi wao wa kikatili ukiambatana na mauaji ya kutisha, imerekodiwa vizuri sana...
Kwa kifupi sana mimi naweza kusema kuwa, wapo viongozi duniani kote walio na sura za kibinadamu lakini ndani ni shetani mwenyewe mnywa damu za watu...
Hawa walitumia aidha mikono yao binafsi kuua au walikuwa na vikosi binafsi vya utesaji na mauaji vya siri walivyoviunda nje ya utaratibu wa kikatiba na sheria. Na wakati mwingine njia zote mbili hizi zilitumika....
Mfano ni dikteta Iddi Amini Dada (aliyekuwa Rais Uganda miaka 1970s), Mobutu Seseseko Wazembanga (iliyokuwa Zaire sasa DR Congo), Adolf Hitler (West Germany), Benito Mussolini (Italy) na wengine wengi waliua wapinzani kwa mikono yao...
Mpaka hapo hivi unaonaje ajabu kama kuna watu wanaanza kushuhudia leo kuwa Hayati John P. Magufuli aliua wakosoaji wa utawala wake kwa mikono yake mwenyewe...?
All the way back, ni kuwa, ushahidi wa kimazingira unaoelekea kuthibitisha madai haya ya ndugu Kabendera Erick kwa zaidi ya 85% ni mkubwa mno....
Kuna ndugu humu anaitwa
Synthesizer ameeleza na kufafanua vizuri mno. Kama hizi hoja haziwatafakirishi nyie wawili na baadhi ya wenzenu wengi humu, basi, haina shaka yoyote kuwa nyie wawili na wenzenu wengi humu mlikuwa washiriki wa unyama na mauaji haya au la basi hamuwezi kutumia akili zenu vyema kuchakata na kuhoji kila ishu inayowazunguka katika maisha ya intelligence yenu...
Mfano rahisi tu unaoweza kumfanya mtu asifikirie hata mara mbili kuyatilia maanani madai haya ya Erick Kabendera ni tabia ya Rais Magufuli iliyokuwa inajidhihirishwa na kauli na matendo yake wakati wa utawala wake....
Ni Rais aliyekuwa hajali taratibu, sheria, kanuni na katiba ya nchi. Ni Rais aliyekuwa ana - abuse (kutumia vibaya) madaraka na mamlaka yake ya u - Rais kiasi cha kuwa dikteta aliyejificha kanisani kwa kuvaa ngozi ya kondoo...
Ujasiri wake huu wa kuvunja katiba na kutoheshimu utu wa watu wengine ni tabia za kiongozi katili na muuaji siku zote...
Ndiyo maana wenzake serikalini waliamua kumuua kabla hajawaua wao🤔🤔🤔.. NDIYO....!! Unashangaa nini sasa..???
Na ndiyo maana mimi siku zote nimekuwa nasema hivi👇🏻👇🏻
Huyu jamaa (mwendazake Magufuli, Rais wa nchi mwenye resources zote za kupata matibabu popote duniani kwa daktari bingwa wa ugonjwa wake) alikufaga kifo cha kijinga , kipumbavu na kizembe sana kwa sababu alikuwa anachukiwa na watu ambao obvious alikuwa anawahesabia siku zao naye awapige risasi kama alivyoua wengine...!!
Ilikuwa ngumu mno kwa watu wenye akili na ufahamu uliokamilika kuelewa na kuamini kuwa Rais wa nchi angeweza kufia kwenye Zahanati (kituo cha afya) cha Mzena pale mitaa ya Mikocheni?Upanga - DSM...!!!
Tumie vyema akili zenu kufikiri, acheni kufyatuka hovyo mbele ya umma wa watu wenye akili kuwazidi. Mtaaibika bure...!