Madai ya tabia ya baadhi ya magari ya abiria kuzuia wanafunzi kupanda

Wee niogope Keyboard warriors? Nakuja na uzi kabambe, lazima hili kundi maalumu lifikiwe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Katibu wao muenezi lazima ulipambanie kundi maalum la vidampa..!!
 
Uko sahihi, hili nalo Lina mwongozo kabisa wa adhabu ila kuna baadhi hawafuati na humu kwenye jamii mbalimbali kuna watu wanatetea vipigo nje ya mwongozo eti kisa na wao walipigwa .... Bado safari ni ndefu sana ila tutafika ngoja napo tuweke mguu sawa
 
Wajibu wa Serikali katika kutatua changamoto hizi SUGU ni upi ukiachana na suala la kutunga sheria, miongozo, kanuni na taratibu ambazo kiuhalisia zimeshindwa kuzaa matunda kwa miongo kadhaa?
Kupokea maoni ya jamii na kukaa pamoja na jamii na kujadili facts na kuboresha.... Unaonaje hapo
 
Usijipe point tatu za mezani mkuu,angalia hili suala kwa pande zote sio Tu kuwalaumu makonda na abiria wenzako.
Hiyo dala dala ina wategemezi wengi Sana per day.
1. Boss anataka chake
2. Traffic anataka chake
3. Konda anataka chake
4. Dereva anataka chake
5. Latra siku moja moja
6. Fire
7. Bado wewe hujajisahaulisha nauli.
So usione ukawa unatukana watu wamekunyamazia....walikuwa Wana kuchora Tu na wengi walikudharau Tu sema uliwakuta wamechoka.
 
Hawezi kupandishaa gari zima wanafunzi serikali ingeweka walau idadi ya wanafunzi Kila gari konda awapakie...
Konda anatafuta hesabu ya boss wakati wanafunzi anatakiwa awahi shule au awahi nyumban utaratibu uangalie pande zote mbili...
Unamvimbia waziri...
 
Muheshimiwa uko sahihi lakini linapokuja suala la kutafuta rizq kila kiumbe anajopambania kupata zaid ya jana...
 
Asante sana ndugu. Serekali iache kukandamiza wafanya biashara za daladala. Vinginevyo Dkt. Gwajima D atwambie serekali imetoa unafuu gani kwa wenye daladala Ili wasafirishe wanafunzi kwa nauli pungufu?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ sawa mama. Mara zote nakupongeza na Mungu akubariki, sio kwa kazi nzuri pekee unayofanya, lakini kwa kushiriki nasi mijadala ya moja kwa moja hapa JF with a verified badge.
 
Dr.magari ya makumbusho kupitia goba kwenda mbezi kwa kweli wanafunzi wananyanyasika sana.
Yaani konda yuko radhi gari lisipakie lipite kituo kisa tuu kuna wanafunzi kwa kweli naumia sana ninapoona hiki kitendo.
 
Hapo kwenye bango kuna namba za LATRA, hebu katoe maoni tafadhali. Uwe na jioni njema ya Baraka βœπŸ»πŸ™πŸ½
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukitaka kuchati na mawaziri jiunge jamiiforum Leo nime reply text ya mheshimiwa waziri asee mwambie mama wa kizimkazi mitano tena sasa nisikie Mbuzi ina reply hii text kimbea mbea
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Kwanza nicheke, hadi umenifanya waniulize kulikoni, halafu nikukaribishe na dodoma yetu
 
Dr.magari ya makumbusho kupitia goba kwenda mbezi kwa kweli wanafunzi wananyanyasika sana.
Yaani konda yuko radhi gari lisipakie lipite kituo kisa tuu kuna wanafunzi kwa kweli naumia sana ninapoona hiki kitendo.
πŸ˜₯ Tuendelee kuelimisha na kusikilizana Ili twende pamoja kama tulivyokubaliana kwenye miongozo ya usajili wa huduma zetu sambamba na kupokea maoni ya maboresho, hii Jamii ni yetu wote, tukienda kinyume na sheria inakuwa haina tija zaidi ya kukutana na usumbufu usio wa lazima
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ sawa mama. Mara zote nakupongeza na Mungu akubariki, sio kwa kazi nzuri pekee unayofanya, lakini kwa kushiriki nasi mijadala ya moja kwa moja hapa JF with a verified badge.

Shukrani, nami nipo pamoja nanyi hadi mwisho wa safari, tuendelee kushirikiana, maoni yenu nakiri huwa siyo ya kupita bila kusoma, yana mashiko mazuri tu. Ila wakati tukifanyia kazi, basi na tuendelee kuzilinda Sheria zetu ✍🏻
 
Muheshimiwa uko sahihi lakini linapokuja suala la kutafuta rizq kila kiumbe anajopambania kupata zaid ya jana...
Tuweni na roho wa Mungu katika hatua zetu zote tutabarikiwa zaidi, vinginevyo tutakinzana na Sheria halafu hata tija haitakuwepo, kama wale watuhumiwa wa mkoa wa Rukwa Sumbawanga Waalimu tunawaeleza msiwape wanafunzi adhabu kinyume na mwongozo wa adhabu, hawasikii, sasa kimewakuta na wao huko, wanatuhumiwa kupiga kipigo cha kifo na wako ndani. Jamani, maoni ni mazuri Sana, tushirikiane ila tuepuke kuvunja Sheria.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…