Nadhani kama ni namba tu na mawasiliano hata Bwana Google angeweza kusaidia hilo suala..., lakini kama wadau ambao kweli tungekuwa tunapenda kuitoa nchi yetu hapa kuifikisha pale tungekwenda an extra mile.., na badala ya kujadili events ya Konda huyu au Yule Kamkataza Mtoto kupanda basi tungejadili Ideas ya Merits na DeMerits ya kuweza kuwa na Usafiri affordable na efficient wa UMMA ili kuweza kutoa huduma hii muhimu kwahio hapa tungeweza kujadili kwanini hilo lisifanyike na lina athari gani likifanyika ? Huenda usiongee kwa nafasi yako kama Waziri wa Wizara yako bali kama Mtanzania mwenye sikio la watu wanaoweza kufanya hayo na kama muathirika wa Wizara yako kwa kutokuwepo usafiri efficient...Ni kweli kabisa maoni ni hatua endelevu na hapa sasa mmejua na mawasiliano ya kituo cha LATRA nadhani sasa ni kuendelea kutoa mrejesho moja kwa moja. Ahsante Sana kwa muda wako.
We jamaa unajiona unajua,mbona polisi na waalimu wanapanda bure hamuwashushi yaani kila daladala kupakia wanafunzi watano ni hasara?bora ukae kimya tu.Alafu cha ajabu mkikosa abiria mnagombania hao wanafunzi ila daladala likijaa tayari wanageuka kero jitafakari sana.Uhalisia wa mtaani hauko hivo
Boss anakubali hayo masharti lakini kondakta anapewa gari na huo mzigo wa kulipia halafu umpe wanafunzi walipe 200 yeye ataishije
πππMama mitano tena tena na ajira nimepata Jana asee kesho kutwa naingia kwa Asha Rose Migiro kuchukua barua yangu ya kutaftia ugali mama mitano tena, Hata wasemeje Mimi najua mama anapiga kazi yaani nimemaliza juzi Leo naingia kwenye mfumo wa ugaliππππͺπͺππΉπΏπ€£π€£π€£π€£π€£ Kwanza nicheke, hadi umenifanya waniulize kulikoni, halafu nikukaribishe na dodoma yetu
Asante mama nakuja kwa SGR apo chapu sijui nivae Uzi wa kijani πͺπͺπͺππΉπΏππ€£π€£π€£π€£π€£ Kwanza nicheke, hadi umenifanya waniulize kulikoni, halafu nikukaribishe na dodoma yetu
Nimekwambia serikali iwajibikeWe jamaa ni mpumbavu sana alafu unajiona unajua,mbona polisi na waalimu wanapanda bure hamuwashushi yaani kila daladala kupakia wanafunzi watano ni hasara?bora ukae kimya tu.Alafu cha ajabu mkikosa abiria mnagombania hao wanafunzi ila daladala likijaa tayari wanageuka kero jitafakari sana.
Kuna muda najaribu kuvaa viatu vya ukondakta (sipati maamuzi).., nashauri wanafunzi wasipangiwe mbali na maeneo wanapoishi, lakini pia uhamisho usiwe na mlolongo mrefu, baadhi ya wazazi wanajaribu kuwahamisha watoto wao wawe karibu na shule za makaz yao lakini changamoto za uhamisho ni kubwa.Tuweni na roho wa Mungu katika hatua zetu zote tutabarikiwa zaidi, vinginevyo tutakinzana na Sheria halafu hata tija haitakuwepo, kama wale watuhumiwa wa mkoa wa Rukwa Sumbawanga Waalimu tunawaeleza msiwape wanafunzi adhabu kinyume na mwongozo wa adhabu, hawasikii, sasa kimewakuta na wao huko, wanatuhumiwa kupiga kipigo cha kifo na wako ndani. Jamani, maoni ni mazuri Sana, tushirikiane ila tuepuke kuvunja Sheria.....
Mwendo wa kufata SheriaTuweni na roho wa Mungu katika hatua zetu zote tutabarikiwa zaidi, vinginevyo tutakinzana na Sheria halafu hata tija haitakuwepo, kama wale watuhumiwa wa mkoa wa Rukwa Sumbawanga Waalimu tunawaeleza msiwape wanafunzi adhabu kinyume na mwongozo wa adhabu, hawasikii, sasa kimewakuta na wao huko, wanatuhumiwa kupiga kipigo cha kifo na wako ndani. Jamani, maoni ni mazuri Sana, tushirikiane ila tuepuke kuvunja Sheria.....
Wakisema wawashurutishe makonda kubeba wanafunzi watakua wanawaonea tu.Nimekwambia serikali iwajibike
Daladala ni biashara kama zingine
Mbona hao wanafunzi haendi mgahawani kula Bure kwani hawapati njaa?
Serikali iwajibike kununua magari kuwasafisha
Hawa hawajui hali halisiWakisema wawashurutishe makonda kubeba wanafunzi watakua wanawaonea tu.
Labda wawawekee idadi maana wengi naona huwa wanawabeba japo kwa mbinde na madogo nao wanakaza ila wanabebwa.
Wazazi wenye watoto wanaosoma mbali watafute namna watoto wao wasisumbuke na kadhia hizo.
Abiria wanajitajidi kuwatetea hao wanafunzi ila tatizo haliwezi kutatuliwa kwa namna hiyo, maana wanafunzi ni wengi sio rahisi konda kubeba wengi ilhali na yeye anahitajika kupeleka hesabu.
Ni hasara mkuu, ubaya hao wanafunzi wakijaa kwenye gari hawaachii siti mkubwa akae, matokeo yake wenye kutoa nauli kubwa wanashuka wakiamini gari imejaa.Hawa hawajui hali halisi
Wakiamuru daladala zibebe wanafunzi wote najua hakuna atakayeweka gari barabarani
Hatua za mjadala zinaanza kama hivi kunakuwa na trigger fulani, inaleta mjadala kama hivi, watu wanakuwa na uhuru wa kutoa maoni, yanasomwa, yanachambuliwa, inakuja hatua ya pili ya tunahitimishaje.... Mwisho wadau wanakutana wanahitimisha. Hivyo, tuendelee tu kushirikianaNadhani kama ni namba tu na mawasiliano hata Bwana Google angeweza kusaidia hilo suala..., lakini kama wadau ambao kweli tungekuwa tunapenda kuitoa nchi yetu hapa kuifikisha pale tungekwenda an extra mile.., na badala ya kujadili events ya Konda huyu au Yule Kamkataza Mtoto kupanda basi tungejadili Ideas ya Merits na DeMerits ya kuweza kuwa na Usafiri affordable na efficient wa UMMA ili kuweza kutoa huduma hii muhimu kwahio hapa tungeweza kujadili kwanini hilo lisifanyike na lina athari gani likifanyika ? Huenda usiongee kwa nafasi yako kama Waziri wa Wizara yako bali kama Mtanzania mwenye sikio la watu wanaoweza kufanya hayo na kama muathirika wa Wizara yako kwa kutokuwepo usafiri efficient...
Na hapa siongelei wanafunzi tu hata baba zao sababu zaidi ya robo tatu ya mshahara wa mtu unaishia kwenye foleni za kuchelewa huko kwenye ubangaizaji...
Kama tuliweza kupata fleet ya kupeleka watu Dodoma (yaani pesa ya Chama tu) ije kuwa Pesa ya Kodi zetu ikiwemo ya Chama pia ?
πππππ Pongezi kwakoπππMama mitano tena tena na ajira nimepata Jana asee kesho kutwa naingia kwa Asha Rose Migiro kuchukua barua yangu ya kutaftia ugali mama mitano tena, Hata wasemeje Mimi najua mama anapiga kazi yaani nimemaliza juzi Leo naingia kwenye mfumo wa ugaliππππͺπͺππΉπΏ
Nasubiria zile chiriku zije ku comment apa oooh chawa Mimi ni kupe wa kijani mtajutaaaπ€£π€£π€£π€£π€£
ππππππππ Pongezi kwako
Mama, miongozo ya utaratibu wa wanafunzi ipo na madereva wote nakuhakikishia wote wa dala dala kuhusu wanafunzi wanaifahamu. Wao huchukulia advantage pale abiria wanapomgeukia anayewatetea wanafunzi.Ahsante Sana kwa historia hii, ndiyo maana nasisitiza kuwa, hili taarifa kuhusu uwepo wa kituo cha mawasiliano ya LATRA na jamii ilikuwa muhimu sana Ili wananchi watumia huduma wajue wawe na haki ya kutoa taarifa na watoa huduma wajue kuwa, taarifa zinatolewa Ili wote Hawa kwa pamoja na LATRA wakutane sasa kwa mjadala wa maboresho. Sasa wametoa maoni mbalimbali na Sasa tunaanza kupata na taratibu zilivyo, nadhani ufumbuzi uko Karibu. Hawa watoto ni wetu wote....
Wewe daladala zote zinazopita Lugalo na barabara ya Bagamoyo kwa ujumla, ni chache mno ambazo huwa zinakiuka utaratibu wa kuchukua wanafunzi tena wao ni bila ya shuruti ya MP's.naonaga pale Makongo maMP waalazimisha madaladala kuchukua wanafunzi kinguvu..sijui hii nayo imekaaje? Mbona hawafosi wenye vyombo vya moto wengine wafanye hivyo? Serekali iache kutafuta mserereko period.
kwanza kuchaji buku kwa njia hiyo ni wizi. Waisajili rasmi tuSio ruti rasmI
Ila inapunguza sana folen ya mbagala