Madai ya Wanafunzi wa Rutabo kupewa chakula kidogo, Afisa Elimu asema 'tatizo ni siku ya Wali na Nyama'

Siku ya wali na nyama Mheshimiwa Raisi Mama Samia amwagize RPC kagera apeleke defender za kutosha kusimamia watoto wa watani zangu wahaya wanaosoma Rutabo secondary wasije toana macho kugombea wali na Nyama
 
Wali nyama na Pepsi bariid
 
Ufisadi wa viongozi huanzia mbali
 
Hapo wadhibiti wababe wasichukue wali kwenye ndoo na nyama. Usipokuwa na sahani kipimo kimoja kila mtu.
 
Hapo wadhibiti wababe wasichukue wali kwenye ndoo na nyama. Usipokuwa na sahani kipimo kimoja kila mtu.
 
Sijawahi kuona serikali ikikubali kuteleza
 
Nakumbuka Iyunga techn mbeya siku ya wali au nyama ambayo ilikuwa alhamis na ijumaa respectively Waalimu wa shule nzima walikuwa wanaweka doria,na chombo kilicholia nyama hakioshi Ili kesho uipate Ile harufu ya nyama.Dah kmmk nimetoka mbali.
 
Walichokieleza kilikuwa cha kawaida, sio kikubwa kama kinavyoripotiwa kwenye Mtandao, tatizo kidogo lilielezwa siku za Wali na Nyama kuwa wakati mwingine hawashibi lakini walikiri kuwa ugali unatosha.
Wawe wanapika Ubwabwa mwingi sasa, waache Ubahili
 
Au mwlm pengo kawa headmaster nini kipindi tunasoma miaka hio tulikua chakula kinabaki wali mtu unakula adi.unasema hapa ni nyumbn au ..... Wale wa miaka ya 2015 mtaniambie haya nayosema
 
Kwani wali na Nyama sio Chakula ?

Hivyo ni kweli kuna tatizo za watu kutokushiba siku za wali na nyama..., ni kama kungekuwa na tatizo la wanafunzi kutokula kabisa akasema hapana siku za keki asubuhi ndio huwa hazipo hence watu hawali......
Kwa tuliosoma shule za serikali bweni,hii ni kawaida kwa siku za wali nyama. Watoto hupenda wapate zaidi ili wahifadhi kwa ajili ya jioni
 
Sisi tuliosoma Njombe Secondary (Njoss) miaka Fulani iliyopita wali mara nne Kwa week na matunda juu, wee chakula kilikuwa tele uongo hapana.

Kumbe Kuna sehemu huwa hakitoshi duh!
 
Wasukuma na wanyaturu walikuwaga wamejazana jikoni haaahaa ili washibe sana wapi nkuba mdimila wapi temanywa haaaahaaa.
Huyu mshikaji wa kuitwa ntemanywa tulimkuta bafuni anapiga punyeto yani mwamba ile anautupa hadi mweleka haaahaaa halafu alikuwa na mguu mmoja mbovu
 
Kwa tuliosoma shule za serikali bweni,hii ni kawaida kwa siku za wali nyama. Watoto hupenda wapate zaidi ili wahifadhi kwa ajili ya jioni
Kwahio hawakosi bali wanapata / wanataka wapate zaidi au wengine wanaiba ili wengine wasipate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…