Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nani alimwambia anatak nafas serikaliniNdo nyinyi mkiwa serikalini mnaendeleza ufisadi na ubinafsi mali ya umma unataka ufaidi peke ako.
Wali nyama na Pepsi bariidBaada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali imechukua hatua.
Awali member alidai Shule hiyo inawapikia Wanafunzi Chakula kidogo hali inayowalazimu kugombania na kuomba hela nyumbani mara kwa mara kwa.
Andiko liko hapa - Wanafunzi wa Rutabo High School (Kagera) hawapewi chakula cha kutosha
Afisa Elimu Sekondari Kagera, Michael Lugola amesema alimuagiza Afisa Elimu Kata ambaye ameenda kwenye shule hiyo na kumpa ripoti hii:
Nimefika katika Shule ya Sekondari Rutabo, tumefanya kikao na Wanafunzi tukawapa nafasi ya kueleza changamoto zinazohusiana na chakula.
Walichokieleza kilikuwa cha kawaida, sio kikubwa kama kinavyoripotiwa kwenye Mtandao, tatizo kidogo lilielezwa siku za Wali na Nyama kuwa wakati mwingine hawashibi lakini walikiri kuwa ugali unatosha.
Tumeweka mkakati mpya ikiwa ni pamoja na usimamizi wa chakula kutoka kinapokuwa stoo mpaka jikoni.
Kuongeza Walimu wa kusimamia na kuonja ubora wa chakula, kuongea na Wapishi ili kuhakiki wanaandaa chakula kizuri na kuhakikisha hakuna hujuma ya chakula sehemu ya jiko.
Wanafunzi viongozi kutoa taarifa ya mapungufu ya chakula kwa Mwalimu au Mkuu wa Shule haraka sana yanapojitokeza ili yafanyiwe kazi.
Na Mimi nimeahidi kufika mara kwa mara shuleni saa za Wanafunzi kupata chakula ili kujionea hali halisi.
Ufisadi wa viongozi huanzia mbaliMara zote Siku za Wali nyama shuleni, Chakula kilikuwa hakitoshi.
Hii inatokana na baadhi ya Wanafunzi Viongozi kubeba chakula cha kutosha ili wale na Jioni.
Wanafunzi ambao walikuwa hawatokei Siku ya Ugali maharage Kwa kwenda kula canteen za Shule nao kujumuika Siku ya wali Nyama.
Nakumbuka wakati niko Shule, Siku za Wali nyama ziliongezwa kutoka Siku 1 Kwa wiki hadi Siku 3 Kwa Wiki.
Hii ilifanya Wanafunzi tuongeze Utulivu na kufocus na Masomo zaidi [emoji28][emoji847]
Ndiyo maana vetting ya zamani ilikuwa inafanyika hadi mashuleni ili kuweza kupata cream ya Viongozi wazuriUfisadi wa viongozi huanzia mbali
Sijawahi kuona serikali ikikubali kutelezaBaada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali imechukua hatua.
Awali member alidai Shule hiyo inawapikia Wanafunzi Chakula kidogo hali inayowalazimu kugombania na kuomba hela nyumbani mara kwa mara kwa.
Andiko liko hapa - Wanafunzi wa Rutabo High School (Kagera) hawapewi chakula cha kutosha
Afisa Elimu Sekondari Kagera, Michael Lugola amesema alimuagiza Afisa Elimu Kata ambaye ameenda kwenye shule hiyo na kumpa ripoti hii:
Nimefika katika Shule ya Sekondari Rutabo, tumefanya kikao na Wanafunzi tukawapa nafasi ya kueleza changamoto zinazohusiana na chakula.
Walichokieleza kilikuwa cha kawaida, sio kikubwa kama kinavyoripotiwa kwenye Mtandao, tatizo kidogo lilielezwa siku za Wali na Nyama kuwa wakati mwingine hawashibi lakini walikiri kuwa ugali unatosha.
Tumeweka mkakati mpya ikiwa ni pamoja na usimamizi wa chakula kutoka kinapokuwa stoo mpaka jikoni.
Kuongeza Walimu wa kusimamia na kuonja ubora wa chakula, kuongea na Wapishi ili kuhakiki wanaandaa chakula kizuri na kuhakikisha hakuna hujuma ya chakula sehemu ya jiko.
Wanafunzi viongozi kutoa taarifa ya mapungufu ya chakula kwa Mwalimu au Mkuu wa Shule haraka sana yanapojitokeza ili yafanyiwe kazi.
Na Mimi nimeahidi kufika mara kwa mara shuleni saa za Wanafunzi kupata chakula ili kujionea hali halisi.
Maharage yenyewe hivi karibuni bei imepaaa ,huko mashuleni upande wa harage hali sijui ikojeWapewe wali maharage kutoka majuu🤣
Wawe wanapika Ubwabwa mwingi sasa, waache UbahiliWalichokieleza kilikuwa cha kawaida, sio kikubwa kama kinavyoripotiwa kwenye Mtandao, tatizo kidogo lilielezwa siku za Wali na Nyama kuwa wakati mwingine hawashibi lakini walikiri kuwa ugali unatosha.
Kwa tuliosoma shule za serikali bweni,hii ni kawaida kwa siku za wali nyama. Watoto hupenda wapate zaidi ili wahifadhi kwa ajili ya jioniKwani wali na Nyama sio Chakula ?
Hivyo ni kweli kuna tatizo za watu kutokushiba siku za wali na nyama..., ni kama kungekuwa na tatizo la wanafunzi kutokula kabisa akasema hapana siku za keki asubuhi ndio huwa hazipo hence watu hawali......
Kwahio hawakosi bali wanapata / wanataka wapate zaidi au wengine wanaiba ili wengine wasipate...Kwa tuliosoma shule za serikali bweni,hii ni kawaida kwa siku za wali nyama. Watoto hupenda wapate zaidi ili wahifadhi kwa ajili ya jioni