Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

D

Duh Kumbe vile vidada viuza maduka ya dawa vipumbavu sana mbona mara nyingi vinawauzia watu vidonge vi 3 ambavyo utoa maelekezo kumeza siku 3 tu.
Wale wanakuuzia kutokana na ulivyoandokiwa na Dr

Hawana utaalam wa kutibu!
Km wanatoa 3, manaake ni vya 500 mg
Vya 250mg vinakuea 6
Sa ya nn madonge 6 wakati naweza pata 3?
 
Muwe mnajisomea hata km Dr kakupa dawa
 

Attachments

  • Screenshot_20231224-115022_1.jpg
    43.7 KB · Views: 14
  • Screenshot_20231224-115051_1.jpg
    29.3 KB · Views: 13
Wale wanakuuzia kutokana na ulivyoandokiwa na Dr

Hawana utaalam wa kutibu!
Km wanatoa 3, manaake ni vya 500 mg
Vya 250mg vinakuea 6
Sa ya nn madonge 6 wakati naweza pata 3?
Aah ok,sema nipo bush uku nahisi hakuna vya 500 mg ndo maana kanipa ivi vya 250 mg ,ndo maana nikashangaa maelekezo ya Dr ya kumeza 2x 1 na nishazoea town ni vile vya 500 mg ambavyo ni 1x1 ndo maana nikaja ili kuwauliza ili nipate ufafanuzi ,asante sana kwa maelekezo ila comment kibao ila solutions nimepata kwako na jamaa wengine wawili tu ila comment nyingi wanashusha stress zao tu za xmass,
 
Kumbe ndo dawa zako? Kwahiyo kila mara unaugua UTI?
 
Aah Kwa bush ndo maana
Poa usijali
Ila piga dose ya 7 days !

🀣🀣Wana stress za kesho au sio
 
Tumia 3mara1 kwa sababu hapo haijaandikwa matumiz yake bwege weπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una stress za xmass wewe,
 
Aah Kwa bush ndo maana
Poa usijali
Ila piga dose ya 7 days !

🀣🀣Wana stress za kesho au sio
Wana stress za maisha wananishushia Mimi,wakati mi mwenyewe Nina stress zanguπŸ˜€πŸ˜€watu kama hao ukiwajua unawaibukia maskani kwao unawauliza shida nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…