Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

endelea kukariri kua inaambukizwa njia hiyo tu
 
Apana ana meza azuma kwa kua alikula mahindi ya kuchemsha.
Acha
Apana ana meza azuma kwa kua alikula mahindi ya kuchemsha.
Uelewa wako ninao mashaka,jitahidi kuzuia hisia zako ili ujifunze mambo mengi

"AZUMA 500/250MG TABLET ni dawa ya antibiotic ambayo inaweza kutumika kutibu maambukizo mengi tofauti yanayosababishwa na bakteria. Hizi ni pamoja na maambukizo ya damu, ubongo, mapafu, mifupa, viungo, njia ya mkojo, tumbo, na utumbo. Pia inaweza kutumika kutibu magonjwa ya zinaa. Inazuia ukuaji wa bakteria wanaosababisha maambukizo na kusafisha maambukizo. Chukua kwa muda uliopendekezwa na daktari na epuka kukosa kipimo. Hii itahakikisha kuwa bakteria wote wanauawa na hawakuwa na upinzani.
elewa neno pia
 
mkuu unatumua STG ya wapi kwa hiyo Azuma haitibu UTI?
Dosi nzuri ya kumaliza mauti yafaa iwe dozi ya siku 5 mpaka 7.Hali kadhalika Azuma is strongest antibiotic,inafaa uanze na antibiotic line ya kwanza ikigoma ndio unakuja line 2 au 3,but inategemeana na ukubwa wa maambukizi.Kwangu mimi dose ya siku 5 mpaka 7 kutibu uti ndogo ni bora kuliko kutumia strong antibiotic kama Azuma kutobu UTI ndogo.
 
ni kweli kabisa ila kwa sahiv wengi wao wanakimbilia Strong Antibiotic
 
Kwanini usingemuuliza daktari aliyekuandikia dawa ?yani hizi simu inapunguza sana vitu vingi angeluelezea zaidi ila hujataka kwakua unajua utakaouliza haya hapo kamaanisha umeze viwili kwa mara moja kwa siku.
 

Okay, hiyo siyo dawa yake, na madokta wa siku hizi wabovu, sasa hiyo aliyopaswa kumpa 500mg ni dawa gani na ya kutibu ugonjwa gani ????

You are the worst quack doctor in the village, toka lini uka prescribe ma antibiotics kwenye mitandao hujui hata ana symptoms gani, kwa muda gani, na vipimo gani.....

The thread is criminal, period, ni kwa vile tu moderators uelewa mfupi, wamefundishwa kuwinda na kufuta thread za matusi na za kujipanga kupindua nchi.
 
Wazee Gono toka lini likatibiwa na Azuma.

Either udungwe lisindano fulani hivi linaleta kichefuchefu x 5.... au
Udungwe lisindano moja balaa takoni na vidonge fulani hivi dozi yake lazima ikuogopeshe zinaandikwa 10 x 1.

Gono ni ugonjwa tu maana hata jamaa yetu Che-Guevara alilikwaa pale Kigoma..

Madk muwe mnawapima akina dada Gono kila wajapo hospitali, maana wengu wao wanatembea nalo all the time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…