Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Wewe unayejua kiingereza hebu uandike huu uzi kwa lugha ya malkia basi...
 
Sasa mbona tumewaletea watoto wa Ki Sudan, mmewakimbia, mmetutia aibu sana
 
Ndio maana viongozi wa tz πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wakajiwekea hospital Yao ya mzena , mpaka upate Kazi ujue wewe unajua na Sio MTU wa kukariri madesa
 
Bongo hawafundishwi English ?
Je engineer kutoka Germany atapimwa kwa umahili wake wa English ?
Mkuu unachanganya swala la quality assurance na mawasiliano.
 
Ni English haikwepek sababu ndo world wide inabidi madakatari wetu wawe wanasoma English course... Kiswahili Ni Tanzania tu nchi zinginezo kama Kenya Uganda Rwanda Burundi hawakijui wanajua maneno machache Sana Ila kingereza kila Taifa duniani linafahamu
 
Wakati nasoma Masters mwaka juzi tulikuwa na foreigners kadhaa darasani. Wale jamaa walikuwa wanapata taabu sana, lecturers wengi wao walikuwa wanafundisha kwa kiswahili. Discussion tunafanya kiswahili. Kwenye magroup matangazo ni Kiswahili. Bongo English kwa wasomi ni shida
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mimi ningemjibu ok continue
 
Wana faulu coz wanakariri terminology mpaka nukta.
Hebu niambie biology, chemistry unafauli vipi bila kukariri ?
Science is all about understanding fact, from there wewe hata mwenyewe unaweza jenga hoja zako. But then yes wana kariri only few of them wanaelewa. It seems tuna teain doctors ili wafaulu sio wawe efficient. Nchi iko kwenye trouble
 
Mkuu unachanganya swala la quality assurance na mawasiliano.
Kwamba Engineer wa Kijerumani sababu hajui kiswahili na wewe unataka kipuri kwake utampima kwa umahili wake wa kuongea kiswahili
 
Science is all about understanding fact, from there wewe hata mwenyewe unaweza jenga hoja zako. But then yes wana kariri only few of them wanaelewa. It seems tuna teain doctors ili wafaulu sio wawe efficient. Nchi iko kwenye trouble
Ni Kweli mkuu.
Jana kwenye taarifa ya habari,
Niliona Arusha mdada kaambiwa na daktari ana ugonjwa wa Moyo , wa kaanza kummezesha vidonge.

Walivyokuja Team toka jakaya cardiac, wakagundua dada Ana ugonjwa mwingine na Sio Moyo.

Na ndipo ma daktari toka jakaya cardiac wakssema kama daktari kuna kitu Una mashaka basi uliza Kwa wezioπŸ₯Ί
 
Ngoja madaktari tutoe utetezi kwenye hili DR Mambo Jambo Dr Restart DR HAYA LAND
Mna kipi cha kuongeza hapa. Ila mimi nadhani madaktari walijaribu kurusha vocal wakachemsha πŸ˜ƒπŸ˜ƒ siamini kwamba lugha ndio tatizo

Kuongea kiingereza na kuwa daktari ni mambo mawili tofauti.

Watz wengi na wasomi tunaandika kiingereza ,tunasoma kiingereza Ila kuongea hatuwezi we are not proficiency in speaking .

Na la mwisho mtoa mada amelikuza jambo kuliko uhalisia wake .
 
Science is all about understanding fact, from there wewe hata mwenyewe unaweza jenga hoja zako. But then yes wana kariri only few of them wanaelewa. It seems tuna teain doctors ili wafaulu sio wawe efficient. Nchi iko kwenye trouble
Nacte wameifanya elimu kuwa ni biashara huria,
Mzumbe ifunda , kilakala, tosamaganga, etc Sasa ivi ni kama zimekufa kabisa.
Zilitupa wataalamu kama DK Shaba, pro sarungi , dr Kasambala etc.
 
On top of that kuna lugha ya kidaktari ambayo sis health practitioners tunaiongea, na haitaki bra bra nyingi πŸ˜€πŸ˜€ unaweza ukaongea short and clear na mkaelewana
Kuongea kiingereza na kuwa daktari ni mambo mawili tofauti.

Watz wengi na wasomi tunaandika kiingereza ,tunasoma kiingereza Ila kuongea hatuwezi we are not proficiency in speaking .

Na la mwisho mtoa mada amelikuza jambo kuliko uhalisia wake .
 
Kuongea kiingereza na kuwa daktari ni mambo mawili tofauti.

Watz wengi na wasomi tunaandika kiingereza ,tunasoma kiingereza Ila kuongea hatuwezi we are not proficiency in speaking .

Na la mwisho mtoa mada amelikuza jambo kuliko uhalisia wake .
Kutema Yai, ndio kukoleza
 
Point yangu πŸ‘‰ Hawakutaka ushirikiano nao kabisa ,yaani walijuweka mbali kabisa.
πŸ‘†.
Unakabidhiwa mtoto wa Ki Sudan, unaamuna kujiweka mbali huu si mzaha.
Daktari unaogopa Nini kutoka Kwa mwanafunzi wako
Kama ingekuwa wanapenda kampani yao wangekuwa karibu nao.... Kingereza kitu hapo sudan kwa kingereza gani basi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…