Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Haya sasa.

Hawa makanjanja ukicheza vibaya wanakung'oa maini unakuwa toinyo!
 
On top of that kuna lugha ya kidaktari ambayo sis health practitioners tunaiongea, na haitaki bra bra nyingi 😀😀 unaweza ukaongea short and clear na mkaelewana
Urongo mtupu!

Shuleni mlisomaje udaktari wakati Kingereza hamkijui?

Mlikuwa mnakariri tu ndio maana kumezuka makanjanja wanaotudunga machanjo ya mwendokasi.
 
CHAI
 
Kiswahili hakina tija Kwa Tanzania
 
Hapa umenena TUJIFUNZE LUGHA YETU KIBANGA AMPIGA MKOLONI NDIO KABURI LA LUGHA YA KIMATAIFA HAPA TANZANIA.
 
Hap ndipo mnapofeli Watanzania.

Hivi kati ya mwenyeji na mgeni nani anapaswa kujua lugha ya mwenzake ili mzungumze? Nani anapaswa kufuata utaratibu uliopo ,je ni jukumu la mgeni au mwenyeji?

Je wewe ukienda kwenye zao utawalazimisha wajue lugha Yako ili muwasiliane au wewe utajifunza lugha ya kwao?

Kuna baadhi ya nchi mfano Algeria ili usome kule lazima usome mwaka mzima lugha yao kisha ndipo uendelee na kozi yako.
 
An advice, for a graduate, before receiving your paper, one has to pass through an intensive course in English, if he / she fails then "no degree ".
Naunga mkono hoja.

Hii ianze mara moja ili kuwadhibiti makanjanja.

Mtu ana DEGREE halafu hajui kuongea hata sentensi moja ya kizungu!!

Hiyo degree yake itakuwa ya kubabaisha tu!
 
Acha upuuzi mtoa mada, kwanini wao wasijifinze kiswahili. Nyie ndio mnaowapigia magoti mabeberu kwakila jambo. Leo hii unaona lugha yako ni takataka haifai kufundishia? Mpuuzi kweli wewe
 
Siku wakifanya huu upuuzi. Watoto wangu watasoma kenya.
 
Sasa Kiswahili ni lugha ya kimaitaifa? Mpaka MTU ajifunze.
Kiswahili ni kiluga kama kilivyokuwa kisukuma
 
[emoji16][emoji16]

Kuna rafiki yangu alienda china kusoma udaktari wa wanyama.Baada ya kupata scholarship. Ila mwaka wa kwanza wote alitumia kusoma kichina ili kuondoa language barrier, ukishindwa kukielewa kichina hauendelei na course unayotaka.

Nashangaa hapa watu wanaona mtu kujua English ndo akili
 
Acha upuuzi mtoa mada, kwanini wao wasijifinze kiswahili. Nyie ndio mnaowapigia magoti mabeberu kwakila jambo. Leo hii unaona lugha yako ni takataka haifai kufundishia? Mpuuzi kweli wewe
Kiswahili ni local language kama kilivyo kisukuma,kigogo, kipare , Sasa msudani akijifunza Kiswahili akirudi kwao Sudan, ataongea na nani Kiswahili?
 
Kuweni Makini kupeleka watoto wenu China, vyuo vingi mnavyowapeleka havitambuliki duniani.

Wakati china anapeleka watu wake marekani, sisi tuko bize kupeleka watoto wenu China, ivi nyie mnajielewa Kweli.
 
Kwa asilimia kubwa huu uzi una uongo kwa asilimia 100,..hospital kuna kada tofauti hakuna madaktari peke yake,pale kuna levels za Medical attendant,Nurses,wataalam wa maabara,wataalamu wa Mionzi,Wataalam wa meno,Clinical officers, AMO, MD na madaktari bingwa,..mwanafunzi yoyote anayesoma kada ya Afya lazima azunguke kwenye vitengo hivyo na hao wataalam atakutana nao,..mfano daktari anaweza asiwe fluently kwenye lugha lakini hawezi shindwa kuwasiliana na daktari yoyote Duniani kwa sababu kuna medical terminologies ambazo zinauwanganisha kwenye tiba...Watanzania tumekua na tabia za kupenda kusambaza uongo na kuponda vya kwetu na kuvisifia vya wengine,tuache hizi tabia..kwenye ukanda wa Afrika mashariki kwenye suala la Tiba Tanzania tuko juu kwa sasa,na hawa wataalamu tunzalisha kwenye vyuo vyetu vya ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…