Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Mkulima wa parachichi huko mbeya Kwa kina chichi akiwa na anafanya mawasiliano na wateja wa nje ya Nchi, mfano wateja wa south Africa atazungumza lugha Gani ?
Usiende mbali! Ungeuliza ni kwa nini wakulima wengi wa parachichi Tanzania hawayapeleki maparachichi yao nje kama wenzao wa Kenya?
 
"Tunapaswa kujivunia lugha yetu maana hatutaweza kuwa wabunifu kwenye sayansi kupitia lugha za kigeni"
👆
Mkuu tz lugha yetu ni ipi?
 
Usiende mbali! Ungeuliza ni kwa nini wakulima wengi wa parachichi Tanzania hawayapeleki maparachichi yao nje kama wenzao wa Kenya?
Kuna mdau mmoja huko juu amenijibu atatumia AI au translater,
CCM imeharibu àkili za watu
 
Haha 🤣 ila watoto Wao wanabonga ngeli , itakuwa walisoma Kenya
 
Nimeshangaa mtaala mpya kuto tamka moja kwa moja kuwa lugha ya kufundishia iwe lugha ya kingereza kuanzia vidudu hadi chuo kikuu na kiswahili kitabaki kama somo tuu na ni la lazima!
Hawataki citizens wa tz wawe na exposure,
 
Umasikini wa akili mbaya Sana, yaan wasudani nao ni wa kutulazimisha tuongee lugha wanayoitaka wao. Sisi lugha yetu ya taifa ni kiswahili suala la kiingereza tusameheane tunapokosea/tunaposhindwa kuelewana. Wajitahidi kukielewa kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…