Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

mi nilikua na wa zoom tu badala kwenda kenya wanakuja taifa la kula tunda kimasihara
 
Wanakifahamu, sema hawajakizoea.

Wewe unakionaje hiki Kizungu cha Profesa?
 

Attachments

  • WAZIRI_NDALICHAKO_AMWEKA_NDANI_MKANDARASI_WA_KICHINA(144p).mp4
    3.4 MB
Hawakijui vizuri lakini wanajitahidi kuongea sio kama Sisi

Kuna jamaa ni Msudani Kusini, Kuna kazi nilifanya naye Juzi Jumatatu, the guy is fluent in English

Kutokea hapo nikajilaumu kwanini nilisoma Shule za Kata 🙌
Yuko fluent kama Engineer wetu?
 

Attachments

  • KIINGEREZA_CHA_MBUNGE_MSUKUMA_CHAWAVUNJA_MBAVU_WABUNGE_BUNGENI(144p).mp4
    5.6 MB
✅✅✅
 
WWaa
Waamuzi wetu wa mpira wa miguu hawapewi kuchezesha michezo ya kimataifa sababu kubwa ikiwa ni lugha na rushwa
 
Unadhani mtu wa South Africa atanunua parachihi za Bongo sababu wanajua English nzuri au ubora wa hizo parachichi ?!!! Na mpaka huyu auze parachichi directly south ni Trader wala sio Mkulima Na kama Parachichi ni nzuri inajiuza hata kama huyu Mkulima ni Bubu.....

Hatuendelei na tumedorara sio sababu ya lugha (kwanza tunawazidi majirani zetu wote sababu tuna lugha inayotuunganisha watanzania) Nenda huko Cameroon Nusu wanaongea English Nusu wanaongea French yaani utata mtupu...; Thus kabla hatujalaumu communication tulaumu kutokuwa na viongozi bora; kabla hatujalaumu madaktari hawajui English tulaumu uhaba / ratio ya madaktari kwa wagonjwa ni ndogo....

Language ni skill kama skill nyingine na kwa daktari hii ni extra sio core...
 
"Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa."

☝☝☝ nadhani njia nzuri ni kubadili namna wanavyofundisha somo la kiingereza mashuleni somo lisiwe kwa ajili ya kujibia mtihani bali liwe linafundishwa kama full course ya lugha ya kiingereza yaani wawe wanasoma theory, kisha kuwe na session za communications na hizi ziwe ndefu , wawe na midahalo , na ikiwezekama wawe pia na interschool english language competitions n.k

Hii itawasaidia wanafunzi kujifunza lugha hiyo mapeema ndani ya miaka minne anatoka anajua kuwasiliana ,kusoma na kuandika kiingereza fasaha.
 
Kama siyo lugha yao wana haki ya kutokukijua.

Lakini kwa Tanzania, nchi ambayo inafahamika kuwa lugha ya kufundishia kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu ni Kizungu, ni aibu msomi kutokujua English fasaha. Lazima kuna kasoro mahali.
 
Mkuu iyo contracts zitakuwa ni za Kiswahili AU English,na lizama bidhaa unayo iyuza iwe na maelezo ya kutosha , ili mnunuzi anunue
 
Umuhimu wa lugha ya Kiswahili Tanzania iko wapi ?
 
Inategemea na tasnia for sure, kama ni mfanya biashara au mkulima for sure lugha haiplay major role.
 
Tena hili halihitaji fedha za kigeni, waalimu toka nchi jirani mahiri wa kingereza waliofanyiwa usaili interview na waTanzania wabobezi wa lugha ya kiingereza watakuja wengi kulipwa hela za madafu.
Ni swala zuri kabisa na linawezekana ila kiswahili kinapewa kipaumbele sana wapo watu wenye nyadhfa kbs wataligomea Hilo swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…