Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kuna jamaa alikwenda Russia akajifunza Kirusi unadhani huku anaongea na nani ? Ila kule bila hicho Kirusi unadhani maisha yake yangekuwa mepesi ?Kiswahili ni local language kama kilivyo kisukuma,kigogo, kipare , Sasa msudani akijifunza Kiswahili akirudi kwao Sudan, ataongea na nani Kiswahili?
Hapa kuna point mbili; Moja sio kwamba hawa Wabongo ni watupu kabisa kwenye yai wanajua cha kuombea maji ambacho kinatosha; Hao waliokuja kama wanaona shida ya kuelewana na wabongo basi wajifunze kiswahili; sio weaknesses zao wahamishie huku au wangeenda kusoma UK; Ila unajua nini ? Hakuna sehemu nzuri ya kujifunza udaktari practically kama Africa; huku hata ukiwa intern ni rahisi sana kukutana na wagonjwa sio theory tu....