Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
Kunywa maji ya kutosha,kula matunda hasa papai na parachichi,fanya mazoezi,au kama una kieneo unaweza lima basi lima walau hatua kumi kwa kumi,yaani kimba hili mlangoni,usile chapati chapati na maandazi,vinaziba sana
 
Pole kwa hayo ,una muda gani una hilo tatizo ?
Je dawa uliyotumia inaitwaje ? Karibu nikuhudumie ,leo niko serious kazini hivyo atakaeleta utani kwenye taaluma yangu sitasita kumreport kwa mods kwa kunitoa kwenye userious
 
Wengine tuliponea futa la mnyonyo,,na tukabadili life style
 
Back
Top Bottom