DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa wewe MD ulishindwa hata jua tatizo linalokusumbua kabla hujaenda huko zahanati?

Kingine

Madaktari wengi vijana hawana uzoefu
Yeye alikuwa safarini, hakuwa na vifaa vya kupimia, Elewa hilo.
 
Maprofesa wengi wa Medicine ni MD tu.
 
Baada ya asubuhi yake kumcheki mshikaji wangu cardiologist na kwenda anakofanyia kazi, nilifanyiwa vipimo vyote na kupata ushauri na dawa, naendelea poa sasa.
Ni ugonjwa gani daktari wako aligundua? Just in nutshel
 
shida kubwa ni kuifanya tiba kwa binadamu ifanane na tiba kwa mnyama. Tuna madaktari wengi wa wanyama na madaktari wachache wa binadamu. Binadamu ni lazima asikilizwe kwanza au kama ni mahututi mtu wa karibu atoe taarifa na ifanyiwe kazi ili kuepusha mgonjwa hasa wa dharura kupoteza maisha. Wewe ni daktari, mwenzio akikosea mwambie hapo hapo kwan unaokoa maisha ya watu.
Mimi nikiwa natibiwa ni lazima daktari anijibu yale yote nayohitaji kuyafahamu maana huu ni mwili wangu na wapo wanaonitegemea. Anieleze kwa nini ananipa kipimo flani na dawa flani na matokeo yake kwa hali yangu, ikiwezekana namwambia nipime hiki, hiki hapana unanidanganya. Kila mmoja kwa nafasi yake akisimamia hili hasa kwenye matibabu ya watoto, taratibu tutafika mbali na madaktari watajifunza kututibu kama binadamu na si wanyama.
 
Sio vijana tu hadi madaktari wazee nao hamna kitu ni vihiyo.
Kikubwa ninachomshukuru Mungu CO nilisoma tanzania ila MD nimesoma Sweden,vyuo vyote tanzania ni uozo .
Tumepoteza ndugu zetu wengi kwa uzembe wa Dr
Basi muwe mnakuja kwetu kwa nadikta wa mitishamba dawa zetu hazina sumu
 
dadeeki sindano za kurudisha uhai??
 
Uongo wa mganga ni nafuu ya mgonjwa. Huoni uongo alioufanya umekufikisha asubuhi na hadi sasa unadunda😆
 
Madaktari wa Tanzania wanafanya jamii izidi kwenda kwenye ushirikina..
Uiiangalia hata kifo cha Membe ..kuna uzembe pia wa madaktari..mtu anaenda hospital anaambiwa Hana tatizo..kesho anafariki...

Naona ukifika umri kuanzia 50 kama Una hela labda ukaishi Europe Tu ndo angala utafikia hata miaka 70..
Huku utakufa huku ndugu zako wanaenda Kwa waganga kuangalia ilikuwaje??
 
Uongo wa mganga ni nafuu ya mgonjwa. Huoni uongo alioufanya umekufikisha asubuhi na hadi sasa unadunda😆
Mwanzo alishindwa kulala lkn baada ya tukio akapona kabisa. Sasa sijui ni ugonjwa gani mkali hivyo na ukipona bila dawa

Njooni kwetu madokta wa mitishamba hatuna mbambamba
 
Umesaidia kuongeza ubovu kwenye field kwanini u-hide idendity? unaona kabisa mwezio ameyumba na hiyo digital inampoteza maboya wewe umekaa tuu ili uje umseme huku JF?

umezingua kabisa mkuu ...
 
Tatizo ambalo halipewi uzito au halisemwi especially kwenye kada ya Afya ni hili hapa wengine watasema.

Tuna watoa huduma ambao wamekata tamaa sana na wako stressed sana.. jamii/familia ndugu wanahisi mtu kuwa Dr anapata pesa nyingi sana hata jamii ime-set standard flani kwa mtu akisema yeye ni Dr basi wanajua/wanategemea awe mambo safi financially.

Bahati mbaya kabisa hata wenyewe(Drs, Ns, Phm etc) kipindi wanasoma since grass root waliamini wakifika level hizo .. mambo yao yatakuwa super ... miaka 20imepotelea darasani with high expectation .... Akija kitaa anakutana na mshahara kiduchu ... bellow 1M ... anakutana na tegemezi ya nguvu.
matokeo yake anaenda kazini kutimiza muda wake tuu arudi mtaani akanywe bia.

Hili eneo linahitaji kusoma kila siku ili uendelee kutoa huduma iliyo bora ... changamoto iliyopo nani asome kila siku na majukumu mengine yanamngoja ,.. kwanza anatakiwa atafute pesa nje na eneo lake la kazi ...

Matokeo yake Graph ya uelewa wa conditions huzidi kushuka unabakiwa na shule ya kuegesha mixer uzoefu....

NB. Ni kweli kuna baadhi ya mazingira unaona kabisa hapa huyu jamaa hii condition haijui na anakomaa bila kumpeleka mgonjwa sehemu nyingine akapate msaada....

BTW huku JF/mitandaoni hakuna pongezi kwa Drs, Nurses, Pharmacist na watoa huduma in general .. huku zinakuja lawama tuu .. are u expecting your son & daughters to be alien?

Had more than 500ops in my hand ... kama kuna apreciation ni hawazidi 10.
Any way mimi napenda attitude ya vijana wanaokuja kwenye Game ... hela, hela, shule kidogo ha ha haaa..
 
Pole sana Dkt. Mimi nilitibiwa miezi miwili kwa madozi makali makali tena magonjwa haya maarufu

UTI
MALARIA
TYPHOID
AMOEBA tumboni

Kumbe sikuwa na ugonjwa hata mmoja kati ya hayo bali nilikuwa na corona type 3[emoji3064][emoji848][emoji2827]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Jana nilikutana na classmate wangu mmoja MD pale Kinyerezi Park anakula bia kama hana akili, totoz ndo usiseme.

kila mtu ashinde mechi zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitaka kumuambukiza Dr mwenzako corona au,ndo maana MD alisanuka mapema[emoji1][emoji1],alikuwa anajua Kila kitu ila hakutaka kujiingiza kizembe.
Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akaamua amsukumie nurse.
 
Huwa nashangaa pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mimi sio doctor ila nawashinda😁😁😁😁 ni lazima ningesikiliza nijue kasi ya mapigo ya moyo kwanza.
 
Umemalizaaa kila kituuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…