Nchi yenye madaktari wachache unaongeza tena michujo isiyoeleweka!! Watu wanasema kuwa wanakaa mtaani mwaka mzima pasipo kufanya mazoezi sababu hawana ajira - watafauluje mitihani ya kihivyo?Kufeli ni tatizo la Mtahiniwa
Kabisa mkuu.ina maana hao madocta wanasubiri next offer au ndoimetoka?Hizi professional bodies nyingi hapa nchini zipo kwa ajili ya kuua ndoto za watu. Kitu kilichosomwa kwa miaka 5 kinauliwa na mtihani wa masaa 3. Hakuna rufaa za wazi nk
Nchi yenye madaktari wachache unaongeza tena michujo isiyoeleweka!! Watu wanasema kuwa wanakaa mtaani mwaka mzima pasipo kufanya mazoezi sababu hawana ajira - watafauluje mitihani ya kihivyo?
Mkuu what are you trying to say? Kwamba madaktari wa zamani hawajui vitu vingi kama nyie freshers? You must be very wrong na kwa mentality kama zako ndio wale mnaozidisha migogoro makazini kwa kujiona mko bora.Mkuu hao wa zamani walijua vitu vingi? Wamekuwa computer?
Kuna daktari wa operation alisifika kwa mkono wa kuua wagonjwa na alikuwa wa zamani.
Mfumo wa kisasa wa elimu unamuwezesha daktari wa kisasa kujua vitu vingi na kupata usaidizi wa kitenkolojia haraka kiliko zamani.
Madaktari wa sasa wanaweza kutumia teknolijia za kitabibu kuliko wa zamani.
Mfano siku hizi x ray zipo kulingana na ogani.
Mfano jino mwanafizikis anspiga picha ys jino, mashine instums mda uo uo kwa daktari.Dsktari anasona kwenye mfumo na kutoa majibu sio suala la kukidua kisia tu kama madaktari wa zamani. Dina hakiks kama hso madaktari wako wa zamsni wanajya hsta kutumia hio mifumo.
Hebu tuache mambo ya ukale ukale.
Nikimsikia myu anatukuza zamani nsmshangaa saba.
Waxungu mda huu wana andaa AI BOT za kitabibu sisi kuna watu wanathimini kukariri.
Ulimwengu wa sasa tunahitajika kujua ku search information na si kukariri kila kitu.
Mambo ni mengi kuliko muda.
Tz ngumu sana mkuu.Me najua ukimalza intern tayr umemalza kumbe kuna MCT exam tena af ukitoka hapo kaz ngumu ukipata kijiwe lak 2/3 kwa mwez..aiseeNchi yenye madaktari wachache unaongeza tena michujo isiyoeleweka!! Watu wanasema kuwa wanakaa mtaani mwaka mzima pasipo kufanya mazoezi sababu hawana ajira - watafauluje mitihani ya kihivyo?
Topic closed. Ni wanafanya ivo kutokana hawana uwezo wa kuajiri wote so wanatumia mitihan kuwapunguza.Mtu kasoma miaka 6 kafaulu kote af exam ya 3 hr ukifeli unarud kuwa na chet cha fom6/Diploma ni mbinu za kuwapunguza tu.Nchi haina madaktari wachache, nchi haiwezi ajiri madaktari wa kutosha, na katika mazingira hayomthihani ni muhimu ili kupunguza waitaji.
Ni sheria ya demand and supply, kuna miaka huko form four alikuwa hakai mtaani ajira chap chap, kwa sasa mtu wa degree anakaa miaka 10 kazi hakuna.
Na serikal saiv wanatangaza nafas za kujitolea alaf wanawalipa nusu mshahara..Mkuu what are you trying to say? Kwamba madaktari wa zamani hawajui vitu vingi kama nyie freshers? You must be very wrong na kwa mentality kama zako ndio wale mnaozidisha migogoro makazini kwa kujiona mko bora.
Madaktari wengi wana utaratibu wa kwenda kusoma na kuji'update so hakuna unachokijua wasichokijua hao wa zamani.
Pia technology na mitambo unayoizungumzia haijàfika vijijini kwenye hizi hospitali na vituo vya afya so utalazimika kutibu kizamani hata kama una utaalam wa matumizi ya vifaa vya kisasa.
Kufeli ni tatizo la mwalimuKufeli ni tatizo la Mtahiniwa
Kufeli ni tatizo la mwalimu
Madakitari wa mchongo nadhani wanaletwa na huu utaratibu unaoanzishwa na MCT. Umuweke mtu mtaani miaka mitatu bila practice; Kwa bahati akaja kufaulu mtihani wako wa nadharia 😂😂 unadhani hapo utakua na dakitari; sidhani hata kama atakua anakumbuka hata kushika syrii😂😂Kumekuwa na Madaktari wengi wa mchongo sikuhizi
Zaidi ataingia kwenye taaluma kutafuta kujikwamua kimaishaMadakitari wa mchongo nadhani wanaletwa na huu utaratibu unaoanzishwa na MCT. Umuweke mtu mtaani miaka mitatu bila practice; Kwa bahati akaja kufaulu mtihani wako wa nadharia 😂😂 unadhani hapo utakua na dakitari; sidhani hata kama atakua anakumbuka hata kushika syrii😂😂
Sio miaka mi5 Bali ni 6 ukijumlisha na internship, MCT wachunguzwe na ikiwezekana na wao wafanyishwe mitihani pumbavu zao.Mimi sijasomea udaktari lkn sikubaliani na hili.Mtu apigike miaka mitano kisha unakuja kumrudisha mtaani ya nini?Je wao wenyew si ndio waliowapa hawa vijana mtihani na baada ya kufaulu wamestahili kufanya kazi hiyo?Kazi yeyote ile duniani iwe udaktari ,uhasibu,mwanasheria nk kadri mtu anavyoifanya ndipo anapoendelea kupata ujuzi.Huko mahospitali si kuna madaktari bingwa/maprofesa ambapo vijana wanaweza kuzidi kupata ujuzi kutoka kwao?Acheni ujinga bhn bora mmengewaweka chini ya uangalizi wa performance zao sio huo ujinga mnaofanya
Mkuu nakurekebisha, nchi hii ndo ya kipekee ambayo haijaanza kuajiri physicist kwenye afya wakati ni lazima Kila hospitali iwe na physicists ila Serikali imeamua kufyata mkia.Mkuu hao wa zamani walijua vitu vingi? Wamekuwa computer?
Kuna daktari wa operation alisifika kwa mkono wa kuua wagonjwa na alikuwa wa zamani.
Mfumo wa kisasa wa elimu unamuwezesha daktari wa kisasa kujua vitu vingi na kupata usaidizi wa kitenkolojia haraka kiliko zamani.
Madaktari wa sasa wanaweza kutumia teknolijia za kitabibu kuliko wa zamani.
Mfano siku hizi x ray zipo kulingana na ogani.
Mfano jino mwanafizikis anspiga picha ys jino, mashine instums mda uo uo kwa daktari.Dsktari anasona kwenye mfumo na kutoa majibu sio suala la kukidua kisia tu kama madaktari wa zamani. Dina hakiks kama hso madaktari wako wa zamsni wanajya hsta kutumia hio mifumo.
Hebu tuache mambo ya ukale ukale.
Nikimsikia myu anatukuza zamani nsmshangaa saba.
Waxungu mda huu wana andaa AI BOT za kitabibu sisi kuna watu wanathimini kukariri.
Ulimwengu wa sasa tunahitajika kujua ku search information na si kukariri kila kitu.
Mambo ni mengi kuliko muda.
Mimi nimeongea kama mgonjwa niliewahi tibiwa. Kusoma mifumo ya mwili kwa mashine sio kika daktari anaweza kwa ufanisi. Nimetibiwa na madaktati wengi kwa ugonjwa huo huo.Mkuu what are you trying to say? Kwamba madaktari wa zamani hawajui vitu vingi kama nyie freshers? You must be very wrong na kwa mentality kama zako ndio wale mnaozidisha migogoro makazini kwa kujiona mko bora.
Madaktari wengi wana utaratibu wa kwenda kusoma na kuji'update so hakuna unachokijua wasichokijua hao wa zamani.
Pia technology na mitambo unayoizungumzia haijàfika vijijini kwenye hizi hospitali na vituo vya afya so utalazimika kutibu kizamani hata kama una utaalam wa matumizi ya vifaa vya kisasa.
Napo washatangaza mchujo.Hakuna pa kukimbilia ni kuwa competent tu. Wekeza kujua zaidi ya kujua, ukisoma kikawaida utapigwa na kitu kizito kichwani.Wakimbilie tuu kwenye ualimu maana kwenye hii nchi ualimu ndio kada pekee inayoonekana kila mtu anaweza fanya