Mimi sijasomea udaktari lkn sikubaliani na hili.Mtu apigike miaka mitano kisha unakuja kumrudisha mtaani ya nini?Je wao wenyew si ndio waliowapa hawa vijana mtihani na baada ya kufaulu wamestahili kufanya kazi hiyo?Kazi yeyote ile duniani iwe udaktari ,uhasibu,mwanasheria nk kadri mtu anavyoifanya ndipo anapoendelea kupata ujuzi.Huko mahospitali si kuna madaktari bingwa/maprofesa ambapo vijana wanaweza kuzidi kupata ujuzi kutoka kwao?Acheni ujinga bhn bora mmengewaweka chini ya uangalizi wa performance zao sio huo ujinga mnaofanya