DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi sijasomea udaktari lkn sikubaliani na hili.Mtu apigike miaka mitano kisha unakuja kumrudisha mtaani ya nini?Je wao wenyew si ndio waliowapa hawa vijana mtihani na baada ya kufaulu wamestahili kufanya kazi hiyo?Kazi yeyote ile duniani iwe udaktari ,uhasibu,mwanasheria nk kadri mtu anavyoifanya ndipo anapoendelea kupata ujuzi.Huko mahospitali si kuna madaktari bingwa/maprofesa ambapo vijana wanaweza kuzidi kupata ujuzi kutoka kwao?Acheni ujinga bhn bora mmengewaweka chini ya uangalizi wa performance zao sio huo ujinga mnaofanya
 
Kufeli ni tatizo la Mtahiniwa
Nchi yenye madaktari wachache unaongeza tena michujo isiyoeleweka!! Watu wanasema kuwa wanakaa mtaani mwaka mzima pasipo kufanya mazoezi sababu hawana ajira - watafauluje mitihani ya kihivyo?
 
Hizi professional bodies nyingi hapa nchini zipo kwa ajili ya kuua ndoto za watu. Kitu kilichosomwa kwa miaka 5 kinauliwa na mtihani wa masaa 3. Hakuna rufaa za wazi nk
Kabisa mkuu.ina maana hao madocta wanasubiri next offer au ndoimetoka?
 
Nchi yenye madaktari wachache unaongeza tena michujo isiyoeleweka!! Watu wanasema kuwa wanakaa mtaani mwaka mzima pasipo kufanya mazoezi sababu hawana ajira - watafauluje mitihani ya kihivyo?

Nchi haina madaktari wachache, nchi haiwezi ajiri madaktari wa kutosha, na katika mazingira hayomthihani ni muhimu ili kupunguza waitaji.

Ni sheria ya demand and supply, kuna miaka huko form four alikuwa hakai mtaani ajira chap chap, kwa sasa mtu wa degree anakaa miaka 10 kazi hakuna.
 
Mkuu hao wa zamani walijua vitu vingi? Wamekuwa computer?
Kuna daktari wa operation alisifika kwa mkono wa kuua wagonjwa na alikuwa wa zamani.
Mfumo wa kisasa wa elimu unamuwezesha daktari wa kisasa kujua vitu vingi na kupata usaidizi wa kitenkolojia haraka kiliko zamani.
Madaktari wa sasa wanaweza kutumia teknolijia za kitabibu kuliko wa zamani.
Mfano siku hizi x ray zipo kulingana na ogani.
Mfano jino mwanafizikis anspiga picha ys jino, mashine instums mda uo uo kwa daktari.Dsktari anasona kwenye mfumo na kutoa majibu sio suala la kukidua kisia tu kama madaktari wa zamani. Dina hakiks kama hso madaktari wako wa zamsni wanajya hsta kutumia hio mifumo.
Hebu tuache mambo ya ukale ukale.
Nikimsikia myu anatukuza zamani nsmshangaa saba.
Waxungu mda huu wana andaa AI BOT za kitabibu sisi kuna watu wanathimini kukariri.
Ulimwengu wa sasa tunahitajika kujua ku search information na si kukariri kila kitu.
Mambo ni mengi kuliko muda.
Mkuu what are you trying to say? Kwamba madaktari wa zamani hawajui vitu vingi kama nyie freshers? You must be very wrong na kwa mentality kama zako ndio wale mnaozidisha migogoro makazini kwa kujiona mko bora.

Madaktari wengi wana utaratibu wa kwenda kusoma na kuji'update so hakuna unachokijua wasichokijua hao wa zamani.
Pia technology na mitambo unayoizungumzia haijàfika vijijini kwenye hizi hospitali na vituo vya afya so utalazimika kutibu kizamani hata kama una utaalam wa matumizi ya vifaa vya kisasa.
 
Tz ngumu sana mkuu.Me najua ukimalza intern tayr umemalza kumbe kuna MCT exam tena af ukitoka hapo kaz ngumu ukipata kijiwe lak 2/3 kwa mwez..aisee
 
Nchi haina madaktari wachache, nchi haiwezi ajiri madaktari wa kutosha, na katika mazingira hayomthihani ni muhimu ili kupunguza waitaji.

Ni sheria ya demand and supply, kuna miaka huko form four alikuwa hakai mtaani ajira chap chap, kwa sasa mtu wa degree anakaa miaka 10 kazi hakuna.
Topic closed. Ni wanafanya ivo kutokana hawana uwezo wa kuajiri wote so wanatumia mitihan kuwapunguza.Mtu kasoma miaka 6 kafaulu kote af exam ya 3 hr ukifeli unarud kuwa na chet cha fom6/Diploma ni mbinu za kuwapunguza tu.

Mamb yanabadilika kipind cha kikwete mtu akihitimu coz ya afya ni miez 3 kapangiwa site saiv sasa gombania goli..
 
Mkuu what are you trying to say? Kwamba madaktari wa zamani hawajui vitu vingi kama nyie freshers? You must be very wrong na kwa mentality kama zako ndio wale mnaozidisha migogoro makazini kwa kujiona mko bora.

Madaktari wengi wana utaratibu wa kwenda kusoma na kuji'update so hakuna unachokijua wasichokijua hao wa zamani.
Pia technology na mitambo unayoizungumzia haijàfika vijijini kwenye hizi hospitali na vituo vya afya so utalazimika kutibu kizamani hata kama una utaalam wa matumizi ya vifaa vya kisasa.
Na serikal saiv wanatangaza nafas za kujitolea alaf wanawalipa nusu mshahara..
 
Kumekuwa na Madaktari wengi wa mchongo sikuhizi
 
Madakitari wa mchongo nadhani wanaletwa na huu utaratibu unaoanzishwa na MCT. Umuweke mtu mtaani miaka mitatu bila practice; Kwa bahati akaja kufaulu mtihani wako wa nadharia 😂😂 unadhani hapo utakua na dakitari; sidhani hata kama atakua anakumbuka hata kushika syrii😂😂
 
Zaidi ataingia kwenye taaluma kutafuta kujikwamua kimaisha
 
Wakimbilie tuu kwenye ualimu maana kwenye hii nchi ualimu ndio kada pekee inayoonekana kila mtu anaweza fanya
 
Mimi sijasomea udaktari lkn sikubaliani na hili.Mtu apigike miaka mitano kisha unakuja kumrudisha mtaani ya nini?Je wao wenyew si ndio waliowapa hawa vijana mtihani na baada ya kufaulu wamestahili kufanya kazi hiyo?Kazi yeyote ile duniani iwe udaktari ,uhasibu,mwanasheria nk kadri mtu anavyoifanya ndipo anapoendelea kupata ujuzi.Huko mahospitali si kuna madaktari bingwa/maprofesa ambapo vijana wanaweza kuzidi kupata ujuzi kutoka kwao?Acheni ujinga bhn bora mmengewaweka chini ya uangalizi wa performance zao sio huo ujinga mnaofanya
Sio miaka mi5 Bali ni 6 ukijumlisha na internship, MCT wachunguzwe na ikiwezekana na wao wafanyishwe mitihani pumbavu zao.

Hiyo mitihani yenyewe anatunga nani? Na kwann isiwe practical oriented kuliko theory ? Alafu kama mtihani wa NECTA unavuja sembuse huo unaotungwa na hao ma Dr wenyewe? Hamuoni kwamba Kuna watu wenye ndugu zao huko juu wanaweza kuupata huo mtihani na wakafaulu kwa mchongo?

Yake Yale ya professor Mkenda eti wahitimu wa ualimu wafanyishwe mitihani kwenye kuajiriwa ili kuheshimisha kazi ya ualimu bila kujua kwamba heshima ya kazi ni maslahi + mazingira rafiki ya kufanyia kazi.

Taifa la ovyo kabisa ambapo aliyesoma na asiyesoma hawana tofauti ukiondoa madaraka na vyeo
 
Mkuu hao wa zamani walijua vitu vingi? Wamekuwa computer?
Kuna daktari wa operation alisifika kwa mkono wa kuua wagonjwa na alikuwa wa zamani.
Mfumo wa kisasa wa elimu unamuwezesha daktari wa kisasa kujua vitu vingi na kupata usaidizi wa kitenkolojia haraka kiliko zamani.
Madaktari wa sasa wanaweza kutumia teknolijia za kitabibu kuliko wa zamani.
Mfano siku hizi x ray zipo kulingana na ogani.
Mfano jino mwanafizikis anspiga picha ys jino, mashine instums mda uo uo kwa daktari.Dsktari anasona kwenye mfumo na kutoa majibu sio suala la kukidua kisia tu kama madaktari wa zamani. Dina hakiks kama hso madaktari wako wa zamsni wanajya hsta kutumia hio mifumo.
Hebu tuache mambo ya ukale ukale.
Nikimsikia myu anatukuza zamani nsmshangaa saba.
Waxungu mda huu wana andaa AI BOT za kitabibu sisi kuna watu wanathimini kukariri.
Ulimwengu wa sasa tunahitajika kujua ku search information na si kukariri kila kitu.
Mambo ni mengi kuliko muda.
Mkuu nakurekebisha, nchi hii ndo ya kipekee ambayo haijaanza kuajiri physicist kwenye afya wakati ni lazima Kila hospitali iwe na physicists ila Serikali imeamua kufyata mkia.

Wanaofanya kazi na kupiga picha ni radiographers. Yaani siasa zipo hadi kwnye afya,, imagine wazungu wanavotushangaa radiology department haina physicist.
 
Mkuu what are you trying to say? Kwamba madaktari wa zamani hawajui vitu vingi kama nyie freshers? You must be very wrong na kwa mentality kama zako ndio wale mnaozidisha migogoro makazini kwa kujiona mko bora.

Madaktari wengi wana utaratibu wa kwenda kusoma na kuji'update so hakuna unachokijua wasichokijua hao wa zamani.
Pia technology na mitambo unayoizungumzia haijàfika vijijini kwenye hizi hospitali na vituo vya afya so utalazimika kutibu kizamani hata kama una utaalam wa matumizi ya vifaa vya kisasa.
Mimi nimeongea kama mgonjwa niliewahi tibiwa. Kusoma mifumo ya mwili kwa mashine sio kika daktari anaweza kwa ufanisi. Nimetibiwa na madaktati wengi kwa ugonjwa huo huo.
Ndugu kama nikifungua hodpitali nitaajiri vigana walio elekezwa teknolojia za kisasa kuliko hao waliopewa seminars.
Kuna watu ni conservative hivyo sikushangai.
Hii hii serikali yetu ipeleke madaktari kujiendeleza wawe update kwa bajeti ipi. Namashaka sana sana.
Hio bajeti hawana ila kwa watumishi wachache na sekta nyeti sio kila sekta.
Kila nikikumbuka jinsi hospital X walivyonitoa jino af nikaenda hodpital y na kukuta wana softcated tool na vijana waliosmart.
Nchi hii kwa sasa mambo makubwa yanaendeshwa na vijana na hao wazee ni wachache sana ila mpo mbele sana kuwabeza vijana wanaowahudumia kila sekta.
Nchi yoyote inayopuuza vijana hio ni dead country.
Serikali hupeleka vijana kupata ujuzi nchi mbali mbali sio wazee, sasa endelea kuamini kuwa vijana hawajui ila wazee.
 
Yaani baadhi mizee ya hii nchi ni kama michawinkabisa, haipendi kuona vijana wa wazee wenzao wakitoboa katika maisha, sasa mtu kapita kooote huko.., bado unakuja kumkwamisha kwa kitu kidogo mwishoni, sasa kama mashine haijadetect namba ya mtihani, hilo ni kosa la nani?
Na huo mtihani hamna kurudia ama?
 
Wakimbilie tuu kwenye ualimu maana kwenye hii nchi ualimu ndio kada pekee inayoonekana kila mtu anaweza fanya
Napo washatangaza mchujo.Hakuna pa kukimbilia ni kuwa competent tu. Wekeza kujua zaidi ya kujua, ukisoma kikawaida utapigwa na kitu kizito kichwani.
Kila sekta ni utitir.
Hapa nilipo muda huu tunalia bei ya viazi imeshuka kwa sababu vimejazana sokoni, the same kwa madakrari wapambane aisee hali nu ngumu sana.
 
Back
Top Bottom