Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Kumbe watu wa kwny Apu ya dada Wa Taifa mnapata udaku mwingi sana...angekua hapost watu kugeuzwa ningejiunga nipate exclusive...ila hayo ya kuchafua hali ya hewa ya sodoma yananikwaza sipendi kuangalia...
Dunia bila kugeuzana haiendii eti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.

Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.

Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.

View attachment 2813100
Q Boy Msafi alijaribu kufanya hivi lakini WCB wakafanikiwa kumrejesha nchini, kisha wakamtimua moja kwa moja.

Hawa nao watafuatia bila shaka. Muda ni mwalimu mzuri sana. Utaongea bila shaka.

Ova
 
Aisee yaani hao marinda yatakoma. Watafanya kazi gani? Yaani kama walikuwa na uwezo wa kujikatia ticket kwa hela ya Diamond maana yake wanakipato kizuri kuzidi wamarekani wengi.
Akili zao unajua zimetarget nn. Tupunguze dhahania zetu. Acha vijana wakapambanie ndoto zao. Marekani hawawezi kukosa kazi hata za kufagia
 
Aisee yaani hao marinda yatakoma. Watafanya kazi gani? Yaani kama walikuwa na uwezo wa kujikatia ticket kwa hela ya Diamond maana yake wanakipato kizuri kuzidi wamarekani wengi.
Huu ni udhalilishaji, chawa wa mama kuwa na akili za kiasn*g kiasi hiki.! Ukiwa chawa ccm unakuwa huna akili hivi? Mnamuaibisha mama.
 
Back
Top Bottom