johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wawajali kivipi? Nyerere ndiyo alitafuta uhuru peke yake au Watanzania wengine hawana mchango ni Nyerere pekee?Sioni serikali kuijali kwa dhati familia hii muhimu sana kwa taifa letu.
Nawashangaa Sana Hawa watu kuna Mzee wangu anaitwa Bilal Rehan Waikela(97) yuko pale Tabora Mwl Nyerere alifikia nyumbani kwake katika harakati za kudai uhuru ametoa mchango mkubwa kwa Nchi kupata uhuru,lkn anaishi kwenye Nyumba ya Tembe badala tuhangaike na Wazee Kama hawa unatuambia serikali iwatunze akina Madaraka Nyerere watu waliokula Bata muda mwingi Ikulu kweli Jambo usilolijua ni Kama usiku wa giza.Wawajali kivipi? Nyerere ndiyo alitafuta uhuru peke yake au watanzania wengine hawana mchango ni Nyerere pekee?
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.
Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.
Source: Radio One
Maendeleo hayana vyama!
Kazi ya kufuga Tausi imentinga sana hivi alikuwa mwanasiasa wa wapi wakati kura za msomi alipataga 3Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.
Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.
Source: Radio One
Maendeleo hayana vyama!
Sio kwa ajili ya kutafuta uhuru tu bali kwa utumishi wa muda mrefu ulioacha alama.Wawajali kivipi? Nyerere ndiyo alitafuta uhuru peke yake au Watanzania wengine hawana mchango ni Nyerere pekee?
Tatizo spana za wajumbe mkuu, unaijua ccm huna pesa huna lakoHa ha haaa..mbona amestaafu mapema sana? Si ameanza siasa miezi karibia mitatu iliyopita alipoamua kutafuta kura za wajumbe? Mara hii anatangaza kustaafu?
Kabisa ndg umenena vemaSio kwa ajili ya kutafuta uhuru tu bali kwa utumishi wa muda mrefu ulioacha alama.
Wanastshili;
1. Wakati baba yao akiwatumikia Watz kuna vitu wao ksma watoto hawakuvipata kama watoto mfano muda wa mwingi wa kukaaa na baba yao. Sababu alikuwa busy kulitumikia taifa, hivyo wanastahili mafao ya kazi ya babao yao.
2. Kwa heshima ya taifa hiyo familia haistahili kuishi kifukara ni aibu ya taifa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Makongoro Nyerere ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM yenye wajumbe 24 tu!Hivi kwanini jiwe ameshindwa kuwapa hata uwongozi wa kuwa wakuu wa wilaya ama mikoa? Kwanini ameamua kuwatelekeza familia hii!