Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.

Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.

Source: Radio One

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe na yeye ni mwanasiasa nilijua kuwa makongoro ndio mwanasiasa peke yake
 
Naona mnahangaika Sana na Madaraka Nyerere mnataka kutuaminisha kwamba Madaraka ni Kamanda Mwenzenu,kifupi tu haya maigizo sio ya Kwanza kwa Chadema kutaka kutuaminisha CCM imechokwa na Watanzania wengi ikiwemo familia ya Baba wa Taifa,Nakumbuka Mwaka 1995 Makongoro Nyerere alikuwa upinzani wakati huo Baba wa Taifa hajatuacha lkn Chama Cha Mapinduzi kiliendeleakushika hatamu..
Kwani aliyeleta hiyo habari ni mwana CHADEMA?
 
Naona mnahangaika Sana na Madaraka Nyerere mnataka kutuaminisha kwamba Madaraka ni Kamanda Mwenzenu,kifupi tu haya maigizo sio ya Kwanza kwa Chadema kutaka kutuaminisha CCM imechokwa na Watanzania wengi ikiwemo familia ya Baba wa Taifa,Nakumbuka Mwaka 1995 Makongoro Nyerere alikuwa upinzani wakati huo Baba wa Taifa hajatuacha lkn Chama Cha Mapinduzi kiliendeleakushika hatamu.

Tafuteni Kiki nyingine acheni kutuletea story za level ya Shule ya Msingi, Watanzania tuliowengi hasa Wanyonge kwa sasa tunakihitaji Chama cha Mapinduzi kutuletea Maendeleo ya kweli sambamba na kutuondolea fikra za Kibeberu.
Ameiambia Radio One. Mleta thread kanukuu kutoka redio one. Ukamanda hapa umetoka wapi?????
 
Sioni serikali kuijali kwa dhati familia hii muhimu sana kwa taifa letu. Japo hatuna mfumo wa kifalme ingependeza kumuenzi Baba wa Taifa wapate special attention pia.
Familia imedharauliwa mno
 
Nawashanga Sana Hawa watu kuna Mzee wangu anaitwa Bilal Rehan Waikela(97) yuko pale Tabora Mwl Nyerere alifikia nyumbani kwake katika harakati za kudai uhuru ametoa mchango mkubwa kwa Nchi kupata uhuru,lkn anaishi kwenye Nyumba ya Tembe badala tuhangaike na Wazee Kama hawa unatuambia serikali iwatunze akina Madaraka Nyerere watu waliokula Bata muda mwingi Ikulu kweli Jambo usilolijua ni Kama usiku wa giza.
Nchi yetu imejaa wajinga wengi, kutwa kujipendekeza sijui mwl mwl mtafikiri hakuna watu wengine waliotoa mchango kwenye taifa hili
 
Sio kwa ajili ya kutafuta uhuru tu bali kwa utumishi wa muda mrefu ulioacha alama.
Wanastshili;
1. Wakati baba yao akiwatumikia Watz kuna vitu wao ksma watoto hawakuvipata kama watoto mfano muda wa mwingi wa kukaaa na baba yao
Sababu alikuwa busy kulitumikia taifa, hivyo wanastahili mafao ya kazi ya babao yao.

2. Kwa heshima ya taifa hiyo familia haistahili kuishi kifukara ni aibu ya taifa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tuache mawazo mgando, alilazimishwa kutumikia taifa? alikuwa halipwi?
 
Naona mnahangaika Sana na Madaraka Nyerere mnataka kutuaminisha kwamba Madaraka ni Kamanda Mwenzenu,kifupi tu haya maigizo sio ya Kwanza kwa Chadema kutaka kutuaminisha CCM imechokwa na Watanzania wengi ikiwemo familia ya Baba wa Taifa,Nakumbuka Mwaka 1995 Makongoro Nyerere alikuwa upinzani wakati huo Baba wa Taifa hajatuacha lkn Chama Cha Mapinduzi kiliendeleakushika hatamu.

Tafuteni Kiki nyingine acheni kutuletea story za level ya Shule ya Msingi, Watanzania tuliowengi hasa Wanyonge kwa sasa tunakihitaji Chama cha Mapinduzi kutuletea Maendeleo ya kweli sambamba na kutuondolea fikra za Kibeberu.
Mleta mada hii ni mwenzako wa CCM
 
Mkuu kuna tatizo gani upande huo? Uzi huu kauleta Joni Mbatizaji, sasa toka lini huyu mkuu akawa Kamanda?
 
Mkuu kuna tatizo gani upande huo? Uzi huu kauleta Joni Mbatizaji, sasa toka lini huyu mkuu akawa Kamanda?
Hawa mambwiga wameshaanza kupoteana itafika wakati hata mccm akishindwa kumtia mkewe mimba lawama watapewa Chadema.
 
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo...
Amechoka maana familia hawaijali tena kwenye uongozi, imebaguliwa, yule rubani wa jeshi alifariki si tu kwakuwa ni maradhi hata usongo wa mawazo maana hata cheo kupandishwa ilikuwa ni kaz sana kwake, kuna mengi sana wameyafanya hawa wa chama chake ila kuna siku Mungu atajua la kufanya
 
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo....
Alikuwa mgeni katika lodge ya Butiama inayomilikiwa na Madaraka, sasa ulitaka umfukuze mteja ?? Ukianza kuleta siasa katika biashara basi wewe sio mfanyabiashara
 
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.

Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.

Source: Radio One

Maendeleo hayana vyama!
Kwani ni lini Madaraka Nyerere aliwahi kuwa Mwanasiasa? Yeye akiwa Mwanasiasa Ndugu yake Makongoro Nyerere atasemaje? Aache Unafiki huu.
 
Back
Top Bottom