Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

Kumbe na yeye ni mwanasiasa nilijua kuwa makongoro ndio mwanasiasa peke yake
 
Kwani aliyeleta hiyo habari ni mwana CHADEMA?
 
Ameiambia Radio One. Mleta thread kanukuu kutoka redio one. Ukamanda hapa umetoka wapi?????
 
Sioni serikali kuijali kwa dhati familia hii muhimu sana kwa taifa letu. Japo hatuna mfumo wa kifalme ingependeza kumuenzi Baba wa Taifa wapate special attention pia.
Familia imedharauliwa mno
 
Nchi yetu imejaa wajinga wengi, kutwa kujipendekeza sijui mwl mwl mtafikiri hakuna watu wengine waliotoa mchango kwenye taifa hili
 
Tuache mawazo mgando, alilazimishwa kutumikia taifa? alikuwa halipwi?
 
Mleta mada hii ni mwenzako wa CCM
 
Mkuu kuna tatizo gani upande huo? Uzi huu kauleta Joni Mbatizaji, sasa toka lini huyu mkuu akawa Kamanda?
 
Mkuu kuna tatizo gani upande huo? Uzi huu kauleta Joni Mbatizaji, sasa toka lini huyu mkuu akawa Kamanda?
Hawa mambwiga wameshaanza kupoteana itafika wakati hata mccm akishindwa kumtia mkewe mimba lawama watapewa Chadema.
 
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo...
Amechoka maana familia hawaijali tena kwenye uongozi, imebaguliwa, yule rubani wa jeshi alifariki si tu kwakuwa ni maradhi hata usongo wa mawazo maana hata cheo kupandishwa ilikuwa ni kaz sana kwake, kuna mengi sana wameyafanya hawa wa chama chake ila kuna siku Mungu atajua la kufanya
 
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo....
Alikuwa mgeni katika lodge ya Butiama inayomilikiwa na Madaraka, sasa ulitaka umfukuze mteja ?? Ukianza kuleta siasa katika biashara basi wewe sio mfanyabiashara
 
Kwani ni lini Madaraka Nyerere aliwahi kuwa Mwanasiasa? Yeye akiwa Mwanasiasa Ndugu yake Makongoro Nyerere atasemaje? Aache Unafiki huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…