PostGE2025 Madeleka: Nashangaa mpaka leo Polisi wameshindwa kukamata mtu hata 1 wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Chawa mkubwa sana wewe. Tume ya chande imesema wamekufa watu 500 nani kawaua? Walijiua wenyewe?. Unajifanya kuijali CCM kuliko raia waliokufa?. Hii CCM iliyokupigia kura Moja Kawe?.
 
Zero brain. Eti hakuna kosa?. Ndio maana matapeli wa CCM hawakuteui.
 
Mayalla kama Mayalla.
 

Nadhani umeshajua Nini kinatafutwa hapa.

"Waliohusika, waliosababisha, waliochochea na waliotoa fedha kuratibu Maandamano haya "

Na je wakitoa Report yao, inaweza kutumika mahakamani kama Ushahidi? .

Na kwa mfano Anayetuhumiwa yuko nje ya nchi., Mahakama inaweza kutoa hukumu based na hiyo report?.

Hii Kesi ishakuwa ngumu.
 
Polisi waua Majambazi Polisi wana investigate mtu aliyeuawa unlawful siyo vibaka

..mauaji ya Sharrif Majini, mshabiki wa Mama, ambaye hakuwa kwenye maandamano, yalikuwa lawful?

..au mauaji ya vijana wa soka academy waliokuwa wakiangalia mpira ni lawful?
 

..hadidu za rejea, na maelekezo ya aliyeunda Tume, ni kuchunguza walioandaa, na kufadhili maandamano, sio kuchunguza vifo, au waliouwa.
 
Hivi wewe ni mwanasheria kweli!

 
Hivi wewe ni mwanasheria kweli!

View attachment 3647618
 
Ni vile tu tunapaswa kuwaheshimu wazee.
 
Mwenyezi Mungu akusamehe mzee mwenye umri wa kuwa baba wa wengi kwa kizazi hichi.
Ili nijiepushe na kukutolea maneno yasiyo na stara kwa siku za usoni wacha nikuweke kwenye ignore list , Mwenyezi Mungu akusamehe !
 

 
Huyu malaya wa kisiasa naye haeleweki hana akili kabisa mara chadema mara act wazalendo mara chadema anatafuta kesi tu tangu asikie kuna wanachama wa chadema wanahitaji mawakili akili yake imekuwa ya hovyo

USSR
 
Si kuna wakati mlisema wanajeshi kutoka Uganda ndiyo walioua watu?
Tulisema? Mimi na nani? Are you accusing me kwamba niko kundi la wapuuzi wauaji na watekaji?
Hayo hapo juu ni maelezo ya Paskali, I just underlined critical points.
 
🤬
 
Chawa mkubwa sana wewe. Tume ya chande imesema wamekufa watu 500 nani kawaua? Walijiua wenyewe?. Unajifanya kuijali CCM kuliko raia waliokufa?. Hii CCM iliyokupigia kura Moja Kawe?.
Yes Tume ya Chande imetoa idadi ya waliokufa ni 518, lakini haijui ni nani aliyewaua, na hata kama ni polisi wamwfyatua risasi, ni wameua katika kutimiza majukumu yao, hivyo hawana kosa, kosa ni la aliye wapa order shoot to kill!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…