PostGE2025 Madeleka: Nashangaa mpaka leo Polisi wameshindwa kukamata mtu hata 1 wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu, inawezekana una data za ndani kweli... hii amri "halali" ilitolewa lini, na nani, na wapi?
I don’t think we are that stupid not to know where the order came from.

Kuna ugumu gani kwa Samia kusema kuwa yeye hakutoa maagizo watu wauliwe na kwamba askari walijiamulia tu wao kupiga risasi hovyo hovyo na kwa sababu hiyo sheria ichukue mkondo wake?

Halafu, tayari Samia alishasema kuwa nguvu iliyotumika iliendana na matukio…..ila sijui wale watoto waliouliwa walifanya nini kuhalalisha mauaji yao!

Asha Migiro naye keshasema kuwa kazi iliyofanyika ilikuwa ya kutukuka.

Yule Mombo naye alisema kuwa polisi waliua kihalali. Akasema ukimrushia jiwe polisi utapigwa risasi ufe.

Kwa sisi ambao hatupendi kupindisha pindisha maneno, this is so frustrating.

We are not stupid. We know how things work in this country.

We know who killed those innocent people.
 
Huyu asiwe na haraka, mwache aendelee kushangaa,
Utakamataje mtu yeyote wakati hujui kama kuna kosa lolote lililotendwa na yeyote?, ndio maana tumeunda Tume ya Uchunguzi kuchunguza kama kuna jinai yoyote!.

Tuache kuwalaumu askari wetu shupavu waliozima zile vurugu za October 29 kwa utekelezaji amri halali ya kuwashughulikia wahuni wale, ambapo kulitokea vifo 518, miongoni mwao kuna waliouliwa kwa bahati mbaya, hao ndio tunawachunguza, tukiwabaini, sheria itachukua mkondo wake.

P
Zama za uchawa zinakaribia kuisha. Muda sio mrejesho utatolewa kwenye kifungo cha fikra na tumbo. Utakuwa Huru tena.
 
So obviously aliyewatuma ni COMMANDER-IN-CHIEF.
Amri za kijeshi zinafuata hierarchy, from top bottom
CinC anawaamuru CDF, IGP na DGIS, kila mmoja anashusha chini kwa watu wake, IGP anawapa ma RPC, ma RPC wanawapa ma OCD, ma OCD wanawapa wa chini yao ndio walioingia mitaani kutekeleza.

Baada ya ripoti ya Jaji Chande, ili kumkinga na liability na responsibility, ilibidi CDF, IGP na DGIS wawajibike kwa vitendo vya vijana wao na kupisha uchunguzi. Kitendo cha wamekufa watu 518 na hakuna yeyote aliyewajibika, tells who is responsible, tusu tusubirie matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa kijinai, ila akina sisi washauri wa bure, tulishauri https://www.jamiiforums.com/threads...ji-ni-mtu-wako-then-unawajibika-wewe.2261735/

P
 
Kuna watu mfano wa yule dada sociolite walikamatwa kwa kesi za uhaini wakaja kuachiwa kwa DPP kutokuwa na kusudio la kuendelea na kesi zao.

Watu walikamatwa ndio , pia acha tusubiri tuone aftermath ya tume jinai iliyoundwa hivi karibuni.
 
Wee
Huyu asiwe na haraka, mwache aendelee kushangaa,
Utakamataje mtu yeyote wakati hujui kama kuna kosa lolote lililotendwa na yeyote?, ndio maana tumeunda Tume ya Uchunguzi kuchunguza kama kuna jinai yoyote!.

Tuache kuwalaumu askari wetu shupavu waliozima zile vurugu za October 29 kwa utekelezaji amri halali ya kuwashughulikia wahuni wale, ambapo kulitokea vifo 518, miongoni mwao kuna waliouliwa kwa bahati mbaya, hao ndio tunawachunguza, tukiwabaini, sheria itachukua mkondo wake.

P
Wewe na weee ...Shahidi Mahamba amesema Wahusika Polisi waliwakamata kabla na wakawahoji na wakakiri kuwa na mipango hiyo,kisha wakawaachia huru..na huyo ni Afisa wa Juu wa Polisi....
Wewe Mayalla ni nani?!!!
 
Amri za kijeshi zinafuata hierarchy, from top bottom
CinC anawaamuru CDF, IGP na DGIS, kila mmoja anashusha chini kwa watu wake, IGP anawapa ma RPC, ma RPC wanawapa ma OCD, ma OCD wanawapa wa chini yao ndio walioingia mitaani kutekeleza.

Baada ya ripoti ya Jaji Chande, ili kumkinga na liability na responsibility, ilibidi CDF, IGP na DGIS wawajibike kwa vitendo vya vijana wao na kupisha uchunguzi. Kitendo cha wamekufa watu 518 na hakuna yeyote aliyewajibika, tells who is responsible, tusu tusubirie matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa kijinai, ila akina sisi washauri wa bure, tulishauri https://www.jamiiforums.com/threads...ji-ni-mtu-wako-then-unawajibika-wewe.2261735/

P
No report will put the exact words of CnC being the source of SHOOT TO KILL order, so it's obvious that this whole shit is the west of time and the west resources(tax payers money).
We need it to be reported on the open 'who ordered the demonstrators to be shot at with high-caliber bullets'.
 
Wee

Wewe na weee ...Shahidi Mahamba amesema Wahusika Polisi waliwakamata kabla na wakawahoji na wakakiri kuwa na mipango hiyo,kisha wakawaachia huru..na huyo ni Afisa wa Juu wa Polisi....
Wewe Mayalla ni nani?!!!
Sasa wameunda tume kwa ajili ya nini? Si yachukuliwe hayo maelezo ya polisi(kama ni kweli maana haujaambatanisha link) wayafanyie kazi.
--: Waliwaachia watu kwa kifungu kipi cha sheria kwenye sakata lililosababisha vifo na kupotea kwa mamia(maelfu) ya Watanganyika?
 
Wee

Wewe na weee .......
Wewe Mayalla ni nani?!!!
Mimi kwanza ni Mtanzania tuu wa kawaida kama mtanzania mwingine yeyote

Pili ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea ambaye naweza kupenya popote kupata habari zozote kuhusu jambo lolote

Na tatu mimi ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea wa mahakama kuu na mwanachama wa TLS. Mawakili wote ni maofisa wa mahakama, kupitia fani yangu ya uwakili, nimekuwa naandika mambo mengi yakiwemo madudu ya ajabu ajabu ya kisheria ambayo serikali yetu inafanya.

Serikali yetu imekuwa inafanya madudu haya kwasababu Tanzania hatuna mawakili bold enough to challenge haya madudu yanayofanyika, kwasababu Bunge letu na mahakama yetu zote zimejisubmit kwa mhimili uliojichimbia chini zaidi.

Sifa nyingi ..tija kiduchu...Huo ushahidi wa Afisa Mahamba uneuelezeaje kisheria...???
 
Mimi huwa sijadili kesi iliyopo mahakamani.
Hilo la tija, naheshimu maoni yako japo sikubaliani na wewe, mimi kwa upande wangu najihesabu nafanya kazi nzuri tuu na iliotukuka
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=uSiW3_dfU58l3B-V
P
 
Sasa wameunda tume kwa ajili ya nini? Si yachukuliwe hayo maelezo ya polisi(kama ni kweli maana haujaambatanisha link) wayafanyie kazi.
--: Waliwaachia watu kwa kifungu kipi cha sheria kwenye sakata lililosababisha vifo na kupotea kwa mamia(maelfu) ya Watanganyika?
Unabisha kweli au unachombeza...Rejea Cross Examination za kuanzia tarehe 11/07/2026..Tundu akiwa ana mdodosa Shahidi Afande Mahamba..ushangae...na Mahamba amenyooka sana ..na hilo swali la waliawaachia vipi/kesi zao ziliishia alilijibu kwa uwazi tu kwamba zilifutwa na Polisi na Mahakamani hazikufika na ni kwa Mikoa yote ambako Maandamano yalifanyika ...kulikuwa na Watuhumiwa wa aina hiyo...
 
Mimi huwa sijadili kesi iliyopo mahakamani.
Hilo la tija, naheshimu maoni yako japo sikubaliani na wewe, mimi kwa upande wangu najihesabu nafanya kazi nzuri tuu na iliotukuka
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=uSiW3_dfU58l3B-V
P

Nilijua tu utajificha kwenye kona ya Swala liko Mahakamani...Lakini si ametamuka na wewe umesikia?!!
Kwamba watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa tena kwa kila Mkoa ambao Maandamano yalikuja kufanyika baadaye-29/10/2025..'..Mfanano wenye mashaka tupu huu..'.Na Swali la wapi kesi zao ziliishia limekuwa halijibiki..na ajabu hao hao ndiyo wamegeuzwa kuwa mashahidi kutoka kuwa watuhumiwa??!!!!
Mashahidi wote ambao ni Askari Polisi wamekuwa wakikiri hili...

Mkuu..Cha mno nifanyie mchakato wa namba ya -Upendo Furaha Peneza- basi..
 
Nilijua tu utajificha kwenye kona ya Swala liko Mahakamani...
Huku sio kujificha bali ndio uungwana, kesi ikiwa mahakamani, acha ma laymen wajadili, sisi wengine ni ma pro, huwa hatuijadili,
Lakini si ametamuka na wewe umesikia?!!
Ni kweli mimi sio tuu nimesikia, bali nafuatilia na mara moja moja nipatapo nafasi, nahudhuria mahakamani kumtia moyo school mate wangu
View: https://youtube.com/shorts/dtimFbmur2Y?si=iH4ubaSLpvSOLa20
Na Swali la wapi kesi zao ziliishia limekuwa halijibiki..
Kufutwa kwa zile kesi msidhani kulitokea tuu, kuna watu tuliandika na ikasaidia, https://www.jamiiforums.com/threads...andamanaji-pia-tuwashitaki-na-wauaji.2398541/ na https://www.jamiiforums.com/threads...-kizimbani-na-chanzo-pia-kipandishwe.2398057/
na ajabu hao hao ndiyo wamegeuzwa kuwa mashahidi kutoka kuwa watuhumiwa??!!!!
Mashahidi wote ambao ni Askari Polisi wamekuwa wakikiri hili...
Hii ni kawaida, ile kesi ya uhaini ya 1982, mwanzo walishitakiwa watuhumiwa 46, wakapewa offer wale watakaokubali kukiri kuhusika watasamehewa, watuhumiwa 23 walikiri, ni kweli waliachiwa huru ndio wakaja kuwa mashahidi wa PW.
Mkuu..Cha mno nifanyie mchakato wa namba ya -Upendo Furaha Peneza- basi..
Its too late!, ameisha olewa in a private ceremony, ni mke wa mtu na mama wa mtoto mmoja kidume!.
ila wewe hupendi, ulitaka kumpitia tuu, ungekuwa unapenda, huyu binti ni public figure na number yake ya simu iko kwenye public domain!.

P.
 
Unabisha kweli au unachombeza...Rejea Cross Examination za kuanzia tarehe 11/07/2026..Tundu akiwa ana mdodosa Shahidi Afande Mahamba..ushangae...na Mahamba amenyooka sana ..na hilo swali la waliawaachia vipi/kesi zao ziliishia alilijibu kwa uwazi tu kwamba zilifutwa na Polisi na Mahakamani hazikufika na ni kwa Mikoa yote ambako Maandamano yalifanyika ...kulikuwa na Watuhumiwa wa aina hiyo...
That isn't the answer to my question, kesi kubwa zinazohusu vifo na kupotea kwa mamia(maelfu) ya watu kwanini zifutwe?
 
Zilifutwa sasa..!!na Watuhumiwa wamegeuka kuwa mashahidi wa Jamuhuri na wamekuwa wakieleza mahakamani pia kwamba tuhuma hizo dhidi yao zilifutwa..wakaambiwa wawe wanaripoti vituoni kwa maelekezo zaidi...next wamekuwa mashahidi wa Jamuhuri...dhidi ya tuhuma za Lissu.

.Pendekeza nini kifanyike..dhidi ya Sheria ya -Maelekezo kutoka juu-???!
 
Wauaji wa mamia(maelfu) ya raia ndiyo wamekuwa mashahidi? I need clarification on this one.
 
Back
Top Bottom