Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
I don’t think we are that stupid not to know where the order came from.Mkuu, inawezekana una data za ndani kweli... hii amri "halali" ilitolewa lini, na nani, na wapi?
Kwasababu hao walikuwa kazini wakitimiza wajibu wao kikamilifu kwa mujibu wa walichotumwa kufanya na wakafanya!.sasa kwanini hawa serial killers(askari) ya kwao yamechukuliwa kinyume na taratibu zilizozoeleka?
So obviously aliyewatuma ni COMMANDER-IN-CHIEF.Kwasababu hao walikuwa kazini wakitimiza wajibu wao kikamilifu kwa mujibu wa walichotumwa kufanya na wakafanya!.
P.
Zama za uchawa zinakaribia kuisha. Muda sio mrejesho utatolewa kwenye kifungo cha fikra na tumbo. Utakuwa Huru tena.Huyu asiwe na haraka, mwache aendelee kushangaa,
Utakamataje mtu yeyote wakati hujui kama kuna kosa lolote lililotendwa na yeyote?, ndio maana tumeunda Tume ya Uchunguzi kuchunguza kama kuna jinai yoyote!.
Tuache kuwalaumu askari wetu shupavu waliozima zile vurugu za October 29 kwa utekelezaji amri halali ya kuwashughulikia wahuni wale, ambapo kulitokea vifo 518, miongoni mwao kuna waliouliwa kwa bahati mbaya, hao ndio tunawachunguza, tukiwabaini, sheria itachukua mkondo wake.
P
Amri za kijeshi zinafuata hierarchy, from top bottomSo obviously aliyewatuma ni COMMANDER-IN-CHIEF.
Wewe na weee ...Shahidi Mahamba amesema Wahusika Polisi waliwakamata kabla na wakawahoji na wakakiri kuwa na mipango hiyo,kisha wakawaachia huru..na huyo ni Afisa wa Juu wa Polisi....Huyu asiwe na haraka, mwache aendelee kushangaa,
Utakamataje mtu yeyote wakati hujui kama kuna kosa lolote lililotendwa na yeyote?, ndio maana tumeunda Tume ya Uchunguzi kuchunguza kama kuna jinai yoyote!.
Tuache kuwalaumu askari wetu shupavu waliozima zile vurugu za October 29 kwa utekelezaji amri halali ya kuwashughulikia wahuni wale, ambapo kulitokea vifo 518, miongoni mwao kuna waliouliwa kwa bahati mbaya, hao ndio tunawachunguza, tukiwabaini, sheria itachukua mkondo wake.
P
No report will put the exact words of CnC being the source of SHOOT TO KILL order, so it's obvious that this whole shit is the west of time and the west resources(tax payers money).Amri za kijeshi zinafuata hierarchy, from top bottom
CinC anawaamuru CDF, IGP na DGIS, kila mmoja anashusha chini kwa watu wake, IGP anawapa ma RPC, ma RPC wanawapa ma OCD, ma OCD wanawapa wa chini yao ndio walioingia mitaani kutekeleza.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande, ili kumkinga na liability na responsibility, ilibidi CDF, IGP na DGIS wawajibike kwa vitendo vya vijana wao na kupisha uchunguzi. Kitendo cha wamekufa watu 518 na hakuna yeyote aliyewajibika, tells who is responsible, tusu tusubirie matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa kijinai, ila akina sisi washauri wa bure, tulishauri https://www.jamiiforums.com/threads...ji-ni-mtu-wako-then-unawajibika-wewe.2261735/
P
Sasa wameunda tume kwa ajili ya nini? Si yachukuliwe hayo maelezo ya polisi(kama ni kweli maana haujaambatanisha link) wayafanyie kazi.Wee
Wewe na weee ...Shahidi Mahamba amesema Wahusika Polisi waliwakamata kabla na wakawahoji na wakakiri kuwa na mipango hiyo,kisha wakawaachia huru..na huyo ni Afisa wa Juu wa Polisi....
Wewe Mayalla ni nani?!!!
Mimi kwanza ni Mtanzania tuu wa kawaida kama mtanzania mwingine yeyoteWee
Wewe na weee .......
Wewe Mayalla ni nani?!!!
Sifa nyingi ..tija kiduchu...Huo ushahidi wa Afisa Mahamba uneuelezeaje kisheria...???Mimi kwanza ni Mtanzania tuu wa kawaida kama mtanzania mwingine yeyote
Pili ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea ambaye naweza kupenya popote kupata habari zozote kuhusu jambo lolote
Na tatu mimi ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea wa mahakama kuu na mwanachama wa TLS. Mawakili wote ni maofisa wa mahakama, kupitia fani yangu ya uwakili, nimekuwa naandika mambo mengi yakiwemo madudu ya ajabu ajabu ya kisheria ambayo serikali yetu inafanya.
Serikali yetu imekuwa inafanya madudu haya kwasababu Tanzania hatuna mawakili bold enough to challenge haya madudu yanayofanyika, kwasababu Bunge letu na mahakama yetu zote zimejisubmit kwa mhimili uliojichimbia chini zaidi.
P
Mimi huwa sijadili kesi iliyopo mahakamani.Sifa nyingi ..tija kiduchu...Huo ushahidi wa Afisa Mahamba uneuelezeaje kisheria...???
Unabisha kweli au unachombeza...Rejea Cross Examination za kuanzia tarehe 11/07/2026..Tundu akiwa ana mdodosa Shahidi Afande Mahamba..ushangae...na Mahamba amenyooka sana ..na hilo swali la waliawaachia vipi/kesi zao ziliishia alilijibu kwa uwazi tu kwamba zilifutwa na Polisi na Mahakamani hazikufika na ni kwa Mikoa yote ambako Maandamano yalifanyika ...kulikuwa na Watuhumiwa wa aina hiyo...Sasa wameunda tume kwa ajili ya nini? Si yachukuliwe hayo maelezo ya polisi(kama ni kweli maana haujaambatanisha link) wayafanyie kazi.
--: Waliwaachia watu kwa kifungu kipi cha sheria kwenye sakata lililosababisha vifo na kupotea kwa mamia(maelfu) ya Watanganyika?
Nilijua tu utajificha kwenye kona ya Swala liko Mahakamani...Lakini si ametamuka na wewe umesikia?!!Mimi huwa sijadili kesi iliyopo mahakamani.
Hilo la tija, naheshimu maoni yako japo sikubaliani na wewe, mimi kwa upande wangu najihesabu nafanya kazi nzuri tuu na iliotukuka
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=uSiW3_dfU58l3B-VPWanabodi
Japo hili ni Jukwaa la Siasa,hii ni mada ya kisiasa kisheria,hivyo naomba
nianze kwa kujijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, nikiandikia makala magazeti mawili kila wiki, gazeti la Mmwananchi kila Jumatano na Nipashe kila Jumapili, na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, kutangaza kupitia TV, Redio na mitandao ya kijamii, kwa sasa mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, ila sio wakili wa kupractise sheria kwa kutetea haki。katika mahakamani hizi za duniani,mimi uwakili...
- Pascal Mayalla
- channel ten haki katiba mahakama sheria
- Replies: 108
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Huku sio kujificha bali ndio uungwana, kesi ikiwa mahakamani, acha ma laymen wajadili, sisi wengine ni ma pro, huwa hatuijadili,Nilijua tu utajificha kwenye kona ya Swala liko Mahakamani...
Ni kweli mimi sio tuu nimesikia, bali nafuatilia na mara moja moja nipatapo nafasi, nahudhuria mahakamani kumtia moyo school mate wanguLakini si ametamuka na wewe umesikia?!!
Kufutwa kwa zile kesi msidhani kulitokea tuu, kuna watu tuliandika na ikasaidia, https://www.jamiiforums.com/threads...andamanaji-pia-tuwashitaki-na-wauaji.2398541/ na https://www.jamiiforums.com/threads...-kizimbani-na-chanzo-pia-kipandishwe.2398057/Na Swali la wapi kesi zao ziliishia limekuwa halijibiki..
Hii ni kawaida, ile kesi ya uhaini ya 1982, mwanzo walishitakiwa watuhumiwa 46, wakapewa offer wale watakaokubali kukiri kuhusika watasamehewa, watuhumiwa 23 walikiri, ni kweli waliachiwa huru ndio wakaja kuwa mashahidi wa PW.na ajabu hao hao ndiyo wamegeuzwa kuwa mashahidi kutoka kuwa watuhumiwa??!!!!
Mashahidi wote ambao ni Askari Polisi wamekuwa wakikiri hili...
Its too late!, ameisha olewa in a private ceremony, ni mke wa mtu na mama wa mtoto mmoja kidume!.Mkuu..Cha mno nifanyie mchakato wa namba ya -Upendo Furaha Peneza- basi..
That isn't the answer to my question, kesi kubwa zinazohusu vifo na kupotea kwa mamia(maelfu) ya watu kwanini zifutwe?Unabisha kweli au unachombeza...Rejea Cross Examination za kuanzia tarehe 11/07/2026..Tundu akiwa ana mdodosa Shahidi Afande Mahamba..ushangae...na Mahamba amenyooka sana ..na hilo swali la waliawaachia vipi/kesi zao ziliishia alilijibu kwa uwazi tu kwamba zilifutwa na Polisi na Mahakamani hazikufika na ni kwa Mikoa yote ambako Maandamano yalifanyika ...kulikuwa na Watuhumiwa wa aina hiyo...
Zilifutwa sasa..!!na Watuhumiwa wamegeuka kuwa mashahidi wa Jamuhuri na wamekuwa wakieleza mahakamani pia kwamba tuhuma hizo dhidi yao zilifutwa..wakaambiwa wawe wanaripoti vituoni kwa maelekezo zaidi...next wamekuwa mashahidi wa Jamuhuri...dhidi ya tuhuma za Lissu.That isn't the answer to my question, kesi kubwa zinazohusu vifo na kupotea kwa mamia(maelfu) ya watu kwanini zifutwe?
Wauaji wa mamia(maelfu) ya raia ndiyo wamekuwa mashahidi? I need clarification on this one.Zilifutwa sasa..!!na Watuhumiwa wamegeuka kuwa mashahidi wa Jamuhuri na wamekuwa wakieleza mahakamani pia kwamba tuhuma hizo dhidi yao zilifutwa..wakaambiwa wawe wanaripoti vituoni kwa maelekezo zaidi...next wamekuwa mashahidi wa Jamuhuri...dhidi ya tuhuma za Lissu.
.Pendekeza nini kifanyike..dhidi ya Sheria ya -Maelekezo kutoka juu-???!