ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #121
Unakopa kwa mbaali et😅Inategemea🤣🤣,sio mkopaji kivileeee🚶♀️
Kwa mbali sana,,,,,Unakopa kwa mbaali et😅
na ukijieleza vizuri, na kujiwasilisha mwenyewe physically,Naomba mkopo ili nithibishe nidhamu yangu ya kulipa kwa wakati bila kupepesa macho 🐒
Sina maoni🐒na ukijieleza vizuri, na kujiwasilisha mwenyewe physically,
unaweza kupata mkopo bila hata kua na mdhamini hata moja 🐒
Mhh hii imekaaje ?Mi naona sehemu sahihi ya kukopa ni benki na uwe mwajiriwa coz wakisumbua sana unaweza kuacha kazi na hawatakudai tena
Sawa maa😍Kwa mbali sana,,,,,
Mpaka unafikia uamzi huo lazima lilikukuta jamboSaizi Mimi kudaiwa labda na Mr..
Sikopeshi wala kukopa kwa mtu wala taasisi wala kampuni ya simu,🙌🙌
Kama huna sababu za msingi usikope
Deni moja Tu japo nililipa but it took me a year to heal😂😂😂,.Mpaka unafikia uamzi huo lazima lilikukuta jambo
Hakuna kudaiana na mr🤣🤣🤣,Saizi Mimi kudaiwa labda na Mr..
Sikopeshi wala kukopa kwa mtu wala taasisi wala kampuni ya simu,🙌🙌
Kama huna sababu za msingi usikope
Hahahah Kwakweli,. Though sometimes huwa najiskia aibu nampunguzia deni ananiambia nibaki nayo,. Siku nyingine akinikumbusha nakuwa mkali😂😂Hakuna kudaiana na mr🤣🤣🤣,
Pole kipenz na hongera kulipaDeni moja Tu japo nililipa but it took me a year to heal😂😂😂,.
Kuna watu wanadai vibaya
KwakweliBora udai kuliko kudaiwa
Nilishapoa mwaya,. Miaka miwili imepitaPole kipenz na hongera kulipa
Ulikutana na bandidu
Ewaaah, hapo ukidaiwa makasiriko tu😁,anakuwa hakudai tena🤣Hahahah Kwakweli,. Though sometimes huwa najiskia aibu nampunguzia deni ananiambia nibaki nayo,. Siku nyingine akinikumbusha nakuwa mkali😂😂
Watanzania sio walipa madeni. Mtu anadaiwa halipi kwa muda kama makubaliano yanavyotaka, mwisho wa siku ndio kauli hizi kuna watu wanadai vibaya na wengine utasikia hela yenyewe laki tu unanisumbua utafikiri nini! Sio kwa watu binafsi sio kwa taasisi za fedha kote huko kuna madeni sugu yasiyolipwa na wadaiwa utawakuta mitaani wakijisifu kutokulipa taasisi au watu fulani. Ndio maana riba za mabenki ziko juu na hatuna finance system ya kueleweka kusaidia watu kwenye maendeleo.Deni moja Tu japo nililipa but it took me a year to heal😂😂😂,.
Kuna watu wanadai vibaya