Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

Mwamposa anaposema madeni NI Roho unatakiwa uombe Sana Roho hiyo Ife na ulipe kirahisi mnambeza na kumsema vibaya.
 
Nadaiwa
Songesha 3000
MPAWA 34,000+
TIMIZA 8000+
KAMILISHA 89,000
TIGO NIVUSHE 119,000
AIRTEL nadaiwa deni fulani 420,000
Serikali Manispaa 1,000,000 (hii silipi maana wakitudaka wote magereza yatajaa)

Na hapa nimetulia nina amani zote na bia nakunywa utafikiri sidaiwi.
 
Ni kweli aisee imagine unadaiwa kila kona ukitaka kuoita unapita kwa kuvizia usionekane
kuna nyakati nilikuwa na madeni, hadi nilitamani kubadili namba ya simu kila kona deni.. ni mwendo wa kukonda.. tu.. ila nilijifunza sana.. sasa hivi sikopi hata iweje aisee πŸ˜…πŸ˜… napambana na hali zangu tu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nilidhani peke angu kumbe ni hali ya wengi

Unajikuta unadaiwa na kila mtuu kila kona hadi sio poa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nilidhani peke angu kumbe ni hali ya wengi

Unajikuta unadaiwa na kila mtuu kila kona hadi sio poa
huwa nyakati ngumu sana.. unawaza kila aina ya wazo baya na zuri ili kujikwamua ila wapi.. wakianza piga simu wanakuwa kama wametumanaaa .. πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯² acha tu.. mie nikisikia mtu anadaiwa au hata anae jitundika kisa madeni huwa naelewa mapito yao . navaaga vile viatu vyao kwanza
 
Jiue tu maana ukishafikiria jambo ni sawa na umejiua
 
Kama hujapita huwezi uelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…