babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kuna kiziwa pale chalinze kati ukiwa unaenda Tanga wapo kibao tu.Hizi ni story za vijiweni. Hivi wewe unadhani kuna mtu mwenye uwezo wa kukamata ndege wengi mpaka afikie hatua ya kuuza nyama yao? Au humjui tai wewe? Wanapatikana kwa wingi kiasi hicho?
Tatizo letu watanzania tymezoea shida kiasi ambacho tumeshasahau kuzitatua bali tunaongeza shida ili kupunguza shida. Hili ni tatizo la serikali kutowajibika na siyo watu kubeba ugali. Magari yanatakiwa kusimama stendi ili watu wawe na uchaguzi wa hotel.Kwa nini hubebi Ugali toka huko kwenu Mbagala? Tafuta ma-hotpot ya kutosha.
Hakuna kitu kama hicho. Hakuna tai wengi kiasi hicho. Yaani uwakamate leo kesho na keshokutwa na bado wawepo tu? Ukiniambia kula vibudu naweza kukubali lakini siyo tai wala ndege mwingine. Halafu wengi hapa hamna uzoefu wa kula nyama za viumbe wa porini ndiyo maana mnasema hivyo. Nyama ya kanga tu ukiiona unajua huyu siyo kuku ije iwe tai?Kuna kiziwa pale chalinze kati ukiwa unaenda Tanga wapo kibao tu.
Utauziwa kidari au paja unatafuna hao
Kwa nini unataka kupangia watu wale nini? You are very selfish! Hivi mtu kama wewe ukipata uongozi si utakuwa hatari sana kuliko hata CCM? Kwanini kusiwe na mpango wa magari kusimama stendi kama zamani? Mbona zamani stendi kulikuwa na hotel na vyakula vizuri tu tena bei nzuri?Hivi ukichukua Karanga zile za 500 mbili...na Juice ya 3000 na Maji ya Buku..
Total 5000...mbeya hufiki!??
Ni maumivu kwa watu wengine Aisee. Asilimia kubwa ya Abiria hili suala huwa wanalamika sana, unapelekwa sehemu ambayo hupendi 😒,Hapo wanaposimama, dereva na konda na wahudumu wote wanakula bure tena mpaka washibe
Ndio mpango mzima wa kusimama wanakojua wao
Ni dili lao
Mtu Arusha to Dar unalipa nauli elf 50, chakula elf8 ndo upige lomoni? Ah bhana!!Tafuta tuu hiyo afu nane, watu wameshalamika sana, ila ukumbuke cheap is expensive... Utauziwa afu tatu kilomita mbili nyingi tumbo linaanza kuvuruga
Dah niliudhika sana Ally's kutoka Dar-kwenda Mwanza...badala ya kupaki dodoma mjini kwenye hotel/migahawa mizuri .wameenda kulipaki basi karibu na bahi...vyakula vimepoa na vibaya kinoma.
Ok kutoka hapo ineenda kusimama tena nje ya mji wa Singida..chakula kibaya na bei kubwa vile vile..
wameenda kulipaki basi karibu na bahi...vyakula vimepoa na vibaya kinoma
Tokea kinilambe mwaka 2016’ Dom to Dar sijawahi rudia kula njiani.Sijui wanatuchukuliaje wasafiri sababu hatuna option nyingine🤔 ila kuna siku nilienda Moshi na Kilimajaro Express sijui ni hotel yao ile atleast wanajitahidi chips safii nikashangaa maana nishazoea Mbeya kwetu mwendo mdundo chips zimepoaa 😀(sijui ni ulafi ila lazima nile njiani)
Alikua na shombo flani kumzidi bata ndo kilinishinda.Na supu ya kichwa, Daah, haya maisha, niyakuacha tu. 😀
We una asili ya ubishi,kanga mi nakula fresh tu ila sio tai.Hakuna kitu kama hicho. Hakuna tai wengi kiasi hicho. Yaani uwakamate leo kesho na keshokutwa na bado wawepo tu? Ukiniambia kula vibudu naweza kukubali lakini siyo tai wala ndege mwingine. Halafu wengi hapa hamna uzoefu wa kula nyama za viumbe wa porini ndiyo maana mnasema hivyo. Nyama ya kanga tu ukiiona unajua huyu siyo kuku ije iwe tai?
We ni mbishi tu.Hakuna kitu kama hicho. Hakuna tai wengi kiasi hicho. Yaani uwakamate leo kesho na keshokutwa na bado wawepo tu? Ukiniambia kula vibudu naweza kukubali lakini siyo tai wala ndege mwingine. Halafu wengi hapa hamna uzoefu wa kula nyama za viumbe wa porini ndiyo maana mnasema hivyo. Nyama ya kanga tu ukiiona unajua huyu siyo kuku ije iwe tai?
Utasusa wewe wenye pesa zao watakulaTuwasusie. Twende tukanunue tambi za buku na karaanga za Mia tano, na maji
• upo sahihi mkuu, je wote Abiria wafanye hivyo?Usi complicate mambo ngoja nikupe life hacks, kuna kitu kinaitwa lunch box. Wewe kabla hujasafiri kwenda huko unakokwenda jiandalia chakula chako kifunge vizur, wakat wenzako wanasuka kwenye gari wewe ndio kwanza unatoa kuku wako unamla taratibu,
Hapo ume save cost mkuu,
Kutoka mwanza had dar wanakula nala pale Dodoma chai tu ya 200 inauzwa pale buku, chapati za mia tatu, pale buku
Serikali ilitizame hili suala vizur makampun yana waumiza wateja wao
. Chapati ni ile ile, chai ni ile, lakini bei inakuwa tofauti, ni mambo ya ajabu sana.Kutoka mwanza had dar wanakula nala pale Dodoma chai tu ya 200 inauzwa pale buku, chapati za mia tatu, pale buku
Sawa kabisa siku tulipita chalinze pale kulia tukaona tukale kidogo maana tulitoka mtwara.
Aisee naagiza kuku kienyeji chips likaletwa bonge la paja.
Mmh kula kidogo likanishinda ladha.
Nikaja kuambiwa badae ni yale mandege Tai yana miguu mirefu hivi ndo nimeuziwa.
Aisee naagiza kuku kienyeji chips likaletwa bonge la paja
Beba chakula chako kutoka kwenu,
Mabasi hayawezi kupeleka watu kwa mama ntile kusiko hata na vyoo vya kujisaidia abiria.
Mabasi hayawezi kupeleka watu kwa mama ntile kusiko hata na vyoo vya kujisaidia abiria.