babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kuna kiziwa pale chalinze kati ukiwa unaenda Tanga wapo kibao tu.Hizi ni story za vijiweni. Hivi wewe unadhani kuna mtu mwenye uwezo wa kukamata ndege wengi mpaka afikie hatua ya kuuza nyama yao? Au humjui tai wewe? Wanapatikana kwa wingi kiasi hicho?
Utauziwa kidari au paja unatafuna hao