Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

Anhaa Nyafwili pole sana , zamani kidogo kila nikisafiri nikala vyakula njiani basi tumbo lanipa uharo .

Basi nikaja na mbinu ya kujitengenezea kuku wangu namkaanga vizuri naweka na chipsi za kuzugia si unajua mimi ni chipsi damu damu bro basi nikipanda gari nikipewa ile take away safari yangu inakuwa imeisha .

Kwa hii njia niling'oa mademu wengi maana unakuta nasubiri warejee kutoka huko wanakouziwa uchafu kwa gharama wanakula wanamaliza , kila mtu ananikaribisha mimi ni mwendo wa ahsante wanahisi nina shida kweli kweli .

Sasa dakika kumi mbele wao wanakuwa ombaomba kwangu maana navitoa vipande vyangu vyote vya kwio kwio naanza kula kwa madaha basi kwakuwa mimi kwenye basi ni mwiko kukaa na mwanaume mwenzangu ni hapo utaanza kushangaa mara jirani nionjeshe basi maana sinaga neno karibu kwenye jasho langu .

Akikaribia kaumia , maana mtongozo uanzia hapo anapohisi kuku wameisha namsubilia wakati wa kigiza ndiyo namtoa mwingine wakati ambao dereva amepambisha moto basi ni mwendo wa kulishana vidali vya kuku mpaka nafika nakuwa mwenye maamzi ni mimi twende lodge au nimuache aende mtoto wa watu .[emoji848]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Shida ya nini...
andaa kuku wako nyumbani mkaange na ndizi na chips zakutosha, tia kwenye pot lako..safari yako na na Familia yote hao wahuni hawalambi hata mia zaidi ya kuwaachia shit kwenye toilets zao.
• Safari Zingine ni ndefu sana mkuu, zaidi zaidi chakula chako kitachacha tu.
Utoke Dar - iringa - njombe - Mbeya, bado upo na hotpot tu.
 
Jipikie chakula chako kama parcel unajilia tu njiani, sio lazima kununua wanapopaki.

Pale singida au manyoni kama sikosei wana chakula lakini bei zao sio rafiki kwa mtu wa hali ya chini. Serikali inapaswa kuangalia hili
Pale singida au manyoni kama sikosei wana chakula lakini bei zao sio rafiki kwa mtu wa hali ya chini. Serikali inapaswa kuangalia hili

Asante sana mkuu kwa ushauri murua, ila sasa haya mabasi wanapanda watu tofauti, wengine hata uwezo wa kununua hotpot hawana, huo gari unabebwaje?
 
Tuchips tudogo muda mwingine unakuta ni tuchips twa juzi wamepasha tu. Aisee.
 
DOKTA SHKAMOO 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…