financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Unataka kunifanya nini malaika wa misukosuko wewe? 😀 hapana si mimi huyo mkuuKumradhi ivi picha kwenye Dp hapo ni wewe ? Jibu linaruhusiwa kuja DM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kunifanya nini malaika wa misukosuko wewe? 😀 hapana si mimi huyo mkuuKumradhi ivi picha kwenye Dp hapo ni wewe ? Jibu linaruhusiwa kuja DM
Lilikukuta jambo? Pole mimi huwa naulizia kabisa kwa konda tutakula wapi?😀 kuna siku eti asubuhi saa 5 gari ipo hotelini watu wananunua chakula, mimi nikahisi ni breakfast tu kutakua na hotel nyingine tutakula so sikununua,kumbe ndiyo imeisha hiyo hamna hotel tena aargh nililalamika sana😀Tokea kinilambe mwaka 2016’ Dom to Dar sijawahi rudia kula njiani.
Eet sum more na fanta watakayonipa nafika niendako.
Ni kweli aisee tena Sisi wa Dar Kyela ni hatari masaa 14 aku, konda akitangaza tu sasa tunaingia hotelini, nakua wa kwanza kuanza kutoka😀😀 sitaki vidonda vya tumbo mimi na hapo nakua nimekula Biscuits zote na kajuice nilikobeba🙌😄 Siyo ulafi mkuu, safari ya masaa kumi na mbili kwenye basi, njaa lazima uipate tu.
hiyo elf 8 ndio matumbo yanauma balaaa pale mombo chips hovyoooo.. kuku haziiviii kabsaaaTafuta tuu hiyo afu nane, watu wameshalamika sana, ila ukumbuke cheap is expensive... Utauziwa afu tatu kilomita mbili nyingi tumbo linaanza kuvuruga
et safar ya masaa 8 au 9 yaan sa kumi upo arusha unahangaik n vyakul mombo ... sa ingne nashangaa mtu anashukia same et anakul mombo nae kufuat mkumboIla nyie watu ni walafi sana,. Arusha to Dar unakula nini?
Sio kila stendi lazima ziwe na hizo huduma.• Kwani hamna stendi mkuu?
• Safari yenyewe unaweza kuwahi, alafu ukawahi milele,
wanapaita stend ya dodoma... ndo bas nying zinapopak pale zinazoend domNayakubali sana mabasi yanayoelekea dodoma huwa yanapaki nje kidogo ya atendi ya msamvu, kuna mgahawa mkubwa pale , wanauza vyakula fresh na gharama zao ni za kawaida sana. Basi likisimama pale lazima ninunue nyama choma na ndizi.
na posho tunapewa kabsaaaSisi maa Davoo tunakuwaga na ubia na zile hotel .. kila mtu ale kwa urefu wa kamba ake bana .. hizi siyo zama za ujima na ujamaa za kuoneana uruma, hizi ni zama za kibepari.
Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - mwanza
• Dar - - mbeya
• Dar - - kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma
Kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walicho nacho. Karibia vituo vyote wanavyo paki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, alafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakua watu wawili hamuwezi kushiba.
Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyo ambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.
1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?
2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini
Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki