Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Utafanyaje mkuu, viongozi wenyewe ndo hao, walichaguliwa kwa ndondokela,Sasa basi zima kila mtu abebe hotpot, Inakuja kweli hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafanyaje mkuu, viongozi wenyewe ndo hao, walichaguliwa kwa ndondokela,Sasa basi zima kila mtu abebe hotpot, Inakuja kweli hiyo?
bado unakulaaa mahotelin be ba vyakoo nyumbani mkuuu yalematakatakaaa yamelalaaa yanapashwaa unaonayaleo ingia kwenyebasiiiSerikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma
Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.
Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.
1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?
2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini
Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
Chakula huwa hakitupwi, ni mwendo wa kukipasha tu, Labda wadudu wazaliqe humo humo ndo wanaweza kukitupa.bado unakulaaa mahotelin be ba vyakoo nyumbani mkuuu yalematakatakaaa yamelalaaa yanapashwaa unaonayaleo ingia kwenyebasiii
Ushajiuliza vikilala wanapeleka wapi
Ni kweli mkuu, kuna maslahi makubwa sana hapoMadereva wanalipwa na.posho juu
Cc adriz notorious mbagala dwellerKwa nini hubebi Ugali toka huko kwenu Mbagala? Tafuta ma-hotpot ya kutosha. Usahau pilipili
Halafu unapewa dakika 5 uwe umemaliza kulaSerikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar -- Ruvuma
Kuna tabia na utaratibu wa mabasi waliojiwekea bila kuhofia abiria wao, sio rafiki kabisa, wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu sana bila kujali abiria mifukoni mwao/kipato walichonacho. Karibia vituo vyote wanavyopaki hawa madereva unakuta Chakula cha bei ya chini ni kuazia elfu Tsh7000/- hadi elfu Tsh 8000/- na kuendelea, na ukiangalia hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei kwa hiyo, halafu chakula kinakuwa ni kidogo ikiwa mtakuwa watu wawili hamuwezi kushiba.
Jana nilikuwa natoka Dar kuja Mbeya tulipofika sehemu ya chakula, niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula bei ya mwisho ni elfu Tsh7000 alikuwa mnyonge sana, na kiasi alichokuwa nacho taslimu alikuwa na elfu Tsh5000 tu, ikambidi anunue soda na biscuit, roho iliniuma sana.
1. Madereva mnadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula cha bei ya juu?
2. Au sehemu mnazopaki kwa ajili ya watu kula ni za viongozi wa ngazi za juu huko serikalini
Ombi langu kwa Serikali tunaomba mtoe tamko/sheria kwa mabasi yote, yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kamilifu ili abiria wote wapate huduma stahiki
• Wewe huwa unabeba hivyo vyakula,?bado unakulaaa mahotelin be ba vyakoo nyumbani mkuuu yalematakatakaaa yamelalaaa yanapashwaa unaonayaleo ingia kwenyebasiii
Ushajiuliza vikilala wanapeleka wapi
• Upo sahihi kabisa mkuu, ubebaji wa vyakula kutoka nyumbani bado ni kero tu, kuna watu safari zao ni zaidi ya siku mbili au tatu.Jitahidi uwe unaandaa chakula chako mwenyewe pale unapokuwa unafanya safari ndefu,,, hii itakusaidia sana mkuu ktk kubana bajeti [emoji1431]
Niliwahi kuacha chakula😄😄Aise , unadhani tunapewa chakula cha bure
Wasiwasi wako tu...pale Kuna wanyama pori, swala kama wote nadhani enzi hizo kabla Kilimo hakijawa cha kukata misitu!!Na viazi,mi nilitafuna viazi na chai maziwa poa.
Kasulu na Kaliua , menyu muhogo wa kuchemsha na karanga za kwenye mifuko. Hatari sana...! Upate ya moto! Ukijichanganya ya baridi, ameoba inakuhusu!!!Watu bado mnakula vyakula vya njiani? Mimi kabla safari haijaanza nachukua Eet-Sum-Mor na Sprite (500ml). Tukutane mwisho wa safari.