Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Hivi unadhani Subaru ina pulling power zaidi ya VX? Acha utani
Vx kwa sub kawaida sana kqani vx c hp 180 mpka 280 wakati suby ni 180 zinafika mpaka hp 750 ukishaendesha ndo utajuqa shughuli yake na engine yake iko tofauti na gari nyingine hii ni boxer engine ,ina direct power yaani inafanana na porsche boxer or carrera vx na nissani patrol huwa zinanisoma number safari za mkoa uko
 
Gari ina hp 320 unaniambia eti maximam speed 50hp c ubakaji wa mwendo kasi huu jamani acha ningurumishe sub usikie boxer inavyopumua n BOV zake full hand brake turn
 
Gari ina hp 320 unaniambia eti maximam speed 50hp c ubakaji wa mwendo kasi huu jamani acha ningurumishe sub usikie boxer inavyopumua n BOV zake full hand brake turn
Hahhahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Madereva wa subaru ni wabishi sana, wanaona gari zao ndio zinaweza kimbia, hawajari maisha ya watumiaji wengine wa barabara.
 
Sio Subaru tu na Altezza, yaani sijui wana matatizo gani, magari yenyewe kelele tu,damn
 
Pole wengine tuna uzoefu Na haya magari. Anyway endelea Na msimamo wako
 
Unajua kuna kipofu alipata nafasi ya kuona kwa sekunde chache akaona punda,basi kila akisikia mtu anasema kaona kitu kizuri yeye huuliza kama punda? Ndio kama wewe unaamini hamna gari inaweza kuishinda subaru.

Ngoja nikwambie subaru is just quick from 0-60mph (0-100) ila kuna magari mengi tu yanakimbia kuliko subaru, najua kuna rafiki yangu ana subaru alikuwa anaenda moshi alikutana na beast moja la euro lilimnyanyasa mpaka akatafuta hela akanunua hilo gari.

Kwahio msikariri nyinyi ndio mnaendesha gari zinazokimbia kuliko wengine,wenzenu wako responsible ingawa wana powerful cars, kuna watu wana ferrari,lamborghini,aston martin,porsche carrera 911 gt ushawahi kuziona zinafurumushwa hapa mjini? Unajua speed zake hizo gari?

Btw jaribuni MITSUBISHI EVO10.
 
Mkuu hiyo list apo juu ni balaa kama evo 10 ndo nuksi hayo mengine nikiyaona na suby ndo nakaa pembeni utakuta 0-100km ndani ya 8-10sec [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu hiyo list apo juu ni balaa kama evo 10 ndo nuksi hayo mengine nikiyaona na suby ndo nakaa pembeni utakuta 0-100km ndani ya 8-10sec [emoji1] [emoji1] [emoji1]
8-10sec ni gx100/110 altezza. Hizo nilizokutajia na subaru ni 4-6seconds 0-100km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…