Siyo kila sehemu ni mbio tu kuna sehemu zake ukiona mtu anakimbia hovyo mjini tena wakati wa mchan anamatatizo huyo,twendeni porini au high wat uko tuone kama atakimbia hayo mambo watuachie wenyewe na ndo maana tunaonekana kama hatujielewi tuna rally mwezi huu bagamoyo karibu tarehe 21 - 22Mkubwa ajali asilimia 99% ni uzembe,kutokufuata sheria za usalama barabarani,wewe barabara za michepuko unapita na 120km/h kisa una subaru?
Nilikutana na evo 10 tukawa tunaifanyia test baada ya ku make up ndani ya sekunde 10 imeshasoma above 140,hayo maferrar ndo balaaa8-10sec ni gx100/110 altezza. Hizo nilizokutajia na subaru ni 4-6seconds 0-100km
Ni sawa na kutembea na kitoto cha sekondari na kujisifia kuwa umekipelekea mashine mpaka uchi ukawaka moto...!Siyo kila sehemu ni mbio tu kuna sehemu zake ukiona mtu anakimbia hovyo mjini tena wakati wa mchan anamatatizo huyo,twendeni porini au high wat uko tuone kama atakimbia hayo mambo watuachie wenyewe na ndo maana tunaonekana kama hatujielewi tuna rally mwezi huu bagamoyo karibu tarehe 21 - 22
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni sawa na kutembea na kitoto cha sekondari na kujisifia kuwa umekipelekea mashine mpaka uchi ukawaka moto...!
Bagamoyo sehemu gani nataka nije. Napenda rally lakini sipendi fujo za kijinga mitaani.Siyo kila sehemu ni mbio tu kuna sehemu zake ukiona mtu anakimbia hovyo mjini tena wakati wa mchan anamatatizo huyo,twendeni porini au high wat uko tuone kama atakimbia hayo mambo watuachie wenyewe na ndo maana tunaonekana kama hatujielewi tuna rally mwezi huu bagamoyo karibu tarehe 21 - 22
Nitakutumia map ikishatokaBagamoyo sehemu gani nataka nije. Napenda rally lakini sipendi fujo za kijinga mitaani.
Usinikose niko mbali lakini natumai nitawahiNitakutumia map ikishatoka
PoaUsinikose niko mbali lakini natumai nitawahi
Duuuh!Mkuu ipo moja uku sub wrx sti ni hatch back ina 750hp sasa balaa lake ni kubwa ina nguvu za ajabu
Ukija Chuga utadata kuna SULKA subaru legends of Kaskazini aka SUBARU KASKAZINI kufa kupo tu unaweza pata ajali hata kwenye kwenye kiti ukafa!! Ila its honour kufia kwenye SUBARU RIP waliotangulia karibu Arusha mbuga ya chumvi tukale raha
Hizi gari wakiendesha wadada zinakosa mzuka kabisa.
Mkishakaa ndani ya subaru akili yenu inakuwa moja. Chagueni pa kuonesha huo ufundi na si mitaani.Ukija Chuga utadata kuna SULKA subaru legends of Kaskazini aka SUBARU KASKAZINI kufa kupo tu unaweza pata ajali hata kwenye kwenye kiti ukafa!! Ila its honour kufia kwenye SUBARU RIP waliotangulia karibu Arusha mbuga ya chumvi tukale raha
Mkishakaa ndani ya subaru akili yenu inakuwa moja. Chagueni pa kuonesha huo ufundi na si mitaani.