Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Subaru madereva wengi ni wazoefu na wapenda kasi, ukienda kichwa kichwa unazikwa wewe
 
15yrs hawezi endesha hivyo.... wazoefu tu...
Mzoefu hawezi kuwa reckless...irresponsible 15yrs old ni kawaida kuwa reckless. Unatembeaga usiku ukiwa Dar? Kama unatembea usiku utanielewa nazungumzia nini.
 
Subaru madereva wengi ni wazoefu na wapenda kasi, ukienda kichwa kichwa unazikwa wewe
Lisaa limoja lililopita nilikuwa hapa best bite garage, wamepita wawili na imprezza za blue wanafukuzana spidi kali balaa! Baadae natoka nawakuta wamepaki pale kwenye garage moja inaitwa 0-60! Watu wazima kabisa.
 
Zoea tu Boss
Ndo wamechagua iwe hivo
Na gari ziko hivo tayari na ndio raha yake
 
ha ha nimesoma hi thread vzur tu inachekesha ila cjaelewa kusema direct power kweny subaru ndo ikoje
 
subaru generation ya pil yeny cc 2500 inaenda from 0_100kph kwa sekunde 6.6
 
Kuna yule ameandika alikuwa na kawasaki 250 naomba kujua alinunua sh ngap me mpenz xna wa bike
 
Lisaa limoja lililopita nilikuwa hapa best bite garage, wamepita wawili na imprezza za blue wanafukuzana spidi kali balaa! Baadae natoka nawakuta wamepaki pale kwenye garage moja inaitwa 0-60! Watu wazima kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimetoka angalia subaru wrx sti ya 2005
Kodi tu ni 17,000,000
Nimechoka kabisa

Wakati Forester sti ni 9600000 tu
Pamoja na bei ya kununulia inakuwa kama 19,000,000
 
Nina 2006 legacy sport, itasababisha nijute kukakaa Toyota kwa muda wote. Stability , take off , overtake etc very amazing. Mara nnyingi traffic light point a to b uwaka pamoja, sasa raha ni pale ninapotokaga mataa ya stanbic, nikavuka taa za sarrenda , nikakata za red cross then nakutana na taa nyekundu maktaba ya taifa. Inahitaji kuwa smart kudrive subaru ya modeli yoyote ile!
 
Nimetoka angalia subaru wrx sti ya 2005
Kodi tu ni 17,000,000
Nimechoka kabisa

Wakati Forester sti ni 9600000 tu
Pamoja na bei ya kununulia inakuwa kama 19,000,000
kodi mil 17? hyo gar utauziwa sh ngap sa?
 
Aisee nipm instructions nilete legacy uko
 
Cha ajabu wenye subaru hawapati ajali ukilinganisha na babywalker. Confidence in motion
Mkuu jana saa1 jioni karume mataa pale vitz na daladala zmempasua jamaa wa pikipiki aliyeingia kizembe...mm nilishamcalculate kuwa ataingia ikabidi niruke upande wa pili ... Ingekua subaru imemvaa ungesikia subaru imeua. Uzembe wa kijinga wanasingizia magari tena subaru. Waache uchonganishi
 
Back
Top Bottom