Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisaa limoja lililopita nilikuwa hapa best bite garage, wamepita wawili na imprezza za blue wanafukuzana spidi kali balaa! Baadae natoka nawakuta wamepaki pale kwenye garage moja inaitwa 0-60! Watu wazima kabisa.Subaru madereva wengi ni wazoefu na wapenda kasi, ukienda kichwa kichwa unazikwa wewe
Mkuu sasa mbona hawa wenzetu waliobaki bado wanazitungu ile ileSubaru na Alteeza zishaua wengi sana mkuu
Lisaa limoja lililopita nilikuwa hapa best bite garage, wamepita wawili na imprezza za blue wanafukuzana spidi kali balaa! Baadae natoka nawakuta wamepaki pale kwenye garage moja inaitwa 0-60! Watu wazima kabisa.
weee kuna kadada cheupe kizur knaiminyaga mbayaHizi gari wakiendesha wadada zinakosa mzuka kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lisaa limoja lililopita nilikuwa hapa best bite garage, wamepita wawili na imprezza za blue wanafukuzana spidi kali balaa! Baadae natoka nawakuta wamepaki pale kwenye garage moja inaitwa 0-60! Watu wazima kabisa.
Madereva wa Subaru Forester na Impreza,Altezza, Cellica na boda boda wote ni akili moja kama wamezaliwa familia moja.
Subaru nalo gari...?? Tehe
Wakikua wataacha.Hapana ni guta
kodi mil 17? hyo gar utauziwa sh ngap sa?Nimetoka angalia subaru wrx sti ya 2005
Kodi tu ni 17,000,000
Nimechoka kabisa
Wakati Forester sti ni 9600000 tu
Pamoja na bei ya kununulia inakuwa kama 19,000,000
Juzi nimenunua full set ni 300, 000 ila zinakaa mpaka unasahauSpare usipime last time tulinunua set moja ya break pads kwa 160000 original lakini
Mkuu jana saa1 jioni karume mataa pale vitz na daladala zmempasua jamaa wa pikipiki aliyeingia kizembe...mm nilishamcalculate kuwa ataingia ikabidi niruke upande wa pili ... Ingekua subaru imemvaa ungesikia subaru imeua. Uzembe wa kijinga wanasingizia magari tena subaru. Waache uchonganishiCha ajabu wenye subaru hawapati ajali ukilinganisha na babywalker. Confidence in motion