Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

gonga mbususu nyingi zaidi, tena kavu bila nodom uimarishe uume mujarab kabisa

then tukutane kule Jamii Health ukilalamika metronidazole hazisaidii
Ashakuelewa kuna mwenzie analalamika Gono haliponi yeye analalamika konga haisimami haoni km konga imegoma kuingia sehemu alafu ianze kuvuja usaha huku inapukutika km kidonda cha mzoga? Full kusukuza mainzi tu, konga imegoma kuingia pasipofaa maana inaona ikisimama ikaingia itateseka yenyewe kwa kuanza kuvuja usaha kaswende, Gono mixa pangusa na sio yeye, ogopa sana sikia tu kwa wenzio maumivu ya hayo
 
Miaka saba ya abstinence ni tiba sahihi kabisa ya ubongo na uume ulioathiriwa na punyeto.

Akifanikiwa kutimiza miaka 7 bila kufanya punyeto wala zinaa wala kuangalia porn atakuwa mtu tofauti kabisa. Atakuwa kama amezaliwa upya kabisa.
Shukran nimekuelewa,lakini tukija kwenye uhalisia miaka saba inaonekana ni mingi sana.
Maswali nayojiuliza ni
Je hiyo ndio tiba sahihi ya tatizo hili??
Je kuna mtu alishawah kupona kwa kufanya hivo??
 
Kwa hiyo niconclude kua huenda labda nimeepushwa na mabalaah.
 
Kwa hiyo niconclude kua huenda labda nimeepushwa na mabalaah.
Yes mkuu, hapo kuna babu yako alikua amekuzuia isisimame ulikua unaenda kuukwaa km sio Gono basi Pangusa, na kupona kwake ni mateso utakua unafukuzia mainzi tu km unauza samaki feli

Ushauri: endelea kumiliki kadi ya chama cha CHAPUTA na ubaki kua mwanachama hai km dronedrake achana na kujitafutia magonjwa usiyoyaweza kuyamudu
 
Haya Sasa unatakaje
 
Miaka ishirini umeona mingi na umeanza kujuta! ujue Shetani amekukamata kisawasawa hadi umeanza kujuta kwa kitu kisicho sahihi.
 
Shukrani mkuu nitaufanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…