Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Kwanza kabisa nianze kukupa pole sana mtoa mada, lakini pili nakupongeza kwa ujasili wa kulileta hapa jamvini.

Nikuambie tu kwamba wewe si wa kwanza kuwa na tatizo hili, wapo wengi tu hata wanaosoma uzi huu sasa nao wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho.

Chanzo cha tatizo ni kwamba ulijihusisha na mahusiano ya kingono yasiyo rasmi (Ndoa Takatifu iliyofungwa na mchungaji au sheikh) kama ulivyokiri wewe mwenyewe.

Sitaki kukuwekea maneno mdomoni, lakini yaweza pia ulianza kutazama porn muda kwa sababu ya kuwa mpweke ama rafiki/marafiki wenye tabia hiyo au tu kwa sababu ya kukua kwa technologia ili usibaki nyuma mfano facebook, instagram, badoo na mingine mingi.

Tatizo ulilonalo wewe ni kuwa tayari umeolewa na jini/majini mahaba (roho wachafu).

Naamini kila baada ya kutazama porn ni lazima huwa unajichetua kwa masturbation bila shaka.

Pepo hao wachafu watakuharibia mpango mzima wa maisha yako iwe shule, uchumi na pia kutopata mme tena wa kukuoa.

Namna ya kujinasua katika hali hii:
1. Mshirikishe na kuwa karibu na Mungu wako kwa kushiriki IBADA safi

2. Unahitaji kuwa delivered - kuombewa mfano na wachungaji au mashehe.

3. Fanya mazoezi ya kutosha.

4. Kama una CDs, memory stick or whatever embu destroy zote mara moja na jiapia kutorudia tena kutazama hata online.

Kila la heri, Mungu akusaidie
 
tafuta mwenza utaacha automatically
Habarini wana jamvi,

Jamani naomba msaada wa ushauri,

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya kujiandaa kwenda kazini niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.

Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. Nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni..
 
Kwanza kabisa nianze kukupa pole sana mtoa mada, lakini pili nakupongeza kwa ujasili wa kulileta hapa jamvini. Nikuambie tu kwamba wewe si wa kwanza kuwa na tatizo hili, wapo wengi tu hata wanaosoma uzi huu sasa nao wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho. Chanzo cha tatizo ni kwamba ulijihusisha na mahusiano ya kingono yasiyo rasmi (Ndoa Takatifu iliyofungwa na mchungaji au sheikh) kama ulivyokiri wewe mwenyewe. Sitaki kukuwekea maneno mdomoni, lakini yaweza pia ulianza kutazama porn muda kwa sababu ya kuwa mpweke ama rafiki/marafiki wenye tabia hiyo au tu kwa sababu ya kukua kwa technologia ili usibaki nyuma mfano facebook, instagram, badoo na mingine mingi. Tatizo ulilonalo wewe ni kuwa tayari umeolewa na jini/majini mahaba (roho wachafu). Naamini kila baada ya kutazama porn ni lazima huwa unajichetua kwa masturbation bila shaka. Pepo hao wachafu watakuharibia mpango mzima wa maisha yako iwe shule, uchumi na pia kutopata mme tena wa kukuoa
Namna ya kujinasua katika hali hii:
1. Mshirikishe na kuwa karibu na Mungu wako kwa kushiriki IBADA safi
2. Unahitaji kuwa delivered - kuombewa mfano na wachungaji au mashehe.
3. Fanya mazoezi ya kutosha.
4. Kama una CDs, memory stick or whatever embu destroy zote mara moja na jiapia kutorudia tena kutazama hata online.
Kila la heri, Mungu akusaidie
Dada hili ndo suluhisho lako usiangaike kusoma comments nyingine
 
Acha kabisa we binti ukiendelea utapata matatizo baada kuwa na mpenzi. utakuwa unaona hakufikish kileleni, solution ni kuanza kusali kwa kufunga huku unafanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi.
 
Habarini wana jamvi,

Jamani naomba msaada wa ushauri,

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya kujiandaa kwenda kazini niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.

Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. Nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni..
Ziweke apa hizo video tukushauri.
 
Ndio hayo ila vikubwa zaidi ni ratings,viewers pamoja na updated

Site nlizokutajia hapo juu zinapata viewers wengi kuliko hata mashirika makubwa ya utangazaji Duniani

Noma sana kama ndy hivyo hahaha
 
Kwanza kabisa nianze kukupa pole sana mtoa mada, lakini pili nakupongeza kwa ujasili wa kulileta hapa jamvini. Nikuambie tu kwamba wewe si wa kwanza kuwa na tatizo hili, wapo wengi tu hata wanaosoma uzi huu sasa nao wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho. Chanzo cha tatizo ni kwamba ulijihusisha na mahusiano ya kingono yasiyo rasmi (Ndoa Takatifu iliyofungwa na mchungaji au sheikh) kama ulivyokiri wewe mwenyewe. Sitaki kukuwekea maneno mdomoni, lakini yaweza pia ulianza kutazama porn muda kwa sababu ya kuwa mpweke ama rafiki/marafiki wenye tabia hiyo au tu kwa sababu ya kukua kwa technologia ili usibaki nyuma mfano facebook, instagram, badoo na mingine mingi. Tatizo ulilonalo wewe ni kuwa tayari umeolewa na jini/majini mahaba (roho wachafu). Naamini kila baada ya kutazama porn ni lazima huwa unajichetua kwa masturbation bila shaka. Pepo hao wachafu watakuharibia mpango mzima wa maisha yako iwe shule, uchumi na pia kutopata mme tena wa kukuoa
Namna ya kujinasua katika hali hii:
1. Mshirikishe na kuwa karibu na Mungu wako kwa kushiriki IBADA safi
2. Unahitaji kuwa delivered - kuombewa mfano na wachungaji au mashehe.
3. Fanya mazoezi ya kutosha.
4. Kama una CDs, memory stick or whatever embu destroy zote mara moja na jiapia kutorudia tena kutazama hata online.
Kila la heri, Mungu akusaidie
UMEMALIZA MKUU,KAMA ANA MASIKIO NA ASIKIE...........!
 
Hata hivyo porn ndo kitu kinaangaliwa zaidi kwenye Internet.

Pia, tatizo si kuangalia Bali ni hiyo addiction.

Sasa mi mwenyewe nlizoea kweli ila nkafanya Haya..

1.Nimewezesha filter inachuja nudity zote hizo.

2. Nmetafuta ishu mbadala ya kufanya nikijiskia kuchek porn.Nayo ni kuingia hapa JF maana kuingia kwingine kama insta na fb ni ujinga ule ule nudity kibao. (JF ni Tiba) nafanya sublimation.

3.Nimesearch matatizo yote yatokanayo na kuchek porn na yamesaidia kunifanya nibadili attitude.

Leo ni siku ya 3 na sijaangalia. So naona maendeleo si mabaya

NB; Kwa miaka yako 30 hebu tafuta bwana awe anakupa vitu. So kuishia kuangalia wenzako tu...
 
Kwa hatua uliyofikia siyo rahisi kuacha mara moja. Unachotakiwa kufanya ni kupunguza kidogo kidogo, jihusishe na shughili za kuchemsha mwili kama mazoezi na usipende kuwa peke yako.
 
Tuambie kwanza unapenda kucheki porn site gani
Phonerotica
Pornhub
Blazers
Sextubes
Ebony xxx

Ni Brazzers kaka..
My favourite huwa
XXvideos
Pornhub
Anysex na ukipata kitu cha
Realitykings au
Dirtyamerica.. HD vids. Mtafute mdada Anaitwa Abella Anderson. Ni moto.
 
Back
Top Bottom