Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza


Sehemu yoyote ukitaka kufanikiwa lazima useme uongo kidogo, hata kwenye kazi not only kutongoza

Kuna ndugu yangu aliulizwa kwenye interview kama anaweza kufanya kazi 24hrs in case akiitajika kufanya hivyo na jibu lake likawa hata 48hrs no problem but alijibu because alikuwa anaitaji hiyo kazi
 

Wanawake hawatabiliki,

Kuna jamaa mmoja alijifanya ni mfanya usafi wa bungeni while ni mbunge, akawa anadate na mdada mmoja wa nmb ya pale Bunge

Siku Yule dem amekuja kujua jamaa sio mfanya usafi ila ni Mbunge alimpiga chini tena mbele za watu
 
Mwanamke unatakiwa uishi nae kwa akili, na inapobidi mdanganye..
Mdanganye ni pisi utampata,
Mdanganye upo single, mdanganye, mdanganye, mdanganye,... ila itakuwa poa zaidi kama unataka kupita tu,
Kimasihara zingekuwa nyigi bila uongo kidogo.
Kwaiyo mleta mada mtu kama ana malengo na mtu ni vyema akawa mkweli kwa kiasi kikubwa
Ila kama unataka kupita tu, uongo is necessary, maana bila uongo wenzako watakuwa wanakula tu, wewe unashinda njaa.
The bottom line: cheza kistaarabu, njia ya muongo ni fupi
 
Wanawake ukiwaambia ukweli hisia zote zinapote kwake kwasababu umemubia ukweli
Hawapendi ukweli wanapenda kuambiwa uongo. Nakumbuka kuna binti miaka ya 2009 alikuwa ana date na jamaa ni dereva wa serikali. Jamaa ana ulambia na anakuja na yale maVX ya serikali kitaa anamchukua binti moja mbili tatu zinafanyika.

Yule binti alikaa muda mrefu kwenye mahusiano bubu na yule jamaa hadi watu wakawa wanaanza kumwambia kwamba mbona mahusiano yao ni kama yeye anatumika tu kwanini muda unaenda jamaa hafanyi utaratibu wa kumuoa.

Binti haelewi kisa jamaa anamuigizia umaridadi na magari ya serikali na tuhela twa chipsi. Jamaa miaka ya 2018 alikuja simamishwa kazi maswala ya vyeti bandia. Na ndipo hapo balaa likaanza. Maana alihama mkoa kabisa katika kutafuta mishe.

Alipata mtoto na yule binti na sasa binti yupo tu ana mishe za kuuza uuza kila kinachouzika mara mikoba,mara karanga za mayai,mara cover za simu,mara mashuka na anaishi kwao. Hali sio nzuri.
 
Upo sahihi. Lkn kwa mwanaume anaetaka mahusiano serious bora awe mkweli vinginevyo atapoteza uaminifu na penzi kuota mbawa. Mwanamke anaekubaliana nawe hata kama mambo hayaeleweki huyo mnaweza kwenda sawa kinyume chake jiandae mabalaa.
True sana.
 
Ukimwambia ukweli une mfukuza
 
Ukiwa mkweli kwa mwanamke utaishia kupiga puli.
Yaani kiufupi bila uongo haumpati mwanamke yawe mahusiano ya hit and run au mahusiano serious. Kotekote lazima uongo utumike. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na kuna kitu wanaume wengi hatujui

Wakati wa kutongoza wanawake ndio wanakuwa waongo zaidi,

Wanafake kila kitu,

Kula, kuongea everything ni fake,

Akipokea simu anakwambia sorry napokea simu ha ha ha fake fake
 
Wanawake wanapenda kudanganywa maana wao uongo wanauamini na kuubali kuliko ukweli
 
πŸ€£πŸ˜‚ ukamfichia aibu ?
 
Ukiwa mkweli kwa mwanamke utaishia kupiga puli.
Yaani kiufupi bila uongo haumpati mwanamke yawe mahusiano ya hit and run au mahusiano serious. Kotekote lazima uongo utumike. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia kamanda wa kikosi cha ardhini,bila uongo,wewe na sabuni mtakua kama ulimi na mateπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Na kuna kitu wanaume wengi hatujui

Wakati wa kutongoza wanawake ndio wanakuwa waongo zaidi,

Wanafake kila kitu,

Kula, kuongea everything ni fake,

Akipokea simu anakwambia sorry napokea simu ha ha ha fake fake
πŸ˜‚
Hapo mzani una balance
Unakuta picha za mtandaoni zimeeditiwa na zina filter. Nywele ni wigi, kope ni za bandia, hapo kapaka yale madongo dongo wanayaita faundesheni na mekapu, hapo anapaka vipodozi na malotion ya kujaza kirikuu, tumbo kalibana na mkanda ili aoekane ana flat tummy, ili aonekane ana tako kubwa na wengine wanavaa vigodoro, wengine wanakunywa dawa kuboost shape, wengine wanaenda uturuki kuweka shepu bandia. Yaani kiufupi ni uongouongo tu πŸ˜‚
 
Ukweli unakuweka huru, bora mtu akupende kama ulivyo kuliko kudanganya na akagundua basi kila kitu atakua anakuona muongo tu.
Mimi uongo wangu huwa niwakuniweke Chini yani na Lay low sana kwa Ladies kiasi kwamba Muonekano unakataa na Mwanamke atakuwa curious na Mimi zaidi na Mzigo ntakula easy tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…