Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #241
Yaani Mungu aseme tu ..tubadirishane majukumu....ya Mke apewe Mume ya Mume apewe Mke Kuna watu hawatoenda kazini.... Tuwaheshimu Hawa watu aseeee.... Wana ujinga wao lakini Sio kuwadharau kihivi..Hilo nakataa
Weak/Beta male hupenda kuoa/kuonewa huruma na strong character.Uliona wapi weak male akaoa strong felmale?
Strong male huoa strong female.
Weak male huoa weak female Kam Wewe.
Elimu ni nini?Silaha ni kwaajili ya kujilinda.
Bila elimu Mwanadamu anautu gani?
Bila elimu Watu wangekuwa wanatembea uchi hapa, wangekuwa wanakunya nje, wangekuwa wanakula vitu vichafu, bila elimu utu wa mtu uko wapi?
Goalkeeper hana elimu?😂😂😂
Hata unavyoandika inaonyesha jinsi ulivyo. Sipatii picha ukirudi kutoka kazini unaporudi hapo nyumbani jinsi unavyoishi na huyo Golikipa wako asiye na elimu yoyote.
Unaogopa wanawake strong Kwa sababu wewe ni mwanaume dhaifu uliyezoeay kuishi na tegemezi/maskini na ombaomba wanaoomba mpaka Pesa za Pedi.
Au mpaka wafiche vipesa unavyompa vya matumizi 😂😂
Mimi ni Weak Male ambaye nitaoa mke anayeweza kuongoza Ukoo wenu wote
Hapana oa mwenye elimu harafu awe mnyakyusaOa mwenye elimu ila mzidi maarifa ili usimame kwenye nafasi yako kama mwanaume mkuu wa familia.
Ukizubaa atataka akae seat yako alafu wewe ukatafute kiti jikoni. NIMEMALIZA
Mwe mwe mweHapana oa mwenye elimu harafu awe mnyakyusa
Mama yako phd, masters, bachelor, Diploma,certificate,basic certificate?Mkuu upo sahihi Sana. Hata Mimi mama yangu kasoma na naona utofauti Kati ya mama yangu na mama Wa kiswahili
Hii inaukweli 100%. Sio rahisi msomi akasugue sufuria, labda aamue tuMpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.
angalau nilikua nishapata mawazoWewe wa setifket unanifaa mimi injinia wa mbao yani seremala
amna hawatakukaidi watatafuta wasomi mambo mengi muda wa kusomeshana hamnaSijasema wasiwaoe.
Tena mwanaume mwenye akili akikuoa na huna elimu lazima akupeleke shule walau ukatoe tongotongo.
Umenena vema sana mzee mwenzangu.Mwanamke mwenye kufanya kazi za kuajiriwa ni strong female kwako wewe anaekuletea pesa nyumbani
Kwetu sisi strong female ni yule mwenye mabavu ya kuacha kazi za kuajiriwa na kuhakikisha analea watoto wake kwa mkono wake mwenyewe
Wewe ni very weak,huna pesa
Yaani unadharau mwanamke aliejinyima mpaka anabaki kulea watoto,unamwita goalkeeper?
Wewe ni weak
Male yeyote asie na pesa ni weak
Ndio maana upo hapa kulalamika eti mwanamke hafanyi kazi za kuajiriwa
Bure kabisa yaani
Acha kusifia kuliko pitiliza hadi unaanza kutukuza.Mnaonaga wanawake ni viumbe dhaifu sana eti !?? .... Kwa kuishi kwangu Local Government miaka 15... Wanawake ni viumbe strong... Wana mapungufu lakini Sio kama yetu wanaume .....
Mzee umekuja na mtibeti version [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weak/Beta male hupenda kuoa/kuonewa huruma na strong character.
Hii ndio tabia uliyoonyesha hapa badala ya kuongoza basi utaongozwa, kusaidia utasaidiwa, kubeba utabebwa.
Lakini la msingi tujikite kwenye hoja badala ya kumshambulia mtoa hoja.
Alpha male
Sigma male
Beta male
Gama male
Mtibeli toleo la mwisho