Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Yaani Mungu aseme tu ..tubadirishane majukumu....ya Mke apewe Mume ya Mume apewe Mke Kuna watu hawatoenda kazini.... Tuwaheshimu Hawa watu aseeee.... Wana ujinga wao lakini Sio kuwadharau kihivi..Hilo nakataa


Rahisisha maisha Mkuu
 
Uliona wapi weak male akaoa strong felmale?
Strong male huoa strong female.
Weak male huoa weak female Kam Wewe.
Weak/Beta male hupenda kuoa/kuonewa huruma na strong character.

Hii ndio tabia uliyoonyesha hapa badala ya kuongoza basi utaongozwa, kusaidia utasaidiwa, kubeba utabebwa.

Lakini la msingi tujikite kwenye hoja badala ya kumshambulia mtoa hoja.

Alpha male
Sigma male
Beta male
Gama male
Mtibeli toleo la mwisho
 
Silaha ni kwaajili ya kujilinda.

Bila elimu Mwanadamu anautu gani?
Bila elimu Watu wangekuwa wanatembea uchi hapa, wangekuwa wanakunya nje, wangekuwa wanakula vitu vichafu, bila elimu utu wa mtu uko wapi?
Elimu ni nini?
Embu tuanzie hapo kujadili ili tukubaliane,

Kujistili na maswala ya choo ni ustaharabu,
Je, kipi lilianza kati ya elimu na ustaharabu?

Utu ni nini?

Nini tofauti ya utu na ustaharabu?

Bila elimu, utu na ustaharabu hakuna?

Tukubaliane elimu hii ni ya kiwango kipi?
Maana elimu ni Pana sana.

Mwanamke Msomi ni nani?
Na usomi wake unatakiwa uanzie hatua gani?
 
😂😂😂

Hata unavyoandika inaonyesha jinsi ulivyo. Sipatii picha ukirudi kutoka kazini unaporudi hapo nyumbani jinsi unavyoishi na huyo Golikipa wako asiye na elimu yoyote.

Unaogopa wanawake strong Kwa sababu wewe ni mwanaume dhaifu uliyezoeay kuishi na tegemezi/maskini na ombaomba wanaoomba mpaka Pesa za Pedi.
Au mpaka wafiche vipesa unavyompa vya matumizi 😂😂


Mimi ni Weak Male ambaye nitaoa mke anayeweza kuongoza Ukoo wenu wote
Goalkeeper hana elimu?

Una akili wewe?

Hivi kuna Mtanzania ambae hajasoma siku hizi?

Mwanamke wangu ana degree so as alot of Tanzanian women alike.

Wewe kama umekariri alieko nyumbani hajasoma ni very stupid assumption.

Wewe ni weak,kazi ya kua na elimu kubwa na hela nyingi umehamishia kwa mwanamke akusaidie

Na siku hizi wanawake wanaoa wanaume waliowazidi,hupati huyo mwanamke unaetaka awe tajiri zaidi yako

Wewe ni kitonga,unataka kuishi kwa mgongo wa mwanamke,unfortunately wanawake dont marry weak men like you

So sorry
 
Oa mwenye elimu ila mzidi maarifa ili usimame kwenye nafasi yako kama mwanaume mkuu wa familia.
Ukizubaa atataka akae seat yako alafu wewe ukatafute kiti jikoni. NIMEMALIZA
Hapana oa mwenye elimu harafu awe mnyakyusa
 
Mwamba ,shemeji mmegombana nae lini na navokuelewa ni mvumilivu sana wewe au uko mbioni kuachana nae
 
Mkuu upo sahihi Sana. Hata Mimi mama yangu kasoma na naona utofauti Kati ya mama yangu na mama Wa kiswahili
 
Mkuu upo sahihi Sana. Hata Mimi mama yangu kasoma na naona utofauti Kati ya mama yangu na mama Wa kiswahili
Mama yako phd, masters, bachelor, Diploma,certificate,basic certificate?

Advance secondary school, ordinary level, primary school au elementary school?
 
Hivi mtoa mada unaelewa kwamba unaweza ukasoma ukawa huna elimu. Nikimaanisha hujaelimika . Kusoma na kupata vyeti haimaanishi umeelimika. Kuna utofauti mkubwa sana kati ya Elimu na tabia ya mtu . Hivi vitu havihusiani kabisa . Kuna mtu Ameowa asiye na elimu na wameshirikiana vyema mpaka kukuza Familia bora. Kuna mtu ameowa asiye na elimu na wakafeli vibaya kabisa kwenue ndoa yao. Na ndo jinsi ilivyo pia upande wa pili kuna mtu kaowa aliye na elimu na Ndoa ikwa bora kabisa. Lakini kuna mtu kaowa mwenye elimu na sasa anajuta vibaya mno na akitamani siku zirudi nyuma.
Kama inavyoelwkezwa kidini , kijamii . Owa mwanamke mwenye sifa ya kuwa mke kwa sababu siyo kila mwanamke anafaa kuwa mke bora kwa Fulani . Kama ilivyo siyo kila mwanaume anafaa kuwa mume bora kwa fulani.
Elimu haina mahusiano kabisa na ndoa.
Kwa hili nitaanza kukutoa vyeo vyangu nilivyokuwa nimeamua kukuwekea begani kwako.

Kaa chini Ufikirie kwanza.
 
Mpeleke mkeo ambaye hajasoma na hana kazi yoyote Kwenu siku ukitokea msiba uone jinsi atakavyotumikishwa kwa kusugua masufuria na makazi yasiyo na hadhi. Wakati huo Wake wa ndugu zao wamekaa mguu juu na hakuna kima yeyote atakayewasogelea isipokuwa wao wenyewe waamue.
Hii inaukweli 100%. Sio rahisi msomi akasugue sufuria, labda aamue tu
 
Mwanamke anaekutii coz Hana namna ni volkano itakayolipuka muda wowote!!

Ni Bora akajiweza ukajua moja na namna ya kuishi nae!!

Mimi sitokubali make wangu kuwa golikipa hasta kama hajasoma!nataka nijue akiwa na Hela anakuaje na akiishiwa anakuaje pia!!
 
Mwanamke mwenye kufanya kazi za kuajiriwa ni strong female kwako wewe anaekuletea pesa nyumbani

Kwetu sisi strong female ni yule mwenye mabavu ya kuacha kazi za kuajiriwa na kuhakikisha analea watoto wake kwa mkono wake mwenyewe

Wewe ni very weak,huna pesa

Yaani unadharau mwanamke aliejinyima mpaka anabaki kulea watoto,unamwita goalkeeper?

Wewe ni weak

Male yeyote asie na pesa ni weak

Ndio maana upo hapa kulalamika eti mwanamke hafanyi kazi za kuajiriwa

Bure kabisa yaani
Umenena vema sana mzee mwenzangu.
 
Mnaonaga wanawake ni viumbe dhaifu sana eti !?? .... Kwa kuishi kwangu Local Government miaka 15... Wanawake ni viumbe strong... Wana mapungufu lakini Sio kama yetu wanaume .....
Acha kusifia kuliko pitiliza hadi unaanza kutukuza.
 
Weak/Beta male hupenda kuoa/kuonewa huruma na strong character.

Hii ndio tabia uliyoonyesha hapa badala ya kuongoza basi utaongozwa, kusaidia utasaidiwa, kubeba utabebwa.

Lakini la msingi tujikite kwenye hoja badala ya kumshambulia mtoa hoja.

Alpha male
Sigma male
Beta male
Gama male
Mtibeli toleo la mwisho
Mzee umekuja na mtibeti version [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom