Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Alivyokuwa na Mtume alikuwa anatoka kwenda kufanya biashara au alikuwa nyumbani ?

Hakuna kigezo cha kufanya kazi na kumiliki. Kigezo ni tabia njema.
 
UUpo sahihi kabisa
Lakini maadili ya kimungu bila elimu dunia nayo ndio huzalisha mambo ya kina Wafuasi wa Mwamposa na Watu wenye itikadi kali
Elimu ya dunia haifamfanyi mtu kuwa na akili wewe angalia akili za wasomi, utasadili hili.

Suala la mwamposa hata walio soma elimu Dunia anawasomba na huenda hao ndio wengi zaidi.
 
Alivyokuwa na Mtume alikuwa anatoka kwenda kufanya biashara au alikuwa nyumbani ?

Hakuna kigezo cha kufanya kazi na kumiliki. Kigezo ni tabia njema.

Bado alikuwa mfanyabiashara.
Khadija mpaka anakufa ni Mfanyabiashara.

Vigezo kwa uislamu vipo vitatu.
1. Uzuri wa Mwanamke
2. Mali
3. Dini na nasaba ya mwanamke
 
Elimu ya dunia haifamfanyi mtu kuwa na akili wewe angalia akili za wasomi, utasadili hili.

Suala la mwamposa hata walio soma elimu Dunia anawasomba na huenda hao ndio wengi zaidi.

Elimu ya dunia inachochea Akili ya asili.

Ndio maana Watu wanapelekwa shule.
 
Unatumia kigezo gani kupinga ya kuwa mwanamke hajaumbwa kukaa nyumbani ?

Kwa sababu Mwanamke naye ni mtu.
Sifa ya mtu lazima afanye kazi.
Vinginevyo labda asiwe mtu.

Moja ya sheria ya Mungu au ya asili ni kufanya kazi kwa mwanaume na Mwanamke.
 

Mtu aliyesoma ukimuona tuu unajua huyu kasoma.
Hiyo ya kusema wanawake wafanyakazi wana date huko maofisini ni propaganda tuu za kutunga.

Kuhusu kuwa cheap, ndio nimekuambia wewe kwa uelewa wako yupi ni rahisi kwako kumtongoza, kati ya Mwanamke asiye na kazi na hajasoma au mwanamke mwenye elimu na anakazi nzuri?

Humuhumu jukwaani wanaume kutwa wanakiri kuwa Mwanamke aliyesoma na mwenye kipato anadharau lakini wanashindwa kuelewa kuwa huyo Mwanamke ana wanaume wa hadhi yake ambao lazima awanyenyekee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko sahihi kbsa
 
[emoji817]
 
[emoji817]
 
[emoji16][emoji16]
 
[emoji817]
 
KUNA MDAU ATAKUJA KUTOA USHUHUDA WAKE.
NIMEFANYA KAZI MIAKA 10 KWENYE KAMPUNI MOJA LA SIMU. NINA ONGEA KWA UZOEFU BRO

 

Sawasawa
 
[emoji1][emoji1]
Siku ukipata Stroke au umestaafu au kufukuzwa kazi au kufa alafu umeacha watoto wadogo ndio utajua jinsi ulivyokuwa na mawazo mgando.

Pesa ya Mwanamke inaweza isikusaidie wewe lakini ikasaidia wàtoto wako.
Hapana pesa ya mwanamke inawasaidia nyumbani kwao na ndugu zake, wanawake wakishapata kazi wanaanza kujenga kwao kwenye maeneo ya Baba zao hawajui watoto wao hawawezi kupata mgawo wa urithi.
 
Mkuu yeye hajui wanaojiuza %80 ni wasomi wa elimu ya juu, Wasomi wanajiuza vibaya mno Yani kijana ukitaka kuoa changudoa funga ndoa na msomi, wasomi wana mifumo yao ya kujiuza wakishapata Ajira na kabla ya kupata ajira.
 
Anaanza kuliwa na mwalimu shuleni olevel
Akifika chuo lecture Anataka
Alienda kwenye interview hr anatakaA
Kanisani nabii anakula
Kitaa boda anatusua
Kweli mkuu mpaka unakuja kumuoa mke ana kubwa na Ma ex Zaid ya sabini, tofauti na ukioa mwanamke wa kidato cha nne yeye atakuwa na Ex mmoja tu akizidi sana wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…