Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Unaweza kuwa na hoja. Lakini mbona mama zetu wengi humu elimu zao ndio hivyo tena lakini tumefika tulipo fika.
Unajuaje Status za mapenzi za mamayako, kama alikua angongwa kirahisi wewe ulikuwa mtoto na onamuona yeye Mama tu, utajuaje kama alikuwa haeshimiki wakati wewe ulikuwa mtoto hujui kuheshimika nini unachojua kulilia lambalamba za mia.

Sorry kwa kutumia mifano mikali tatizo sio mimi tatizo ni wewe kutoheahimu LINE ya MAMA na MWANAMKE, huyo ni mamayako ila ni mwanamke tu kwa baba yako na wajuba wa enzi ya ubalobalo wa baba yako kipindi ambacho wewe unamjua yeye kama mama tu wa kulilia akununulie asikilimu.
 

Bila elimu mwanadamu anakuwaje anautu?
Kabla ya elimu kuja Watu walikuwa wanakunya vichakani na mambo mengine ya kinyama yalitamalki.
 
Wanawake hawawezi kutunza wanaume wa aina yako. Wenye mitazamo ya kimungu mtu.
Mimi najua wanawake kibao wanaotunza Waume zao tena waliopatwa na matatizo mazito ya kiafya, kufukuzwa kazi bila kutegemea ndugu wa mume au wa upande wa mke.
W
 
Bila elimu mwanadamu anakuwaje anautu?
Kabla ya elimu kuja Watu walikuwa wanakunya vichakani na mambo mengine ya kinyama yalitamalki.
Mkuu elimu ya darasani na utu wa ndani havina mahusiano,labda unaambie elimu ya kiroho mambo ya dini haya ndio yanaweza kubadili sana mtazamo wa mtu jinsi ya kuwatendea wenzake,kukubali kujinyenyekeza,kutii,kusamehe,kuheshim n.k
 

Kwa karne hii kuoa mke asiye na elimu nako ni kupitwa na wakati.
Yaani shule zilivvyozagaa, vyuo vilivyotapakaa alafu binti ninayemuoa asiwe na elimu hata ya kadiploma. Big noo!
 
Mkuu elimu ya darasani na utu wa ndani havina mahusiano,labda unaambie elimu ya kiroho mambo ya dini haya ndio yanaweza kubadili sana mtazamo wa mtu jinsi ya kuwatendea wenzake,kukubali kujinyenyekeza,kutii,kusamehe,kuheshim n.k

Elimu ya darasani ni moja ya indicator ya Maendeleo sijui kama unajua hilo?

Nimeakuambia nenda jamii zilioelimika alafu njoo ambazo hazijaelimika uone zipo zenye Utu.

Ni ngumu kama huna elimu ukawa na utu.

Tunaweza kujadili kwa hoja alafu mwisho utaelewa kuwa elimu ndio inaibua na kuchochea thamani na utu wa mwanadamu.

Biblia yenyewe inasema, itafute elimu kwa maana ndio uzima wako, yaani zaidi ya utu
 
Katika kugawa uroda sio rahisi kwa mama wa nyumbani hii nimeshuhudia kwa wapemba ,wagunya ,wasomali niliokaa nao ,kwa sababu hawa jamaa wana sheria kali haswa kwa wake zao wanaokaa nyumbani mfano vitu vya ndani wanaleta wao kila kitu mpaka mkaa wanunua ,mke anakaa tu ndani.

Mwanamke wa nyumbani anaingia kweny hatari kama atakuwa mtu wa marafiki haswa saloon au mtaani, Kama atapenda mambo ya sherehe za aina yeyote maana huko watu ni kujionyesha tu uzuri wao ni kama kujiuza tu.

Wanawake wa maofisini ni vulnerable sana kuliwa na ni asilimia 10% tu hawapigwi ...Sababu misimamo binafsi, itikadi kali kama za kidini na mila ,kujitambua hawa ni wale weny umri mkubwa ,kutopenda mazoea hawa wale wanaojitambua ila wanajua nn kimewapeleka ofisini.

Wanawake wanaofanya haswa maofisini wanaliwa kweny mazoea ,trip za kazi...Ukaribu wa mtu kukaa na mwanadamu haswa jinsia tofauti kwa masaa 6 na zaidi ni hatari ...Kwa watu wa jinsia moja ni rahisu kujenga urafiki kinyume chake kwa watu wa jinsia tofauti kuwa wapenzi.

Bado kuna ishu za tamaa kama kupata safari ,posho ,kupanda daraja .. Katika suala la ngono wanaume watatumia kila mbinu watu wanakula mpaka wafagia ofisi washindwe hao wafanyakazi wao.


Pia heshima ya mwanamke ni kuwa na akili sio elimu vilevile heshima zaidi ya mwanamke ni kujistiri (kimwili ,tabia ,unyenyekevu ) ....

Kazini watu hawatumii akili zaidi ya mazoea ,akili zinabaki darasani ..
 
Elimu inayozungumziwa kwenye Biblia ni maarifa ya kiroho kuhusu Mungu siyo hii formal education,elimu ya darasani imelenga kumpa mtu maarifa ya kazi fulani hususa Yan ujuzi,ila sio kuuandaa utu wa mtu
 
Naunga mkono hoja, ukaribu wa watu wa jinsia tofauti ni hatari sana, kazini ni rahisi sana kuzoeana,hata kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara wanawake wengi wanaliwa kwenye safari za kikazi
 
Kwa mwanamke ,Level ipi ya elimu kwanza ndio tumuhesabie kuwa kaelimika ?

Kaka kwani wasio na elimu ni wanawake tu. ?

TUWAACHE WAOANE.
 
Sasa kugongwa na elimu vina uhusiano gani ?, huko vyuoni ni kufuru tupu.
 
-Mkeo kukaa miguu juu kwenye function za kifamilia sio jambo la kujivunia.

-Makahaba wengi mtaani kwa sasa na Graduates. Neno 'Kudanga', limeletwa na wanawake wasomi.

-Wanawake wanaoongoza kuvunja ndoa ni waliosoma. Kadri elimu inavyopanda ndivyo hatari ya kuvunja ndoa inaongezeka

-Hakuna mwanamke jasiri kuchepuka kama aliyesoma, hawanaga hofu kabisa. Vyuo vinawabadilisha sana wanawake.
 
Ila hapo umeniacha hoi angalau diploma umeidharau kiasi hiko ?

Sijaidharau. Ila angalau ndio elimu kati

- Mwanamke kusoma na kufanya kazi sio kuwa juu ya familia.
Ni sifa ya kuwa mke bora

- Unazungumzia jambo usilolifahamu kwenye ishu ya Ukahaba. Nenda madanguro yote nchini asilimia 95 ya makahaba hapa nchini wanaelimishwa ndogo chini ya kidato cha nne.

- Ndoa kama inaunyanyasaji, umungumtu hiyo lazima ivunjwe. Hata mimi nawahamasisha wanawake wavunje ndoa ikiwa wananyanyasika kwa wanaume wanaotaka kutetemekewa.

- Hakuna kazi rahisi kama kumtongoza mwanamke ambaye hajasoma na mama wa nyumbani.

Wanaume wengi hasa wanaotaka kuoa wanawake wa hadhi ya chini wanaogopa kutongoza wanawake wasomi, wenye vipato, na wanawake warembo.
Hii ni kutokana na kutojiamini
 
Sasa kugongwa na elimu vina uhusiano gani ?, huko vyuoni ni kufuru tupu.

Chuo kipi hicho mkuu!

Wakati kuna wanachuo wanamaliza chuo pasipo kuwa na binti wa chuo. Na kuanza wanawake wanamaliza chuo pasipo kupata mwanaume hata mmoja wa kumzagamua
 
Kwa mwanamke ,Level ipi ya elimu kwanza ndio tumuhesabie kuwa kaelimika ?

Kaka kwani wasio na elimu ni wanawake tu. ?

TUWAACHE WAOANE.
Kwa mwanamke ,Level ipi ya elimu kwanza ndio tumuhesabie kuwa kaelimika ?

Kaka kwani wasio na elimu ni wanawake tu. ?

TUWAACHE WAOANE.

Ni kweli.
Hakuna anayemzuia mtu kuoa mwanamke yeyote.
Isipokuwa nilikuwa naondoa upotoshaji ulioandikwa hapa kuwa ukioa Mwanamke asiye na elimu ndio atakuheshimu.
Mimi nikaandika madhara ya kuoa mke asiye na elimu na asiyefanyakazi
I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…