Madhara ya Utawala wa Awamu ya Tano yameanza kulitafuna taifa; Nani wa kulaumiwa?

Yani Lema, lisu na mbowe wachangie nusu ya bajeti?

Kama yule lema na lisu si wanalelewa tu kule?

Namaana hao wanaowalea lema na lisu ndiyo wanao ilea na serikali yako pia acha wivu
 
Mimi na amini kama magufuli angekuwa raisi tusinge mpoteza Hamza kwa kuwa asinge kuwa na sababu za kuua askari, maana magufuli alikuwa ni Nuru ya matumaini tanzania

mkuu unamuongelea magufuli yupi? uyu wa chato au mwengine?
 
magufuli anatoka familia yenye historia ya vichaaa.... sio kwa sababu ya madawa ya kulevya au ndumba... ni kuzaliwa hivyo.

usalama wa taifa walishindwaje kumjua MTU mmoja tu, je watawezaje kuijua tz yoteee?

magufuli aliharibu sana inji hii.
Huyo kichaa ndiyo aliye sifiwa na RAISI MKAPA KUWA NI ASKARI WAKE WA MWAMVULI NO 1 YAANI THE BEST
 
HUO NDIO UKWELI KAMA ALIVYOSEMA MLETA MADA ILA NI VIGUMU MNO KWA BAADHI YETU KUELEWA. TULIPOFIKIA NI KILELE CHA MATOKEO YA SERA YA AWAMU YA TANO.
 
Karibubi tujadili nini tufanye kama taifa.
wanasiasa waache kujenga chuki.
tena wajue kwamba wananchi hawawapendi kabisa kwa sababu wao hawapendani, wanadhulumiana tu. Ole wao wanaodhulumu.
kiujumla wananchi babo wanapendana tu sana. kiashiria kimojawaapo ni mdoa za mchanganyiko wa makabila, ni nyingi. Mijini makabila ni mengi na imani tofauti, vyama tofauti lakini tunaishi pamoja huku wanasiasa wakizozana tu.
 
Wasenge sana hawa wanataka kumpakaza kinyesi Chao kichafu magufuli ambaye ni tumaini pekee la watanzania wazarendo hadi sasa tunatumia LEGACY YAKE KAMA TUMAINI ALILO TUACHIA
 
Ukiwa raisi wa Tanzania then watu fulani fulani wakaanza kukusifia, tazama ulipokosea,

Nina uhakika raisi mzalendo hawezi kusifiwa na watu hao.
 
Yeye ndie alikuwa mlezi wa vijana mfano wa kina Hamza.
Ukweli ni kwamba Hamza asinge kufa wala kuua askari kama magufuli angekuwa bado ni raisi baada ya magu kufa mafisadi madhulumati yameshika nchi ndiyo sababu
 
Hili ni muhimu wanasiasa wakijirekebisha tutakwensa vizuri. Rember Politics lead the world
 
Ukweli ni kwamba Hamza asinge kufa wala kuua askari kama magufuli angekuwa bado ni raisi baada ya magu kufa mafisadi madhulumati yameshika nchi ndiyo sababu
Anyway hatujajua hasa Hamza alifanya nini lakini inadaiwa alidhulmiwa. Pia uwezo wake wa kutamba na bunduki mchana kweupe huku akiwa ni Mwanachama hai na kada wa CCM na matukio ya nyuma ya vijna hawa tunapata picha kuwa huko nyuma walilelewa vibaya
 
Rubbish,Mtatumika sana,ila Magufuli is a man of match
Piga makofi tafadhari [emoji28][emoji122][emoji122]team wenge watapata tabu sana
MAGUFULI THE GREATY
 
Namaana hao wanaowalea lema na lisu ndiyo wanao ilea na serikali yako pia acha wivu
Serikali ikilelewa inatoa rasilimali zetu! Yani win win situation!

Vipi kwa Lema na Lisu wao wakilelewa wanatoa nini?
 
Rubbish,Mtatumika sana,ila Magufuli is a man of match
Unge comment bila kutukana ungeonekana wa maana. Ila kwa kuwa huna cha kusema na huwezi kumtetea huyo unayemwita man of match unaishia matusi tu
 
Anyway hatujajua hasa Hamza alifanya nini lakini inadaiwa alidhulmiwa. Pia uwezo wake wa kutamba na bunduki mchana kweupe huku akiwa ni Mwanachama hai na kada wa CCM na matukio ya nyuma ya vijna hawa tunapata picha kuwa huko nyuma walilelewa vibaya
Tatizo lenu mnasahau huu ukweli
DAI CHAKO UONEKANE MBAYA WEWE JIULIZE KADA WA CHAMA KUFIKIA HATUA HIYO kuna nini
 
Serikali ikilelewa inatoa rasilimali zetu! Yani win win situation!

Vipi kwa Lema na Lisu wao wakilelewa wanatoa nini?

unauhakika gani kama inaishia kutoa rasilimali tu
 
Acheni kumsingizia mwenda zake? Nchi mharibu wenyewe kukaribisha mafisadi mmeanza mbwatambwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…