Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

MBS umagharibi mwingi anapenda misifa.
Well kila mtu ana muono wake. Yeye anasema hakuna kulazimishina kwenye dini, kama inavyosema Qur'an.

Kuna kuelimishana. Uislam ni mfumo wa maisha mema kwa kila Mwanaadam. Tusiufanye kuwa ni ibada "cult" fulani hivi.
 
Bora tuende Lupaso, itakuwa na faida na umuhimu kuliko huko madina
 
Well kila mtu ana muono wake. Yeye anasema hakuna kulazimishina kwenye dini, kama inavyosema Qur'an.

Kuna kuelimishana. Uislam ni mfumo wa maisha mema kwa kila Mwanaadam. Tusiufanye kuwa ni ibada "cult" fulani hivi.
Well kila mtu ana muono wake. Yeye anasema hakuna kulazimishina kwenye dini, kama inavyosema Qur'an.

Kuna kuelimishana. Uislam ni mfumo wa maisha mema kwa kila Mwanaadam. Tusiufanye kuwa ni ibada "cult" fulani hivi.
Sawa .
 
Baadhi ya watu hawaelewi. Watu wenye uelewa kama wako ni wachache sana. Wengi ni mashindano kama vyama vya siasa
 
Kila mwaka kuna tamasha kubwa la Muziki huwa linafanyika Meccah ambapo wasanii na mashabiki kutoka sehemu mbalimbali duniani huwa wanakutana.
 
Yale yale KULA kitimoto ila usinywe mchuzi.

Mambo huanza kubadilika taratibu
 
Siyo kweli. Kwanza umezusha ni "mlevi na mla "nguruwe", umeona watu wote wamekupuuza, sasa umekuja na uongo mwingine.

Madinah na Makkah historia na zao tofauti. madinah ina sababu zake kwanini wasio Waislam walifungiwa kwenda na Makkah ina hiztoria yake kwanini wasio Waisla hawatakiwi kwenda.

Ukipenda kuzijuwa aidha jifunze ku search mtandaoni kwenye "sources" za kuaminika au uliza hapa hapa tutakupa darsa.

Uislam ni mwema sana.

Tembelea kidogo Madinah kutokea hapo hapo ulipo:

Kila mwaka kuna tamasha kubwa la Muziki huwa linafanyika Meecah ambapo wasanii na mashabiki kutoka sehemu mbalimbali duniani huwa wanakutana.
Sielewi hiyo "meecah" ndiyo mji au nchi au ni kitongoji kipi. Siwezi kupinga nisiyoyajuwa, dunia ni kubwa.

Hiyo "meecah" yako inahusiana nini na Madinah inayoelezewa kwenye uzi huu?

Kwanini usiifungulie uzi wake ukatujuza zaidi?
 
ukoo wa saudi wanapoteza mila na tamaduni za uislam.ila sishangai ndo dalili zenyewe hz.ule mwisho hauwez kuja bila haya kutokea.
Wamepoteza mila gani za Uislam? Acha mihemko ndugu. Ukoo wa Saud wamejitahidi mno katika kuutumikia Uislam. Allah azidi kuwabariki na awasamehe makosa yao.
 
Gaidiii
 
unazidi kupungua misimamo mikali kuanzia huko ulikoanzia. We mbantu uliyeletewa huna cha kujivunia sanasana utafuata misimamamo ya huko madinah
Uislam ndio unashamiri hivyo. Hakuna wa kuizuia Nuru ya Uislam. Mimi Mbantu namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na ninamuomba Allah akuongoze katika Nuru ya Uislam LOTH HEMA. Ameen.
 
eti muhammad alikuja kwa ajili yao.NENDA KASOME SURAT NNAS.alafu urudi hapa.huyo sio yesu aliyetumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya yakubu.
YESU KRISTO alikufa kwaajili ya wote, ndio maana injili ni kwa wote waaminio

Muhammad alikuja kwaajili ya Waarabu, na Quran inasema alikuja na kuzungumza lugha moja tu ya kiarabu "kwaajili ya watu wake"

Acha Ubishi mfuasi wa Mwamedi
 
Yule wa UAE kule Loliondo huwa anaenda na watoto wabichi wa Kiarabu kwenda kula nao maisha pale Loliondo, Pombe kwa wikngi sana na totozi za nchi yake, huwa kule haendi na Mke wake0
 
Yule wa UAE kule Loliondo huwa anaenda na watoto wabichi wa Kiarabu kwenda kula nao maisha pale Loliondo, Pombe kwa wikngi sana na totozi za nchi yake, huwa kule haendi na Mke wake0
Watu wenye akili kubwa wanaongelea maendeleo.

Watu wenye akili za kawaida wanaongelea matukio.

Watu wenye akili mbovu wanaongelea watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…