OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Wavaa kobaaz wa saudia wanapenda sana mapenzi ya jinsia moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well kila mtu ana muono wake. Yeye anasema hakuna kulazimishina kwenye dini, kama inavyosema Qur'an.MBS umagharibi mwingi anapenda misifa.
Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah.
Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah:
Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini uta dowload app, utajionea kama vile upo mubashar (live) Madinah.
Prophet's Mosque - 3D Virtual Tour
www.3dmekanlar.com
Well kila mtu ana muono wake. Yeye anasema hakuna kulazimishina kwenye dini, kama inavyosema Qur'an.
Kuna kuelimishana. Uislam ni mfumo wa maisha mema kwa kila Mwanaadam. Tusiufanye kuwa ni ibada "cult" fulani hivi.
Sawa .Well kila mtu ana muono wake. Yeye anasema hakuna kulazimishina kwenye dini, kama inavyosema Qur'an.
Kuna kuelimishana. Uislam ni mfumo wa maisha mema kwa kila Mwanaadam. Tusiufanye kuwa ni ibada "cult" fulani hivi.
Baadhi ya watu hawaelewi. Watu wenye uelewa kama wako ni wachache sana. Wengi ni mashindano kama vyama vya siasaWell kila mtu ana muono wake. Yeye anasema hakuna kulazimishina kwenye dini, kama inavyosema Qur'an.
Kuna kuelimishana. Uislam ni mfumo wa maisha mema kwa kila Mwanaadam. Tusiufanye kuwa ni ibada "cult" fulani hivi.
Yale yale KULA kitimoto ila usinywe mchuzi.Ni kweli wamemruhusu Cristiano ila kipindi anaishi kule hakuna tabia za ajabu amezifanya tofauti akiwa Uingereza, kwnye hotel anavaa suruali na sio kaptura. Waarabu washamseti atakavoishi.
Kuhusu mashoga, sheria zipo, wakionyesha hadharani wanashtakiwa, sijaona yeyote aliyeonyesha hadharani kule Saudia, hawana masihara na mtu.
Siyo kweli. Kwanza umezusha ni "mlevi na mla "nguruwe", umeona watu wote wamekupuuza, sasa umekuja na uongo mwingine.Waislamu wanamuombea mabaya kila siku MBS eti anainajis ardhi takatifu. Na kanisa la kwanza tena la kilokole liko mbioni kujengwa Saudi Arabia. Kuna vizee vya kiislam Saudia vinamaindi kichiz hata huu mji wa kipekee wa Neom. MBS kawachinja sana kuwatuliza.
Ila kwa Mecca na Medina wasingewaachia wasio Waislamu kutembelea. Lazima sheria na misingi ya wengine kuheshimuwa.
God bless MBS and Saudi Royal Family.
Sielewi hiyo "meecah" ndiyo mji au nchi au ni kitongoji kipi. Siwezi kupinga nisiyoyajuwa, dunia ni kubwa.Kila mwaka kuna tamasha kubwa la Muziki huwa linafanyika Meecah ambapo wasanii na mashabiki kutoka sehemu mbalimbali duniani huwa wanakutana.
Wamepoteza mila gani za Uislam? Acha mihemko ndugu. Ukoo wa Saud wamejitahidi mno katika kuutumikia Uislam. Allah azidi kuwabariki na awasamehe makosa yao.ukoo wa saudi wanapoteza mila na tamaduni za uislam.ila sishangai ndo dalili zenyewe hz.ule mwisho hauwez kuja bila haya kutokea.
GaidiiiHahaha. Umelishwa ujinga wa miaka mingi mpaka umeshiba ujinga.
Hata Mandela aliitwa na alifungwa kifungo cha maisha kwa ugaidi na hao hao wanaokuaminisha kuwa Waislam ni magaidi.
Cha kushangaza, Wewe wanakwambia Waislam magaidi. Wao wanawakaribisha magaidi kwao na wanakwenda kwa "magaidi" kama unavyojionea.
Jiulize kwanini wanakudanganya?
Hapo sasa.
Uislam ndio unashamiri hivyo. Hakuna wa kuizuia Nuru ya Uislam. Mimi Mbantu namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na ninamuomba Allah akuongoze katika Nuru ya Uislam LOTH HEMA. Ameen.unazidi kupungua misimamo mikali kuanzia huko ulikoanzia. We mbantu uliyeletewa huna cha kujivunia sanasana utafuata misimamamo ya huko madinah
YESU KRISTO alikufa kwaajili ya wote, ndio maana injili ni kwa wote waaminioeti muhammad alikuja kwa ajili yao.NENDA KASOME SURAT NNAS.alafu urudi hapa.huyo sio yesu aliyetumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya yakubu.
Gaidiii
Gaidi jikeee
Yule wa UAE kule Loliondo huwa anaenda na watoto wabichi wa Kiarabu kwenda kula nao maisha pale Loliondo, Pombe kwa wikngi sana na totozi za nchi yake, huwa kule haendi na Mke wake0Hivi uongo huwa unawasaidia nini?
Dini yako ndiyo imekufundisha kusema uongo? Au ni shetani wewe?
Hiyo sura ya kula kiti moto na kulewa mipombe? Hana njaa hiyo kama wewe, wewe kinachokulisha nguruwe ni njaa tu, hakuna zaidi.
Huna haya wala hujuwi vibaya, mwana mtoka pabaya.
Watu wenye akili kubwa wanaongelea maendeleo.Yule wa UAE kule Loliondo huwa anaenda na watoto wabichi wa Kiarabu kwenda kula nao maisha pale Loliondo, Pombe kwa wikngi sana na totozi za nchi yake, huwa kule haendi na Mke wake0