Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah.
Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah:
Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini uta dowload app, utajionea kama vile upo mubashar (live) Madinah.
Prophet's Mosque - 3D Virtual Tour
www.3dmekanlar.com
Uislam bwana wanajiona kuwa wameshayamaliza na mbingu ni yao kumbe ni utopo mtupu
Mamake Yesu we umemuona wapi?
Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah.
Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah:
Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini uta dowload app, utajionea kama vile upo mubashar (live) Madinah.
Prophet's Mosque - 3D Virtual Tour
www.3dmekanlar.com
Acha ushamba hamna mtu aliyewahi mpiga picha Yesu wala mamake.Kwenye picha juu hapo
Bandari zetu zipo Madinah?
Umejibu vizuri sana.....vividly! Japokuwa anaweza hisi umemjibu vibaya! ila kihakika jibu no zuri sana maana ni relevant
Nimesema haram nikiwa na maana ya mji Wa makkah na madina yaani haramain! Sisi waislaam twaitambua kwa jina la haram najua nawewe ni Muslim, hivyo upo very familiar na hiyo scenario kwanini hiyo miji inaitwa haram!Unaijuwa haram na halali wewe au mradi uhororoje na kubwabwaja bila mpango tu?
Hapo umeniacha hoi, umeuliza swali halafu umejijibu mwenyewe. Kwa fikra potofu tu.Kwa hiyo ni kusema ktk uislam akitokea mtu mwenye roho nzuri na uelewa mpana akataka atende jema kwa jamii isiyo islan huyo anakuwa anakosea?
Kwanini hampendi ushirikiano always ni chuki tu hata kwa ardhi aliyoiumba Mungu?
Unauliza kuhusu nini? Kuwa hii ipo kweli au mazingaombwe?Nitauliza kwanza kwa masheikh zangu kabla ya kutoa comment juu ya hili