Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

Nitauliza kwanza kwa masheikh zangu kabla ya kutoa comment juu ya hili
 
Uislam bwana wanajiona kuwa wameshayamaliza na mbingu ni yao kumbe ni utopo mtupu
 
Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah.

Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah:

Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini uta dowload app, utajionea kama vile upo mubashar (live) Madinah.

Kuna ulazima gani mwanamke kufunika kichwa? Mbona utumwa huu?
 
Kuna ulazima gani mwanamke kufunika kichwa? Mbona utumwa huu?
Muulize mama'ke Yesu.

1688764051730.png
 
Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah.

Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah:

Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini uta dowload app, utajionea kama vile upo mubashar (live) Madinah.

Kuna watu wana majina ya Binadamu humu ila unaweza kuta ni majini, Bandari hatuuzi, tumekataa.
 
Kwenye picha juu hapo
Acha ushamba hamna mtu aliyewahi mpiga picha Yesu wala mamake.

Pili iwe uhuru mtu akitaka funika kichwa afunike na asiyetaka aachwe. Kulazimishana ni utumwa.
 
Unaijuwa haram na halali wewe au mradi uhororoje na kubwabwaja bila mpango tu?
Nimesema haram nikiwa na maana ya mji Wa makkah na madina yaani haramain! Sisi waislaam twaitambua kwa jina la haram najua nawewe ni Muslim, hivyo upo very familiar na hiyo scenario kwanini hiyo miji inaitwa haram!

Sina maana kuwa matembezi hayafai yaani ni haram! LA hasha! Matembezi sio haram ila nimejiuliza je matembezi katika haramain(katika hiyo miji) ni sawa? Maana kimsingi ni miji ya kiibada zaidi ndio maana tangiapo hatujapata kuona mtu asie muislaam akienda kutalii huko, hata waislaam wanaoenda matembezi kwenye miji hiyo(haram) nje na hajji bado matembezi yao utakuta kwa namna moja au nyingine yatakokotana na ibadat mbalimbali.....

Kadhalika ilitosha tu kuniuliza what's my point ningeeleza tu kwa uzuri kuliko kutumia kauli za sjui nimehoroja Mara kubwabwaja! Hakika ya mwenyezi apenda upole na wema katika kila jambo

Ni halali saudia kuruhusu iko kitu? Hapa I'm pretty sure kutakuwa na khilafu baina ya hoja na dalili za watu na wana zuoni kama ulivyomjibu mmoja Wa member katika hii thread kuwa"kila mtu na mtazamo wake, ni wako lako" kutakuwa na mitazamo tofauti tofauti ni kawaida hiyo inajulikana!
 
Kwa hiyo ni kusema ktk uislam akitokea mtu mwenye roho nzuri na uelewa mpana akataka atende jema kwa jamii isiyo islan huyo anakuwa anakosea?

Kwanini hampendi ushirikiano always ni chuki tu hata kwa ardhi aliyoiumba Mungu?
Hapo umeniacha hoi, umeuliza swali halafu umejijibu mwenyewe. Kwa fikra potofu tu.

Kwa ufupi, Uislam haumbagui yeyote. U I slam unaamrisha katika kulingania kuamrishana mema na kukatazana maovu.

Nitauliza kwanza kwa masheikh zangu kabla ya kutoa comment juu ya hili
Unauliza kuhusu nini? Kuwa hii ipo kweli au mazingaombwe?

Kwanza muoneshe Sheikh wako haya maendeleo, halafu muulize maswali yako ambayo unahisi hapa huwezi kujibiwa. Mimi naamini hata "Sheikh" wako akija na maswali yake hapa atapata majibu. Kuna Masheikh wengi hapa.
 
madili yazingatiwe hatutaki leftovers ya nguruwe pale.mana hawa ndugu zetu wanaweza kwenda na kiporo cha kitimoto mule
 
Back
Top Bottom