Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Na makah nako lini wataruhusu wasio waislamu kwenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maadili gani?madili yazingatiwe hatutaki leftovers ya nguruwe pale.mana hawa ndugu zetu wanaweza kwenda na kiporo cha kitimoto mule
ya kislamuMaadili gani?
Sawa mke wa Mohammed bin Salman Al SaudKweli kabisa. Wana vivutio vya utali na utafiti kwanini wasivitumie?
Kama yapi?ya kislamu
Matendo yake huyo mwana mfarume ni mabaya kuliko kula nguruweUna ushahidi kuwa anakula kitimoto na pombe?
Matendo yapi? Yataje.Matendo yake huyo mwana mfarume ni mabaya kuliko kula nguruwe
Tena sasa hivi kuna direct flight kutoka Dar mpaka Jeddah, ukifika Jeddah unapanda bullet train mpaka Madinah. Unaigia Jeddah mjini unafanya shopping kama una mihela yako.Nimeipenda hii na mimi siku moja nitafanya utalii
Huko Medina ndio kwenye lile jiwe jeusi (mungu wa kikuresh) mnapoendaga kuhiji na kumtupia mawe shetani au ni pengine. Kama ndio huko ngoja siku moja niende nikalikojolee na kulipasua au niliibe (nimkojolee na kumuiba mungu wakikuresh).Allahu akbar
Hii mada siyo ya jeddsah. Isome tena. Bofya maansishi ya blue, utembelee Masjid ya Madina, usiogope utafarijika:Zipo Jeddah