Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

Nimeipenda hii na mimi siku moja nitafanya utalii
Tena sasa hivi kuna direct flight kutoka Dar mpaka Jeddah, ukifika Jeddah unapanda bullet train mpaka Madinah. Unaigia Jeddah mjini unafanya shopping kama una mihela yako.


Jeddah, niliwahi kufika, soko lake ni zuri sana kuliko Dubai, sema limetawanyika, Jeddah ni kubwa sana kuliko Dubai.
 
Allahu akbar
Huko Medina ndio kwenye lile jiwe jeusi (mungu wa kikuresh) mnapoendaga kuhiji na kumtupia mawe shetani au ni pengine. Kama ndio huko ngoja siku moja niende nikalikojolee na kulipasua au niliibe (nimkojolee na kumuiba mungu wakikuresh).
 
Back
Top Bottom