Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

Niliwahi kusikia mahali kuwa maana ya neno Lindi ni Bonde, sasa sijui ni kweli??

Hata haivyo kama umewahi kusafiri kwenda lindi, ukiwa unaukaribia mji unakuwa kama unashuka bondeni, mjiwenyewe upo bondeni.

Ndio maana makao makuu mapya ya mkoa wamejenga huko juu mlimani kuepuka matukio kama hayo ya mafuriko.
wanajenga mabondeni wacha maji yawabondoe hukohuko
 
Na daraja zilizosombwa tuseme kuwa hazijajengwa mahali pake?
Foods ni miongoni mwa natural disaster?
Atakapobebwa pale Busisi kwa Tsunami nasi tutasema aliifuata Tsunami
 
Siku akipata janga atajuta kutufahamu huyu mtu. Yani huyo Mungu wake ni heri akaendelea kumuepusha hivyo hivyo maana hatoamini!
 
Kiukweli kufuatia kauli za kishujaa anazotoa Rais Magufuli kwa wahanga mbali mbali wa majanga ya asili basi itoshe kusema tu kuwa Rais Magufuli hana utu kabisa!

Hivi Rais Magufuli amewahi kuona huko duniani jinsi watu wanavyoshikamana kwenye majanga? Amewahi kuona majanga kama yale ya nchi ya Haiti au majanga ya moto kule Australia? Yani kwa jinsi anavyoongea kwa watu mbalimbali wanaokumbwa na majanga ni tuna Rais wa ajabu kweli kweli asiye na utu.

Watu 21 wamekufa huko Lindi kwa kusombwa na mafuriko halafu yeye anatoka na kusema acha "wafurikwe sawasawa" Ni kuwakejeli au? Kwa hili kweli hapana. Tutampinga wazi wazi kingozi wa aina hii ambaye anaonyesha ukatili wa wazi wazi dhidi ya watu wake wanaokumbwa na majanga!

Watu walikufa Kagera kutokana na majanga serikali ikachangisha fedha kupeleka kwenye miradi na kuwaacha watu wakiwa "wakiwa" huku ikiwaambia eti serikali haikuleta tetemeko!

Mimi niulize wale wataalam wa sayansi ya binadamu, ki biologia hii imekaaje?

Mwisho ninawashangaa sana wale wote wanaounga mkono ukosefu huu wa ubinadamu uliokithiri!
 
Rais Magufuli kwa kumtazama tu unaweza kupata picha yake halisi na hasa Nini anawaza kwa wengine, ni mpole na mwenye huruma sana.

Rais amekuwa akitoa kauli hizo kwa watani zake na wanaopelekewa na kuupokea ujumbe huo wanaona ni utani tu.

Pole kwa kumuelewa kinyume kwa kuwa wewe si mtani wake. Kama ni kauli za kumaanisha, mbona Kagera imejengwa bada ya tetemeko?

Mbona Serikali inahahakikisha wanaopata majanga wanapata msaada wa haraka licha ya kauli hizo?
 
Utaniiii????? Utani kwenye majanga makubwa? Alianza kwenye tetemeko, tukadhani ameteleza leo karudia kwenye mafuriko, then toka lini wasukuma na watu wa kusini wakawa na utani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona huwa anaongea vizuri tu kwenye majanga mbali mbali kama moto wa lori kule morogoro, ajali mbali mbali.
Wakati mwingine huzungumza kuwakumbusha watu kuwa makini maana tunaishi kimazoea bila kuchukua taadhari, Unaambiwa usikae bondeni wewe kiujeuri unaenda kuishi. Unalima unavuna chakula chote unatengezea pombe za kienyeji mvua ikisua kidogo unaanza kulia njaa.
 
Rais Magufuli kwa kumtazama tu unaweza kupata picha yake halisi na hasa Nini anawaza kwa wengine, ni mpole na mwenye huruma sana.

Rais amekuwa akitoa kauli hizo kwa watani zake na wanaopelekewa na kuupokea ujumbe huo wanaona ni utani tu.

Pole kwa kumuelewa kinyume kwa kuwa wewe si mtani wake. Kama ni kauli za kumaanisha, mbona Kagera imejengwa bada ya tetemeko?

Mbona Serikali inahahakikisha wanaopata majanga wanapata msaada wa haraka licha ya kauli hizo?
Kwa hiyo tutegemee siku moja aseme kwa utani kuwa wapinzani walioko Kigamboni wachomwe moto mbele zake, halafu watu wacheze ngoma yamadogoli??
Be real man, Mkuu wa nchi hana utani kwani kile kiti hakina utani kamwe
 
Some reference:

DONALD TRUMP - Presidential material ectract from a whistleblowers book:

According to the book, administration officials would often strategize before and after meetings with Trump, who is likened to a “twelve-year-old in an air traffic control tower, pushing the buttons of government indiscriminately, indifferent to the planes skidding across the runway and the flights frantically diverting away from the airport.”

Chaos takes so many forms. Innumerable stories have made it clear that even the president’s own aides and cabinet members treat him like a captive bear or a person having a psychotic breakdown – like someone unstable who must be kept from harming himself and others. They have done that by heaping on the flattery, and by warping and limiting the information he receives, and often by doing their best to prevent his directives from being realized.

PSYCHOTIC BREAKDOWN my foot! If he were in charge of some banana republic it suffices as there shall be lots of bananas to eat. 😂😂😂
 
Rais Magufuli kwa kumtazama tu unaweza kupata picha yake halisi na hasa Nini anawaza kwa wengine, ni mpole na mwenye huruma sana.

Rais amekuwa akitoa kauli hizo kwa watani zake na wanaopelekewa na kuupokea ujumbe huo wanaona ni utani tu.

Pole kwa kumuelewa kinyume kwa kuwa wewe si mtani wake. Kama ni kauli za kumaanisha, mbona Kagera imejengwa bada ya tetemeko?

Mbona Serikali inahahakikisha wanaopata majanga wanapata msaada wa haraka licha ya kauli hizo?
Pumabaf

In God we Trust
 
Wewe utakuwa ni bonge la mjinga. Kwenye vifo kuna utani? Narudia tena wewe ni mjinga kwelikweli!
 
Kwa hiyo tutegemee siku moja aseme kwa utani kuwa wapinzani walioko Kigamboni wachomwe moto mbele zake, halafu watu wacheze ngoma yamadogoli??
Be real man, Mkuu wa nchi hana utani kwani kile kiti hakina utani kamwe
Nazungumzia utani wa makabila sio wa kisiasa. Mkuu wa nchi ni mwezetu ,mwanajamii mwenzetu anatania na kutaniwa na hataniwi utani wa kukidhalilisha kiti
 
Rais Magufuli kwa kumtazama tu unaweza kupata picha yake halisi na hasa Nini anawaza kwa wengine, ni mpole na mwenye huruma sana.

Rais amekuwa akitoa kauli hizo kwa watani zake na wanaopelekewa na kuupokea ujumbe huo wanaona ni utani tu.

Pole kwa kumuelewa kinyume kwa kuwa wewe si mtani wake. Kama ni kauli za kumaanisha, mbona Kagera imejengwa bada ya tetemeko?

Mbona Serikali inahahakikisha wanaopata majanga wanapata msaada wa haraka licha ya kauli hizo?
Duh! Eti ni utani.....!! Kuna kipindi mabasi yalikuwa yanafungwa spidi gavana, sasa huyu muzee itabidi na yeye tumfunge UTANI GAVANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom